Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Hata Kama una chuki kali kiasi gani lakini dini ya kweli ni uislamu tu,

Dini zoote ikiwemo ukristo ni dini za mchongo tu, na hilo ndilo linawanyima usingizi
Uislam si dini ya Amani ni Genge la wauaji!,
 

Attachments

  • IMG_2326.jpeg
    292.6 KB · Views: 15
ni habari njema sana na imechelewa ingawa, mimi nata russia kama ni mkweli aanze kuleta za kivita kwenye mipaka ya iran hivi sasa ili US aanze kupata jamba jamba na myahudi ndio ngombe wa kafara kwanza atazamishwa muisraili ndio vite ya 3 iendelee
 
Hapo ujue Iran inapeleka majeshi yake kupambana na Ukraine!
Na muda siyo mrefu ya Russia yanaingia Iran kama Marekani ina nia ya kuishambulia Iran.
 
Yaani urusi ikaipige israel/marekani kisa iran inachapika, hii inaingia akilini?
Wale Magaidi wa Kiislamu wa Chechen- Ingushet hawachelewi kukinukisha wajitenge wawe nchi', Iran mfadhili mkuu wa magaidi ataisaidia Russia kuwapiga wapiganaji wa Allah ?.
 
ni habari njema sana na imechelewa ingawa, mimi nata russia kama ni mkweli aanze kuleta za kivita kwenye mipaka ya iran hivi sasa ili US aanze kupata jamba jamba na myahudi ndio ngombe wa kafara kwanza atazamishwa muisraili ndio vite ya 3 iendelee
Oligach na Deep State ya Russia km Roman Abromovick aliyemuweka madarakani Putin ana asili ya Jews leo uote ndoto za Russia kuipiga Israel ! ndoto za madrasa hizo..
 
Acha uongo kama hakuna anaejua we umejuaje na upo hapo msikiti wa mzee tumbo
 
Mnachojadili mbona hakijaandikwa kwenye hiyo habari ya kiingereza!

Kama ushurikiano huo ungekuwepo, ungeandikwa kwa sentensi Moja tu simple, "shambulizi kwa nchi mojawapo itachukuliwa kama shambulizi kwa wote" kama article 5 ya NATO!
 
Oligach na Deep State ya Russia km Roman Abromovick aliyemuweka madarakani Putin ana asili ya Jews leo uote ndoto za Russia kuipiga Israel ! ndoto za madrasa hizo..
israel itapigwa na iran silaha atatoa russia, vita haina undugu wala haina macho lengo ni kupambana na adui, Adui mkubwa wa Iran ni Israel ndiye anayefadhiliwa ni mayahudi wakubwa zaidi US, usiandikie mate
 
Yaani Marekani, Israel na wajanja wote wa magharibi wasijue eti wewe kapuku wa hapo Manzese kwa Mfuga Mbwa 🐕 unayeshindia uji kwa magimbi ndio ujue...🤣🤣🤣🤣
usa na israel wanajua km iran hzo silaha anazo angekua hana wangekua washamshambulia zamaniiiii
 
Yaani Marekani, Israel na wajanja wote wa magharibi wasijue eti wewe kapuku wa hapo Manzese kwa Mfuga Mbwa 🐕 unayeshindia uji kwa magimbi ndio ujue...🤣🤣🤣🤣
Wewe ni mjinga, nuclear bomb South Africa wametengeneza miaka ya 1980s/90s walitengeneza makombora 6, ni ushamba unakusumbua kuona nuclear bomb ni deal..

Iran has already developed a series of nuclear warheads like ballistic missiles, bombs and rockets, Iran has kept it military power hidden.


Iran also bought nuclear weapons from Ukraine and Kazakhstan.tazama hapo chini.

Mbali na hilo NK ilisafanya majaribio ya nuclear wa ajili ya Iran..
Hilo linakuwa guu hata kwa US, Israel na West ku confirm hilo, lakini ukimfuata Netanyahu personal atakuambia Iran ana nuclear wanachofeli ni proof..






soma hio taarifa.. mwaka 1998
 
Uongo mtupu huu.
Mradi wao wa nuclear unajulikana vizuri na haujafikia stage ya silaha, na hautaruhusiwa kufika huko
Western analysts say the country has the knowledge and infrastructure to produce a nuclear weapon in fairly short order should its leaders decide to do so....

Hio kauli ukiichambua kama una akili hutopingana na hilo, mradi wa Iran wa nuclear wakisema mwezi ujao watoe nuke wanatoa, endelea kujidanganya eti wapo monitored, huyo si Iraq wala Syria waliojenga vinu jangwani..
 
Mrusi ametuonesha wazi ukraine,Mrusi ni hatari.Uzuri wa vita vya sasa tunavishuhudia sio stori wala propaganda.
 
Oligach na Deep State ya Russia km Roman Abromovick aliyemuweka madarakani Putin ana asili ya Jews leo uote ndoto za Russia kuipiga Israel ! ndoto za madrasa hizo..
Uzuri jewish wa leo wote wa mchongo kila mahali mnawapachikapachika.
 
We umesema hakuna anaejua Cha ajabu wewe umejua hivi unaakili timamu kweli
South Africa wlitengeneza 6 nuclear bombs, miaka dahari nyuma, hivi akili zako zinakutosha kwa nchi kama Iran iliyoendela zaidi kwenye tech kukosa huo uchafu unaitwa nuclear? ni kipi kinachowafanya Israel kusita kuishambulia Iran? hata Israel wanaelewa hilo...
Waajemi sio wapumbavu kiasi hiko.. wawe kwenye mvutano na ugomvi na nchi zina nuclear halafu wakae kizembe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…