RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

Ndugu hao maaskari wenye vyeo Hivyo wengi wao ni wasomi wakubwa sana. Huwez kuwa RPC eti una form four, sio jeshi la Sasa. Hata OCD tu huwapiti. Waliopo ni wale wanaoelelea kustaafu. Jeshi Sasa HIV Lina wasomi wengi piah
Nakubaliana na wewe. Wana fursa za kusoma na kujiendeleza hata kama aliingia na cheti cha form four.
 
Wahanga wakubwa naona ni askari polisi, hiyo kazi ni kama ina laana fulani hivi, halafu walivyo washenzi wanahonga ili watoto wapate nafasi TISS.

Sikuwahi kujua kama TISS ni kuzuri kiasi hicho.
 
Amefanya vzr na mm nimewai kumtapeli trafiki mmoj HV Arusha nilimjua danga lake alikuwa anamjemgea nyumba maeneo fln HV kumbe jama hakujuwa kuwa mm namfahamu yule mchepuko wake wkt mchepuko wake Ni kabila Langu hvyo anapenda kunitaa kak kaka nikaona sawa ngoja niwaandalie tukio la kimya kimya mnk jamaa anajifanya mjanja na anjuana na watu maahrufu mjini Happ kwangu haikuwa shida nileendele kumfatilia huku ajui kuwa mm na mchepuko wake Ni kabila moja nikamtaarif u mchepuko kumdanganya kuwa mke wa jamaa Ni mkatili anaweza kukatisha maisha yako uwe makini na usiwe unakaha kisembe utakuja chijnjwa bas mchepuko akanielewa San na tukawa tunashare demu mmoja na trafiki anayejifanya bingwa

Sasa nilvyo piga tukio cyo vzr kuanika hapa
 
Halafu tunategemea rushwa iishe?hao wote ni wa kukwekwa lock up tu

RPC mzima unatapeliwa kizembe namna hio?
 
6 DEBORA DAUDI MAGRIGIMBA
Alitaka arudishiwe nafasi ya RPC baada ya kuhamishwa KUTOKA RPC SINGIDA KUWA STAFF OFFICER CENTRAL POLICE DAR ES SALAAMU.
Hakutuma pesa waliwasiliana Kama ndugu wakabila moja la wasukuma ingawa mtuhumiwa siyo msukuma
Bora rafiki yangu Debora hakutuma angeniumiza sana kama angepigwa hela kirahisi hivyo! Ila ameniudhi tu kuingiza kwenye line ya kutapeliwa!!😁😁😂😂😂
 
Hii habari ina walaakini mkubwa sana
 
we jamaa
 
Sio tuu kijana aachiwe huru, Bali huyo kijana ajengewe Sanamu na apewe ulinzi asije kudhuriwa na watu wabaya wasio litakia mema taifa hili wanao tumiwa na Mabeberu.
Jamaa ametapeli makachero kiasi hicho?? huyo ni level ya Jasusi
 
Dah,

Watu wana kichaa.

Huyu kati ya watu wote wa kuwatapeli, yeye kaona awatapeli Polisi?
 
Mtu umesoma na umeajiriwa bado unatapeliwa kama hujuwi namna watu wanavyopanda cheo au kupata post! Angekuwa mtapeliwa ni mkulima mwenzangu huko ningesema hajuwi .Cwapi pole.Ila mtuhumia afunguliwe mashtaka na wao wakawe sehemu ya ushahidi hahahaaa
 
Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022 katika eneo la Msamvu wilaya ya Morogoro mjini mkoa wa Morogoro. Ametaja jumla ya matukio 21 aliyowahi kutapeli akapata pesa na mengine aliahidiwa lakini hakupata pesa Kama ifuatavyo:

1. RPC IRINGA _ JUMA BWILE
Aliwasiliana naye Nov. 2021 ili mtoto wake atafutiwe ajira ktk idara ya usalama wa Taifa akamtumia 150,00/= kwa awamu mbli ya Kwanza 100000/= ya pili 50,000/=

2.OCD MUSOMA
Alitaka ahamishiwe Kahama, alituma 250,000/=

3.RPC KAGERA _ REVOCATUS MALIMI
Alitaka nafasi ya ajira ya TAKUKURU kwa kijana wake, alituma 400,000/=.

