Kama mahakama ni huru, Kwanini Raila aandamane na kudai haki ya kudhurumiwa kwenye uchaguzi na pia na Mahakama hiyo huru na ya haki. Au mmesahau. Tanzania kwa Mtanzania ni the best.
Wewe ndiyo mjinga zaidiWe ndo mjinga sana.
Wanaoandamana ni hawa hapa:Hao wanapndamana Ni wakenya au waluo?
Mkuu huku si kupasuana. Huku ni kumpa nafasi mwananchi kuamua hatma ya nchi yake.
Katiba inayochochea machafuko ndiyo nzuri kweli."Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke."
Hata hivyo maisha lazima yaendelee.
Kutokea kwa majirani zetu:
Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika.
Miamba miwili kila mtu kwenye ngome yake ikaendelea kujiwinda na kuvurumishiana magoma ya vita.
Upande wa Ruto:
1. Wakatoa miito rasmi kuomba kama vipi wahisani au hata ICC waingilie kati kumtia adabu Baba kwa wanachokiita utoto tundu wake wa kutaka kuivuruga Kenya.
2. Wakavilaumu vyombo vya habari kwa kuyapatia mileage maandamano yale.
3. CAK (kama ilivyo TCRA ya kwetu) ikavipiga onyo kali vyombo vyote vya habari vilivyo ripoti matukio ya Jumatatu.
4. CAK ikapiga marufuku kufanya coverage yoyote kuhusiana na maandamano. Tishio lile lile pendwa la kupokonywa leseni.
"Tangia jana si radio, gazeti au TV ziliweza kusema lolote kuhusu maandamano yaliyopita au yajayo."
Upande wa Baba:
1. Utamu wa harufu ya ukombozi ukawafanya yeye na wafuasi wake kuongeza dozi ya maandamano kuwa 2 kwa wiki badala ya 1.
"Vyuma vikasubiriwa kuumana."
Wadau wengine:
1. Maaskofu wa RC Kenya kwenye mkutano wao rasmi kuhusu mzozo huu, wakatoa tamko kuwataka wawili hao kuridhiana. Yaani maongezi ya ana kwa ana mezani. Maridhiano!
2. Vyombo vya habari vikakimbilia mahakamani haki yao ya kuhabarisha na kina sisi kuhabarishwa vimekiukwa.
3. Mahakama nayo haikufanya ajizi. Kwenye hukumu iliyotolewa Leo, CAK, chali! Hatua zote alizokuwa kachukua ni batili. Magazeti, Radio na TV zikarejea tulipokuwa.
Tulipo sasa tuko square "A". Jumatatu ni D-Day kwa ari mpya, nguvu na kasi mpya.
Jumatatu polisi hawana kisingizio kwani maandamano yatakuwa halali.
"Kenya wenye nchi wananchi!"
Ishukuriwe Katiba yao bora kabisa waliyokuwa nayo.
Tuipiganie Katiba mpya ndugu zangu. Wenye nchi wananchi tunastahili vilivyo bora.
Source: Nation Media
Kama katiba mpya matokeo yake ni vurugu bora tuendelee na katiba iliyopoNdo mana CCM hawataki katiba mpya.
Huyo mlamba asali kwangu kwa sasa naona kafikia mwisho.Basi kama huo ndiyo unaotufanya kuwa mazezeta mlamba asali atauzima namna gani?
"Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke."
Hata hivyo maisha lazima yaendelee.
Kutokea kwa majirani zetu:
Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika.
Miamba miwili kila mtu kwenye ngome yake ikaendelea kujiwinda na kuvurumishiana magoma ya vita.
Upande wa Ruto:
1. Wakatoa miito rasmi kuomba kama vipi wahisani au hata ICC waingilie kati kumtia adabu Baba kwa wanachokiita utoto tundu wake wa kutaka kuivuruga Kenya.
2. Wakavilaumu vyombo vya habari kwa kuyapatia mileage maandamano yale.
3. CAK (kama ilivyo TCRA ya kwetu) ikavipiga onyo kali vyombo vyote vya habari vilivyo ripoti matukio ya Jumatatu.
4. CAK ikapiga marufuku kufanya coverage yoyote kuhusiana na maandamano. Tishio lile lile pendwa la kupokonywa leseni.
"Tangia jana si radio, gazeti au TV ziliweza kusema lolote kuhusu maandamano yaliyopita au yajayo."
Upande wa Baba:
1. Utamu wa harufu ya ukombozi ukawafanya yeye na wafuasi wake kuongeza dozi ya maandamano kuwa 2 kwa wiki badala ya 1.
"Vyuma vikasubiriwa kuumana."
Wadau wengine:
1. Maaskofu wa RC Kenya kwenye mkutano wao rasmi kuhusu mzozo huu, wakatoa tamko kuwataka wawili hao kuridhiana. Yaani maongezi ya ana kwa ana mezani. Maridhiano!
2. Vyombo vya habari vikakimbilia mahakamani haki yao ya kuhabarisha na kina sisi kuhabarishwa vimekiukwa.
3. Mahakama nayo haikufanya ajizi. Kwenye hukumu iliyotolewa Leo, CAK, chali! Hatua zote alizokuwa kachukua ni batili. Magazeti, Radio na TV zikarejea tulipokuwa.
Tulipo sasa tuko square "A". Jumatatu ni D-Day kwa ari mpya, nguvu na kasi mpya.
Jumatatu polisi hawana kisingizio kwani maandamano yatakuwa halali.
"Kenya wenye nchi wananchi!"
Ishukuriwe Katiba yao bora kabisa waliyokuwa nayo.
Tuipiganie Katiba mpya ndugu zangu. Wenye nchi wananchi tunastahili vilivyo bora.
Source: Nation Media
Uhuru wa kiboya huo Yani mnaandamanishwa kwa maslai ya mwanasiasa
Katiba inayochochea machafuko ndiyo nzuri kweli.
Wakenya kwenye kupigania haki zao ni miamba halisi. Hawana muda wa kuchekacheka na kima.
Kuna kitu watanganyika twende sasa tukajifunze kwa wakenya.
Mimi nilishangaa eti watapokonywa leseni. Kumbe hawajui kuwa Kenya mahakama zao ni tofauti.
KENYA NI YA WAMCHI, SIYO YA WAJALUO IF YOU PICKET MY SHOP AND STOP ME FROM SELLING MY WARES, YOU ARE GOING TO BE DISENFRANCHISING ME SO THE LAW MST STOP YOU. WHAT HAPPENS IF PEOPLE ANDAMANA KUPINGA WANAONDAMANA AU WANAANZISHA VIKUNDI VYA ULINZI KUJIHAMI NA WAANDAMANAJI, SI NI VITA?
Ufaransa ndio kuna maandamo
Hao Wajaluo wanaandamana na kupumzika hayo ni maandamo uchwara!
Kuna na yule wa TRL aliyefukuzwa kwa kutoa maoni yake tu kwenye group binafsi la Whatsapp kuhusu Tozo.Huku Gerald hando kapinga mikopo kaondolewa kazini. Tanzania bado Sana.
Wakenya kwa kuuana hawana muda wa kuchekacheka! Inabidi na sisi tupate katiba mpya tufanye hivyo. Hii katiba ya sasa inatuminya - ituachie tufanye kama wenzetu waKenya.
Ruto kasema Raila asubiri uchaguzi 2027 amgaragaze tena, ila akiendelea na maandamano atakiona cha moto!
Kwanini wasisubir uchaguz wamuondoe kwa kura
Wanachokifanya sio poa ni uwendawazimu