Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kutoa na kupokea rushwa ndicho wanachoweza zaidi... Achilia mbali kubambikia watu makosa ikiwemo ugaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanazania kumbadilisha IGP ndo kutaboresha jesho la Police, kwa kifupi hakuna mwenye uafadhali ndani ya jeshi la police yaani hakuna mwenye uafadhali, Jeshi zima limeoza, Trafiki wanapiga wanagawa pesa hadi wizarani
Upo sahihi na possibly waliofanikiwa ndiyo waliwaelekeza wenzao waliobaki nyuma... kama vile safari ya nyumbu inavyokuwa wakati wa kuvuka mto MaraHuyo inaonyesha wanamjua alikuwa connected mahali na alishawahi fanikisha mambo hadi wakamwamini ila ndio hivyo tena labda connection ilipotea akaendelea tu kupiga pesa kitapeli a maintain life style yake
Labda ni mwendelezo wa kumtafuta Sirro, lakini kumbuka na Mama hana kifua.Sasa polisi hapa ndipo wananishangaza.
Hawaoni kwamba kutoa habari kama hizi kunawaharibia wenyewe kweli.
Hahahaha ama kweli ya Mungu mengi.
Aisee inawezekana.Labda ni mwendelezo wa kumtafuta Sirro, lakini kumbuka na Mama hana kifua.
Huyo mtu kakamatwa na nani?Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022 katika eneo la Msamvu wilaya ya Morogoro mjini mkoa wa Morogoro. Ametaja jumla ya matukio 21 aliyowahi kutapeli akapata pesa na mengine aliahidiwa lakini hakupata pesa Kama ifuatavyo:
1. RPC IRINGA _ JUMA BWILE
Aliwasiliana naye Nov. 2021 ili mtoto wake atafutiwe ajira ktk idara ya usalama wa Taifa akamtumia 150,00/= kwa awamu mbli ya Kwanza 100000/= ya pili 50,000/=
2.OCD MUSOMA
Alitaka ahamishiwe Kahama, alituma 250,000/=
3.RPC KAGERA _ REVOCATUS MALIMI
Alitaka nafasi ya ajira ya TAKUKURU kwa kijana wake, alituma 400,000/=.
4. OCD KAHAMA
Alitaka apandishwe cheo, alituma pesa 270,000/= awamu ya kwanza, na awamu ya pili alituma samaki wakubwa Aina ya Sato waliokaangwa kwenye gari la HAPPY NATION la Mwanza Dar es salaamu ambao aliwauza kwa 65,000//=
5. STAFF OFFICER MOROGORO _ KUNGURA. Baada ya kupandishwa cheo kuwa ACP akitokea OCD Mvomero
alitaka kuwa RPC mkoa wa GEITA Ili awe karibu na nyumbani kwao sababu anakaribia kustaafu, hakutuma pesa alishtuka.
6 DEBORA DAUDI MAGRIGIMBA
Alitaka arudishiwe nafasi ya RPC baada ya kuhamishwa KUTOKA RPC SINGIDA KUWA STAFF OFFICER CENTRAL POLICE DAR ES SALAAMU.
Hakutuma pesa waliwasiliana Kama ndugu wakabila moja la wasukuma ingawa mtuhumiwa siyo msukuma.
7. OCD KISHAPU SHINYANGA
Alitaka kupandishwa cheo na ahamishiwe SHINYANGA Mjini kwani KISHAPU ni kijijini Sana
aliahidi kutuma million mbili lakini kabla hajatuma alipata msiba.
8. MICHAEL DELELI _ Aliyekuwa RTO KILIMANJARO
Alitaka arudishiwe kuwa RTO MOROGORO baada ya kuhamishwa kuwa RTO KILIMANJARO, aliahidi kutoa million moja Ila mtuhumiwa alizima simu yake kwa kuwa anajua kuwa anatafutwa na polisi kwa vitendo vyake hivyo vya kutapeli.