4. OCD KAHAMA
Alitaka apandishwe cheo, alituma pesa 270,000/= awamu ya kwanza, na awamu ya pili alituma samaki wakubwa Aina ya Sato waliokaangwa kwenye gari la HAPPY NATION la Mwanza Dar es salaamu ambao aliwauza kwa 65,000//=

5. STAFF OFFICER MOROGORO _ KUNGURA. Baada ya kupandishwa cheo kuwa ACP akitokea OCD Mvomero
alitaka kuwa RPC mkoa wa GEITA Ili awe karibu na nyumbani kwao sababu anakaribia kustaafu, hakutuma pesa alishtuka.

6 DEBORA DAUDI MAGRIGIMBA
Alitaka arudishiwe nafasi ya RPC baada ya kuhamishwa KUTOKA RPC SINGIDA KUWA STAFF OFFICER CENTRAL POLICE DAR ES SALAAMU.
Hakutuma pesa waliwasiliana Kama ndugu wakabila moja la wasukuma ingawa mtuhumiwa siyo msukuma.

7. OCD KISHAPU SHINYANGA
Alitaka kupandishwa cheo na ahamishiwe SHINYANGA Mjini kwani KISHAPU ni kijijini Sana
aliahidi kutuma million mbili lakini kabla hajatuma alipata msiba.

8. MICHAEL DELELI _ Aliyekuwa RTO KILIMANJARO
Alitaka arudishiwe kuwa RTO MOROGORO baada ya kuhamishwa kuwa RTO KILIMANJARO, aliahidi kutoa million moja Ila mtuhumiwa alizima simu yake kwa kuwa anajua kuwa anatafutwa na polisi kwa vitendo vyake hivyo vya kutapeli.

9. MZIRAI _ OCS MEATU
Alitaka apandishwe cheo TOKA ASP kuwa SP na ahamishiwe SHINYANGA Mjini au Kahama sababu alikaa na cheo hicho zaidi ya miaka 08. Alituma 60,000/= za voucher.

10. OCD LUANGWA
Alitaka mtoto wake apate ajira ktk idara ya usalama wa Taifa, aliahidi million moja lakini hakutuma.

11. RTO KAGERA
ALitaka awe RTO MWANZA, aliahidi kutoa million moja baada ya siku tatu lakini hakutuma.

12. OCD TARIME
Alitaka kuwa OCD ILEMELA MWANZA
alituma 200,000/=

13 OCD RUVUMA
Alitaka ahamishiwe Bagamoyo karibu na familia yake, aliahidi million moja lakini hakutoa.

14 RCIO IRINGA CHARLES BUKOMBE
Alitaka arudishiwe nafasi ya RTO na apangiwe MOROGORO, aliahidi kutoa zawadi suala lake likifanikiwa.

15.OCD MAGU
Alitaka ahamishiwe kuja Morogoro au Chalinze ili awe karibu na familia yake, aliahidi million moja lakini hajatuma.

16.RTO TARIME LORYA
Alitaka arudishwe Mwanza, alituma 150,000/=

17. OCD MAKETE
Alitaka ahamishiwe Bagamoyo aliahidi zawadi likifanikiwa.

18. OCD ILAMBA _ SINGIDA
Alitaka ahamishiwe wilaya ya Manyoni, aliahidi million moja lakini hakutuma.

19. OCD BIHARAMULO
Alitaka ahamishiwe GEITA
Aliahidi million moja lakini hakutuma.

20. RTO LINDI
Alitaka ahamishiwe Morogoro, aliahidi zawadi akifanikiwa.

21. OCD TANDAHIMBA
Alitaka ahamishiwe Chalinze, aliahidi 500,000/= lakini hakutoa.

Mtuhumiwa baada ya kukamatwa alipekuliwa maungoni ambamo alikutwa na simu tatu:
ITEL MBILI, TECNO MOJA, RADIO CALL MOJA Aina ya BAOFENG NA CHARGER YAKE MOJA, PESA TASLIMU 55,600/= NA CHARGER YA SIMU MOJA. Pia alipekuliwa katika chumba Namba 05 Cha Guest iitwayo THREE ROOF iliyopo maeneo ya Msamvu ambako alikutwa amefikia na vitu vifuatavyo vilichukuliwa:
Bag moja dogo la mgongoni rangi ya ugoro likiwa na nguo mbalimbali, N_ CARD_ 1000, 0000,0058, 9675, na charger ya simu.
Kesi ya KUJIFANYA AFISA WA SERIKALI IMEFUNGULIWA
Naomba kuwasilisha.

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…