Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Putin kama ni mwanaume aingize pua yake hapo kwa Israel mapema tu anakatwa kichwa na ndio itakua by by russia
 
An finally the hamped them ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Putin ni rafiki mkubwa wa Netanyahu! Wana misimamo inayofanana linapokuja swala la Uzalendo kwa nchi zao!
Isitoshe Russia iko vitani na Ukrane sidhani kama ataweza kuisaidia Iran.
 
Russia hata akiwa mkweli, bado hawezi fanya vita huku na huku na pia uwezo wake tunautilia mashaka sana huwenda hata Iran iko mbele yake zaidi katika medan za kivita
 
Najisikia kucheka sana
Ona ulivyo mwehu
 
Kwahiyo wanazo au hawana?
 
Yaani Marekani, Israel na wajanja wote wa magharibi wasijue eti wewe kapuku wa hapo Manzese kwa Mfuga Mbwa ๐Ÿ• unayeshindia uji kwa magimbi ndio ujue...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Huyu dogo anazinguaga sana.
 
Tunaisubiri hiyo ambayo Israel na US zitathubutu shambulia Iran.
tayari Israel na US zimeishambulia Iran, Urusi iko kimya haijaingia vitani kuisaidia Iran, labda tuendelee kusubiri hadi mwisho wa vita tuone kama itaisaidia vitani
 
Russia mjanja mjanja sana.
 
Iran iko vitani dhidi ya Israel na US wiki moja sasa Urusi bado haijaingia vitani kumsaidia mshirika wake huyo
 
Putin laghai..
 
Yaani Marekani, Israel na wajanja wote wa magharibi wasijue eti wewe kapuku wa hapo Manzese kwa Mfuga Mbwa ๐Ÿ• unayeshindia uji kwa magimbi ndio ujue...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