RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

Zamani wakati leseni zinatolewa trafiki polisi, niliambiwa nitoe rushwa. Na katika hiyo rushwa kulikuwa na mgao wa maafisa mbalimbali hadi juu kwa mkuu wa matrafiki!! Na aliyekuwa anapokea pesa ni ASP.
Kuna watu wanazania kumbadilisha IGP ndo kutaboresha jesho la Police, kwa kifupi hakuna mwenye uafadhali ndani ya jeshi la police yaani hakuna mwenye uafadhali, Jeshi zima limeoza, Trafiki wanapiga wanagawa pesa hadi wizarani
 
Inaelekea uRTO Morogoro unalipa sana, kama serikali ipo serious basi ina jambo la kujifunza hapa, ipo haja kuitazama kwa jicho la karibu PCCB na TISS, kuna mambo mengi hayapo sawa, ipo siku watu wataomba rushwa ili waivuruge Ikulu
 
Huyo inaonyesha wanamjua alikuwa connected mahali na alishawahi fanikisha mambo hadi wakamwamini ila ndio hivyo tena labda connection ilipotea akaendelea tu kupiga pesa kitapeli a maintain life style yake
Upo sahihi na possibly waliofanikiwa ndiyo waliwaelekeza wenzao waliobaki nyuma... kama vile safari ya nyumbu inavyokuwa wakati wa kuvuka mto Mara
 
Sasa polisi hapa ndipo wananishangaza.

Hawaoni kwamba kutoa habari kama hizi kunawaharibia wenyewe kweli.

Hahahaha ama kweli ya Mungu mengi.
 
Sasa polisi hapa ndipo wananishangaza.

Hawaoni kwamba kutoa habari kama hizi kunawaharibia wenyewe kweli.

Hahahaha ama kweli ya Mungu mengi.
Labda ni mwendelezo wa kumtafuta Sirro, lakini kumbuka na Mama hana kifua.
 
Labda ni mwendelezo wa kumtafuta Sirro, lakini kumbuka na Mama hana kifua.
Aisee inawezekana.

Maana hayo yote ambayo watu wanahonga wayapate si yako chini ya mzee siro ?

Kwa hiyo kama kuna mtu anachukua pesa ili awakamilishie hayo maana yake huyo mtu anamuweza mzee sirro.

Kamanda sirro namuonea huruma maana mambo ni mengi sana aisee.
 
Huyo mtu kakamatwa na nani?
Hiyo confession imedhibitishwa na nani?
 
Huyo inaonyesha wanamjua alikuwa connected mahali na alishawahi fanikisha mambo hadi wakamwamini ila ndio hivyo tena labda connection ilipotea akaendelea tu kupiga pesa kitapeli a maintain life style yake
Upo sahihi na possibly waliofanikiwa ndiyo waliwaelekeza wenzao waliobaki nyuma... kama vile safari ya nyumbu inavyokuwa wakati wa kuvuka mto .
Sasa polisi hapa ndipo wananishangaza.

Hawaoni kwamba kutoa habari kama hizi kunawaharibia wenyewe kweli.

Hahahaha ama kweli ya Mungu mengi.
Ujue wao kwa wao hawapendani wanaoneana wivu, na usishangae huyu aliyepuliza filimbi ataandamwa kila kona
 
Kumbuka kuna kipindi afande mmoja mkubwa hapo Morogoro alipewa uhamisho ghafla uhamisho ukasitishwa na aliyesitisha ni huyohuyo mkubwa
 
Kosa tulilofanya tuna aina mbili za rushwa 1- takrima takrima hii ndo tabu unampa mtu Asante kwa kukusaidia au kukufanikishia Jambo hata ukisema njoo tunywe ni Asante takrima yenyewe
 
Matukio yote 21 yanawahusisha police officers, ipo shida kubwa mahala kwa hili jeshi letu!
 
Huyu jamaa kuna mtu au watu wako nyuma yake,na inaonekana kuna watu wengi sana wamefanikiwa kupitia yeye,sema sijui kwa nini dili limebuma,ila tusubiri kusikia kajinyongea kituoni maana anasiri kubwa sana
 
Hao waliotoa rushwa je bado wapo kazini? Kama hawapo kazini kwanini wasiwe jela? Kumbe Rushwa ipo katika mfumo wa kipolisi!
Mtuhumiwa lazima athibishe bila shaka yeyote mahakamani kwamba walimpa rushwa. It is not that easy
 
Kwa ninavyoona huyo ni Implanted Tapeli ili kuumbua maofisa wenzake. Sio tapeli halisi.
 
Huyu jamaa kuna mtu au watu wako nyuma yake,na inaonekana kuna watu wengi sana wamefanikiwa kupitia yeye,sema sijui kwa nini dili limebuma,ila tusubiri kusikia kajinyongea kituoni maana anasiri kubwa sana
Yes, hapa lazima kuna mafacilitator wa huo mchakato.

Wapo.
 
Huyu jamaa kuna mtu au watu wako nyuma yake,na inaonekana kuna watu wengi sana wamefanikiwa kupitia yeye,sema sijui kwa nini dili limebuma,ila tusubiri kusikia kajinyongea kituoni maana anasiri kubwa sana
Kama hizi taarifa ni za kweli then huyu mtu ni mtu muhimu alipandikizwa/ Infiltrated.

MaOCD na MaRPC, ACP hawawezi kumpa pesa mtu ambaye hawana uhakika naye.
 
Kuna watu wanazania kumbadilisha IGP ndo kutaboresha jesho la Police, kwa kifupi hakuna mwenye uafadhali ndani ya jeshi la police yaani hakuna mwenye uafadhali, Jeshi zima limeoza, Trafiki wanapiga wanagawa pesa hadi wizarani
Kama mambo ndio haya hawa wanaachahe kuishindisha ccm kwa ahadi ya kuhamishwa na vyeo?

Hii document ya leo ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…