9. MZIRAI _ OCS MEATU
Alitaka apandishwe cheo TOKA ASP kuwa SP na ahamishiwe SHINYANGA Mjini au Kahama sababu alikaa na cheo hicho zaidi ya miaka 08. Alituma 60,000/= za voucher.
10. OCD LUANGWA
Alitaka mtoto wake apate ajira ktk idara ya usalama wa Taifa, aliahidi million moja lakini hakutuma.
11. RTO KAGERA
ALitaka awe RTO MWANZA, aliahidi kutoa million moja baada ya siku tatu lakini hakutuma.
12. OCD TARIME
Alitaka kuwa OCD ILEMELA MWANZA
alituma 200,000/=
13 OCD RUVUMA
Alitaka ahamishiwe Bagamoyo karibu na familia yake, aliahidi million moja lakini hakutoa.
14 RCIO IRINGA CHARLES BUKOMBE
Alitaka arudishiwe nafasi ya RTO na apangiwe MOROGORO, aliahidi kutoa zawadi suala lake likifanikiwa.
15.OCD MAGU
Alitaka ahamishiwe kuja Morogoro au Chalinze ili awe karibu na familia yake, aliahidi million moja lakini hajatuma.
16.RTO TARIME LORYA
Alitaka arudishwe Mwanza, alituma 150,000/=
17. OCD MAKETE
Alitaka ahamishiwe Bagamoyo aliahidi zawadi likifanikiwa.
18. OCD ILAMBA _ SINGIDA
Alitaka ahamishiwe wilaya ya Manyoni, aliahidi million moja lakini hakutuma.
19. OCD BIHARAMULO
Alitaka ahamishiwe GEITA
Aliahidi million moja lakini hakutuma.
20. RTO LINDI
Alitaka ahamishiwe Morogoro, aliahidi zawadi akifanikiwa.
21. OCD TANDAHIMBA
Alitaka ahamishiwe Chalinze, aliahidi 500,000/= lakini hakutoa.
Mtuhumiwa baada ya kukamatwa alipekuliwa maungoni ambamo alikutwa na simu tatu:
ITEL MBILI, TECNO MOJA, RADIO CALL MOJA Aina ya BAOFENG NA CHARGER YAKE MOJA, PESA TASLIMU 55,600/= NA CHARGER YA SIMU MOJA. Pia alipekuliwa katika chumba Namba 05 Cha Guest iitwayo THREE ROOF iliyopo maeneo ya Msamvu ambako alikutwa amefikia na vitu vifuatavyo vilichukuliwa:
Bag moja dogo la mgongoni rangi ya ugoro likiwa na nguo mbalimbali, N_ CARD_ 1000, 0000,0058, 9675, na charger ya simu.
Kesi ya KUJIFANYA AFISA WA SERIKALI IMEFUNGULIWA
Naomba kuwasilisha.
Upo sahihi na possibly waliofanikiwa ndiyo waliwaelekeza wenzao waliobaki nyuma... kama vile safari ya nyumbu inavyokuwa wakati wa kuvuka mto .Huyo inaonyesha wanamjua alikuwa connected mahali na alishawahi fanikisha mambo hadi wakamwamini ila ndio hivyo tena labda connection ilipotea akaendelea tu kupiga pesa kitapeli a maintain life style yake
Ujue wao kwa wao hawapendani wanaoneana wivu, na usishangae huyu aliyepuliza filimbi ataandamwa kila konaSasa polisi hapa ndipo wananishangaza.
Hawaoni kwamba kutoa habari kama hizi kunawaharibia wenyewe kweli.
Hahahaha ama kweli ya Mungu mengi.
Aisee inawezekana.
Maana hayo yote ambayo watu wanahonga wayapate si yako chini ya mzee siro ?
Kwa hiyo kama kuna mtu anachukua pesa ili awakamilishie hayo maana yake huyo mtu anamuweza mzee sirro.
