RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

Si wangeomba katika utaratibu wa kawaida? Nawaza pengine walikuwa wanasuka mipango ya kumtia nguvuni.
 
Hii nchi ngumu sana


Askari wa cheo cha juu (ofisa) anatoa rushwa ili mwanae apate kazi Idara ya Usalama wa Taifa duuh.
Hii ndiyo ile mtoto wa maskini soma utakavyosoma uwe na CV ya kupendeza kiasi gani kama connection kwenye system huna wewe kwako ni mtaani tu!

Sometimes hao waombewa ajira ni form four failure ila kwa sababu wana watu wakuwashika mkono ajira wangepata,inasikitisha sana vijana kupokwa haki zao kisa hawana watu hii siyo haki.
 
Huyo Muhalifu ni Afisa wa TISS au aliwahi kutumikia TISS hapo kabla kikweli kweli mambo yanajieleza wazi hapo huwezi watapeli Maafisa wa vyeo vya juu wa polisi kufikia idadi ishirini kama haupo usalama wa taifa
Usalama wa Taifa wanahusikaje na kumpandisha vyeo, kuhamisha, kuajiliwa takukuru etc ( najua wanaweza kutumwa.kumchunguza Fulani, lkn na vyeo?)
 
Laymen. Hao maofisa ndiyo wenye makosa ya kushawishi kutoa rushwa
 
Ndio hapo kwenye hiyo nafasi yake ya utiss ya kupeleka umbea kwa wakumbwa ndio anaitumia vizuri kupiga pesa
 
We USSR huu uzi juzi ulifutwa. Umeuleta tena?

Una uhakika na taarifa hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…