RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi RPC kwa cheo chake hawezi fanya namna mwanae akae TISS bila rushwa? kweli dunia ni duara. Lol
Hana uwezo huo labla amuingize ccp awe koplo kama mahita alivyoingiza wanawe.
 
Ni lini sasa tutapata IGP mpya?
 
Inafurahisha sana, majambazi wanapotapeliwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kidogo hizo? Mbowe alishtakiwa ugaidi kwa pesa laki sita alitumia watu watatu kila mtu kapata laki na 90 tu.
 
Mbona pesa kidogo sana hizo?
Ukweli ambao hautasemwa au kutafutwa.
Huyu mkulima alipigiwa simu yeye au aliwapigia?

Ukweli ni kwamba huyu Otieno ndiye aliyewapigia ikiwa anajua status zao halisi kuwa unataka uhamie mahali flani au uliondolewa cheo kwa uonevu.

Anawapigia na kuwaambia yeye ni afisa usalama na kujifanya kuwa anaweza kumsaidia hitaji lake.

Pili kuna watu walilengwa kuchafuliwa kwa makusudi na askari wenzio.

Hivyo tapeli anapewa taarifa zao naye tapeli anapita mule mule.

Askari wana majungu sana.
 
Huyo anayeitwa Tapeli mimi namchukulia kama mtu makini sana. Tena mwenye influence
 
Hii imekuja si kwa bahati mbaya ila ili tijue uozo uliojaa ndani ya jeshi la polisi. Sasa ni wazi tumejua kumbe vyeo na uhamisho hutolewa kwa rushwa ndani ya polisi. Mambo ya ajabu kabisa. Sasa kama wakubwa hao ndo wanahaha ns rushwa Hawa vijana wa vyeo vya chini hali ikoje? Ni aibu kubwa kwa jeshi la polisi. Ila nimeshangaa kutomkuta RPC wa Kinondoni akiomba kupelekwa hata mkoani ili apumue baada ya kuhenyeshwa na Kibatala.
 
Mbna hao watu wengi wanataka kupelekwa Bagamoyo, kuna nn huko? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Morogoro trafiki wanapapenda Sana wakati ndipo penye ajali nyingi kwanini?
 
Achaga mazarau sasa picha iko wapi?

Mbona yule wa Zanzibar picha mlileta?
 
Itakuwa vyema kama na Mh sana Mama Samia anaufatilia.
Nimejikuta nawaza hivi: yaani hotuba zenyewe anaandikiwa karatasi 6 anasoma 1 atapata nafasi ya kufuatilia uozo huu kweli?.....acha niishie hapa!
 
Huyu anatakiwa apewe tuzo na sio kufunguliwa mashtaka bali amefanya kazi ya kutuambia kuwa Jeshi la police halina uadilifu na nafasi zao zinapatikana kwa hongo.

Kwa jicho jingine huyo jamaa sio raia tu ila atakanwa kama kawaida 🥲🥲🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…