Kamanda sirro namuonea huruma maana mambo ni mengi sana aisee.
Matukio yote 21 yanawahusisha police officers, ipo shida kubwa mahala kwa hili jeshi letu!Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022 katika eneo la Msamvu wilaya ya Morogoro mjini mkoa wa Morogoro. Ametaja jumla ya matukio 21 aliyowahi kutapeli akapata pesa na mengine aliahidiwa lakini hakupata pesa Kama ifuatavyo:
1. RPC IRINGA _ JUMA BWILE
Aliwasiliana naye Nov. 2021 ili mtoto wake atafutiwe ajira ktk idara ya usalama wa Taifa akamtumia 150,00/= kwa awamu mbli ya Kwanza 100000/= ya pili 50,000/=
2.OCD MUSOMA
Alitaka ahamishiwe Kahama, alituma 250,000/=
3.RPC KAGERA _ REVOCATUS MALIMI
Alitaka nafasi ya ajira ya TAKUKURU kwa kijana wake, alituma 400,000/=.
4. OCD KAHAMA
Alitaka apandishwe cheo, alituma pesa 270,000/= awamu ya kwanza, na awamu ya pili alituma samaki wakubwa Aina ya Sato waliokaangwa kwenye gari la HAPPY NATION la Mwanza Dar es salaamu ambao aliwauza kwa 65,000//=
5. STAFF OFFICER MOROGORO _ KUNGURA. Baada ya kupandishwa cheo kuwa ACP akitokea OCD Mvomero
alitaka kuwa RPC mkoa wa GEITA Ili awe karibu na nyumbani kwao sababu anakaribia kustaafu, hakutuma pesa alishtuka.
6 DEBORA DAUDI MAGRIGIMBA
Alitaka arudishiwe nafasi ya RPC baada ya kuhamishwa KUTOKA RPC SINGIDA KUWA STAFF OFFICER CENTRAL POLICE DAR ES SALAAMU.
Hakutuma pesa waliwasiliana Kama ndugu wakabila moja la wasukuma ingawa mtuhumiwa siyo msukuma.
7. OCD KISHAPU SHINYANGA
Alitaka kupandishwa cheo na ahamishiwe SHINYANGA Mjini kwani KISHAPU ni kijijini Sana
aliahidi kutuma million mbili lakini kabla hajatuma alipata msiba.
8. MICHAEL DELELI _ Aliyekuwa RTO KILIMANJARO
Alitaka arudishiwe kuwa RTO MOROGORO baada ya kuhamishwa kuwa RTO KILIMANJARO, aliahidi kutoa million moja Ila mtuhumiwa alizima simu yake kwa kuwa anajua kuwa anatafutwa na polisi kwa vitendo vyake hivyo vya kutapeli.
9. MZIRAI _ OCS MEATU
Alitaka apandishwe cheo TOKA ASP kuwa SP na ahamishiwe SHINYANGA Mjini au Kahama sababu alikaa na cheo hicho zaidi ya miaka 08. Alituma 60,000/= za voucher.
10. OCD LUANGWA
Alitaka mtoto wake apate ajira ktk idara ya usalama wa Taifa, aliahidi million moja lakini hakutuma.
11. RTO KAGERA
ALitaka awe RTO MWANZA, aliahidi kutoa million moja baada ya siku tatu lakini hakutuma.
12. OCD TARIME
Alitaka kuwa OCD ILEMELA MWANZA
alituma 200,000/=
13 OCD RUVUMA
Alitaka ahamishiwe Bagamoyo karibu na familia yake, aliahidi million moja lakini hakutoa.
14 RCIO IRINGA CHARLES BUKOMBE
Alitaka arudishiwe nafasi ya RTO na apangiwe MOROGORO, aliahidi kutoa zawadi suala lake likifanikiwa.
15.OCD MAGU
Alitaka ahamishiwe kuja Morogoro au Chalinze ili awe karibu na familia yake, aliahidi million moja lakini hajatuma.
