Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku vyote hivyo. Ukute hata masuala ya mashindano ya dini au matamasha ya kwaya uwanjani kama kwa mkapa isingewezekana huko
Hawachelewi kusema hio Ni mikusanyiko isiyo na kibali na yenye malengo ya kuchochea uvunjifu wa amani Hahah.
 
Rwanda si Tanzania....

Wala Rwanda si kigezo cha kuigizwa na kila mtu.....

Tuwaige watu waliomwagana danu kisa ya PUA NDEFU na PUA PANA FUPI ?!!!

Nakukumbusha baba wa taifa alileta UJAMAA WA KIAFRIKA akasema hawezi kusimamisha UKOMUNISTI kwa kuwa UKOMUNISTI unapinga DINI...naye ni mkatoliki....na akina AbdulWahid Sykes ,Mshume Kiate ,Mashado Plantan ,Ally Sykes ,Mzee Rehani ,John Rupia na wazee wale wenye kupenda DINI ZAO walipambana naye bega kwa bega......

#siempre JMT🙏
 
Yani tanzania tunavumiliana sana watu hawajali kama usku watu wanataka kulala yani hawajali. We unaachaje maspka yamapga kelele usku kucha
 
Huu msimamo ungekuja na hapa bongo

Sema CCM hawatalikubali maana wao na hao wenye dini lao ni moja
Hahah Hilo halitawezekanika chief,kumbuka kwny kampeni zetu Hawa viongozi wa dini hua wanakua na 'kazi maalumu'.
 
Yaani wale wazee waliopambana Vita vya majimaji kutoka UNGINDONI ,UMATUMBINI ,UNDENGEREKONI,LIWALE ,KILWA MASOKO walipambana ili siku moja TANZANIA imuige KAGAME...huyu Kagame huyu?!!! kupiga marufuku wito wa swala ya alfajr ?!!! 😳😳😳

What a joke 🤣🤣🤣

#Siempre JMT🙏
 
Una uhakika huyo Kagame amezuia kelele zote au unaunga tu mkono Uhuru wa kuabudu kuminywa? Hao wanasiasa, wakati wa kampeni hawatafunga speaker mitaani? Ambulance zitatembea bila sauti? Misafara Yao itaendeshwa kimya kimya? Ndege zao hazina kelele? Hazishuki alfajiri?

Ni upuuzi kufurahia Uhuru wa namna yeyote ile kuminywa, iwe unakugusa au haukugusi.
 
Yani tanzania tunavumiliana sana watu hawajali kama usku watu wanataka kulala yani hawajali. We unaachaje maspka yamapga kelele usku kucha
Na ukienda kulalamika inaonekana wewe Ni atheist.
 
Mungu hawezi kujilipua

Maana hayupo

Ndiyo hujawahi "kumuona" Mungu akijipigania

Ni binadamu,wafuasi wa dini ndiyo hupumbana kumpigania wakati yupo "mbinguni"

Mimi siyo mfia dini kaka.
Na siamini katika Mungu.
 
Safi sana. Nafikiri hii pia ifatwe huku kwetu wasisahau na makanisa pia. Kila kitu kufanyikie ndani ya nyumba ya ibada kwa utulivu.

Makongamano na miadhara ya dini zote ipigwe marufuku. Wahubiri kwenye vyombo vya usafiri wa uma na maeneo ya uma pia piga marufuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…