RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

Hao maofisa wote walioshiriki vitendo vya rushwa wachukuliwe hatua
 
Sasa hapo ndio ujiulize kama wakuu wa idara kama hizo za usalama wanatoa rushwa kiasi hicho unategemea utendaji wao uweje?

Ukiona mtu anatoa rushwa jua pia ni mpokeaji mzuri wa rushwa.

Hapo jiulizw hawa polisi wa vyeo vya chin wana hali gani kwenye utoaji na upokeaji wa rushwa
 
Policcm bure kabisa. Wao wanajua kuwapiga CHADEMA tu lakini Otieno anakula mlungula toka kwao kiulaini kabisa
 
Hii nchi ngumu sana


Askari wa cheo cha juu (ofisa) anatoa rushwa ili mwanae apate kazi Idara ya Usalama wa Taifa duuh.

Its a fact huyo Tapeli ni usalama wa taifa na ushahidi na mnaweza kujiridhisha kwa hao seniors wa Police wote hao idadi kubwa mno haiwezekani utapeli warakibu na makamishna ishirini wa Polisi kama wewe sio kweli Afisa TISS maana TISS na Polisi huwa wanajuana
 
Inafurahisha kwa vile matapeli wametapeliwa na inasikitisha ikiwa polisi wanatapeliwa kijinga kiasi hiki. Sisi kama wananchi usalama wetu ukoje ikiwa tunalindwa na mipumbavu kama hiyo inayopigwa kiboya?
 
Inafurahisha kwa vile matapeli wametapeliwa na inasikitisha ikiwa polisi wanatapeliwa kijinga kiasi hiki. Sisi kama wananchi usalama wetu ukoje ikiwa tunalindwa na mipumbavu kama hiyo inayopigwa kiboya?
Yaan hii nchi ni ya ajabu kweli, nikp hoi hapo RPC anatoa rushwa ili mwanae awepo TISS khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoaji na mpokeaji wa Rushwa wote wana makosa.

Kwahiyo inamaana hao senior officers wote ni watuhumiwa kama takukuru wakiamua kudeal nao.

Integrity hakuna kabisa siku hizi kwa law enforcement officers.
 
Kweli hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…