16.RTO TARIME LORYA
Alitaka arudishwe Mwanza, alituma 150,000/=
17. OCD MAKETE
Alitaka ahamishiwe Bagamoyo aliahidi zawadi likifanikiwa.
18. OCD ILAMBA _ SINGIDA
Alitaka ahamishiwe wilaya ya Manyoni, aliahidi million moja lakini hakutuma.
19. OCD BIHARAMULO
Alitaka ahamishiwe GEITA
Aliahidi million moja lakini hakutuma.
20. RTO LINDI
Alitaka ahamishiwe Morogoro, aliahidi zawadi akifanikiwa.
21. OCD TANDAHIMBA
Alitaka ahamishiwe Chalinze, aliahidi 500,000/= lakini hakutoa.
Mtuhumiwa baada ya kukamatwa alipekuliwa maungoni ambamo alikutwa na simu tatu:
ITEL MBILI, TECNO MOJA, RADIO CALL MOJA Aina ya BAOFENG NA CHARGER YAKE MOJA, PESA TASLIMU 55,600/= NA CHARGER YA SIMU MOJA. Pia alipekuliwa katika chumba Namba 05 Cha Guest iitwayo THREE ROOF iliyopo maeneo ya Msamvu ambako alikutwa amefikia na vitu vifuatavyo vilichukuliwa:
Bag moja dogo la mgongoni rangi ya ugoro likiwa na nguo mbalimbali, N_ CARD_ 1000, 0000,0058, 9675, na charger ya simu.
Kesi ya KUJIFANYA AFISA WA SERIKALI IMEFUNGULIWA
Naomba kuwasilisha.
Mtuhumiwa lazima athibishe bila shaka yeyote mahakamani kwamba walimpa rushwa. It is not that easyHao waliotoa rushwa je bado wapo kazini? Kama hawapo kazini kwanini wasiwe jela? Kumbe Rushwa ipo katika mfumo wa kipolisi!
Kwa ninavyoona huyo ni Implanted Tapeli ili kuumbua maofisa wenzake. Sio tapeli halisi.Duuuh
Yaan ni sawa na wale vijana wanaopita mitaani kuiba Mbwa ambao weww ndio unaamini watadhibiti Mwizi…
Tapeli anatapeli wanaopaswa kudhibiti utapeli
Ila atakuwa kama si Askari basi ana connection na wahusika…haiwezekan apate ujasiri hivyo
Pia inathibitisha madai ya kuwa Jeshi la Polisi ni shamba darasa la mambo ya Rushwa
Yes, hapa lazima kuna mafacilitator wa huo mchakato.Huyu jamaa kuna mtu au watu wako nyuma yake,na inaonekana kuna watu wengi sana wamefanikiwa kupitia yeye,sema sijui kwa nini dili limebuma,ila tusubiri kusikia kajinyongea kituoni maana anasiri kubwa sana
Kama hizi taarifa ni za kweli then huyu mtu ni mtu muhimu alipandikizwa/ Infiltrated.Huyu jamaa kuna mtu au watu wako nyuma yake,na inaonekana kuna watu wengi sana wamefanikiwa kupitia yeye,sema sijui kwa nini dili limebuma,ila tusubiri kusikia kajinyongea kituoni maana anasiri kubwa sana
Hapo ndio tutamuona JaJi Tiganga na wenzakeMtuhumiwa lazima athibishe bila shaka yeyote mahakamani kwamba walimpa rushwa. It is not that easy
Kama mambo ndio haya hawa wanaachahe kuishindisha ccm kwa ahadi ya kuhamishwa na vyeo?Kuna watu wanazania kumbadilisha IGP ndo kutaboresha jesho la Police, kwa kifupi hakuna mwenye uafadhali ndani ya jeshi la police yaani hakuna mwenye uafadhali, Jeshi zima limeoza, Trafiki wanapiga wanagawa pesa hadi wizarani