Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

Mkuu bahati nzuri Technology ni nzuri sana. Kuna miezi kadhaa utakimbia comments Zako hapa ,
 
Juzi umeshiba not like other cheap threads
 
Siko CNN wala na sijAweza kubase Huko Nina vyanzo sahihi kutoka field na ukitaka nianze kuweka habari ambazo naweka sasa hivi Alafu CNN na hao wengine RT wanakuja kuzitangaza Baada ya Lisaa?
Kwa hiyo ni wewe tu una watu huko Field!! Walioko kwenye vyanzo wala hutawasikia wakijinasibu hivi. Kwa kauli hiyo tu ya kujinasibu kuwa una vyanzo sahihi field tayari saikolojia inaonyesha wewe ni muongo. Thread yako 100% ni MTAZAMO WAKO BINAFSI NA MATAMANIO YAKO
 
Acha wapige propaganda MOSCOW hakuna hizo habari
 
Mpaka juzi waziri wao anakwambia wameingia hasara ya trillion 1300s
Kwahio hapa kweli UKRAINE kashinda heeheee
 
Nineona i.Epostiwa hii kitu
 
Hakika huu ni uchambuzi yakinifu na hizi ni facts& statistics za kujenga hoja ki greater thinker. Asante sana@britanica usikose kunitag mara uendeleapo na uchambuzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…