Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Hujajibu swali unazunguka tu kama umekatwa kichwa we umesema hakuna anaejua we umejuaje huo utengenezaji wa nuclear
 
Iran na Russia lazima wawe pamoja kwa sababu Europe na USA hawapendi kuona hawa jamaa wakikua kiuchumi na kijeshi.
 
Western analysts say the country has the knowledge and infrastructure to produce a nuclear weapon in fairly short order should its leaders decide to do so....
Hiyo ni kwamba bado hawana
👇

DOES IRAN HAVE A NUCLEAR WEAPON?

Iran does NOT yet have a nuclear weapon, but it has a long history of engaging in secret nuclear weapons research in violation of its international commitments.

Western analysts say the country has the knowledge and infrastructure to produce a nuclear weapon in fairly short order should its leaders decide to do so.

The United States, Israel, and other Middle Eastern partners regard Iran as a primary threat to their interests in the region, and view its potential acquisition of nuclear weapons as a game-changing scenario to be steadfastly prevented—by force if necessary....
 
Yupo 60% purity akaamua ni ndani ya wiki 4 inakuwa bom ..watafanyaje hao machoko na ww usiimbe kama kasuko
 
israel itapigwa na iran silaha atatoa russia, vita haina undugu wala haina macho lengo ni kupambana na adui, Adui mkubwa wa Iran ni Israel ndiye anayefadhiliwa ni mayahudi wakubwa zaidi US, usiandikie mate
Ukichoka kuisimanga Marekani kameze hizo ARV zinazotolewa kwa msaada na walipa kodi wa Marekani.. km Trump ataamua kukata misaada kikweli kweli tutegemee AIDS Donors watoke Iran..
 
Mleta mada unashida ya kusahau sana... Assad alipinduliwa Russia akiwa ana kambi ya Jeshi Syria na Iran akiwa ana Askari Damascus.

Russia itakachowasaidia Iran ni kuwasaidia viongozi wake tu
 
Asante sana
 
Mleta mada unashida ya kusahau sana... Assad alipinduliwa Russia akiwa ana kambi ya Jeshi Syria na Iran akiwa ana Askari Damascus.

Russia itakachowasaidia Iran ni kuwasaidia viongozi wake tu
Assad amepinduliwa na wananchi wake. Ulitaka Iran na Urusi zianze kuwaua raia wa Syria ndani ya Syria?
 
Assad amepinduliwa na wananchi wake. Ulitaka Iran na Urusi zianze kuwaua raia wa Syria ndani ya Syria?
Wewe Jamaa unajifanya hujui kuwa Russia walitoa Askari na msaada kwa Assad asipinduliwe...

Siku Nasrallah alipouliwa Syria walishangilia kuliko Israel sababu, Hezbollah na Iran waliwaua Wassuni wengi sana kisa kumlinda Assad
 
Wewe Jamaa unajifanya hujui kuwa Russia walitoa Askari na msaada kwa Assad asipinduliwe...

Siku Nasrallah alipouliwa Syria walishangilia kuliko Israel sababu, Hezbollah na Iran waliwaua Wassuni wengi sana kisa kumlinda Assad
Nahisi unakza fuvu tu wakati hujaelewa hoja. Assad alichokwa na wananchi wake na ameondolewa na wananchi wake. Assad alikuwa analindwa na jeshi lake la mchongo tu ambalo pia lilimchoka. Unahisi ilikuwa inawezekana kumlinda mtu amabye amechokwa na wananchi wake na jeshi lake? au ulitaka Iran na Urusi ziwaue wananchi wa Syria ili kumlinda mtu aliyechokwa na wananchi wake???
 
Yaani urusi ikaipige israel/marekani kisa iran inachapika, hii inaingia akilini?
Asa urrusi unategemea awe upande wa marekani au ? We una akili sawa sawa yaani uache kushirikiana na rafiki Yako uungane na adui yenu
 
Hana kosa
 
Taarifa kama hizo waga ni za kupuuza tu maanake zinatokea kwenye masjid ubwabwa.
 
Roho nyeusi fii, una chuki na uislamu wazi wazi, haukutoki mdomoni, mada si uislamu wala dini lakini tayari ushaanza ku mchafua
Kumbe Allah anamilikiwa na waisilam?
 
Hujajibu swali unazunguka tu kama umekatwa kichwa we umesema hakuna anaejua we umejuaje huo utengenezaji wa nuclear
Ayatollah alinipigia simu akanambia..
Kuwa muelewa..
Nimeweka uthibitisho hapo juu, Iran kununua kwa siri nuclear bombs. kutoka Kazakhstan miaka ya 1990s, dalali wa deal akiwa Karl Lee...

Nashangaa mnavyokuwa surprised kusikia iran kumiliki nuclear bomb, tena hawana nuclear bomb moja wanayo ya kutosha...

Kwa miongo miwili iliyopita dunia imeshuhudia ukitaka usivamiwe kijeshi basi miliki WMDs, Nchi zote ambazo zilikosa nuke zilivamiwa na kupigwa bila huruma tukianza na Iraq, Libya waliachana na mradi huo wakavamiwa, Ukraine pia waliachana na nuke na wamevamiwa, North Korea wanajaribu nukes zao kila leo na hakuna aliye wavamia... Hata NATO wanaiheshimu Russia kwa sababu wanaelewa kuna nuclear....

Funzo ni kuwa kama unataka ku survive basi miliki nukes, hakuna atakayetaka vurugu na wewe, kwa hilo utailaumu Iran kumiliki nuclear?
Karibu miaka 10, Iran inasema kila siku inaweza tengeneza nuclear bomb ndani ya week mbili..

Sasa hizo missiles walinunua kutoka Kazakhstan walikwenda zifanyia nini?
 
Iran imempiga tafu sana Russia kwenye vita ya Ukraine.
Hii imepelekea Russia kumchukulia Iran kama mshirika wake.
Acha mahaba wewe, Tafu gani ya maana aliyompa zaidi ya iran kupewa vifaa na teknolojia? Labda kama iran alitoa askari kwa ajili ya frontline.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…