mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Kweli kabisa[emoji7]Mimi ni mkristo! Lakini siungi mkono kuminya uhuru wa kuabudu!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa[emoji7]Mimi ni mkristo! Lakini siungi mkono kuminya uhuru wa kuabudu!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mbona wakati anapitisha sheria ya kuwabana WaKristo hatukuona hoja yako hii ya ubaguzi wa kidini?. MfanoAdhana ni sehemu miongoni mwa sehemu katika ibada ya swala ya kiisilamu, Adhana ni Lazima itolewe kwa sauti na Adhana haina mbadala kwa njia yoyote kwani yenyewe inabeba ujumbe wa kiroho unaomuhamashisha mtu aache mambo mengine na akaswali, adhana ni wito wenye "spiritual admonitions" and can't be replaced by anything else.
Adhana mbali na kuamsha na kuwataarifu wenyeji juu ya muda wa ibada lakini pia inawajulisha wageni kwamba msikiti upo wapi na hivyo kuwaunganisha Wageni waisilamu na ndugu zao wenyeji wa kiislamu katika Swala nk, Uisilamu ni zaidi ya kuswali msikitini na kuondoka.
Shida iliyopo Rwanda ni 90+% ni Christians na wachache waliobaki ni Muslims hivyo utaona nguvu ya Udini imeshawishi kuwepo na hilo katazo hii ni tofauti na Tz ambapo kuna angalau 50/50% Muslims na Christians ambapo tumejengwa kuvumiliana katika masuala ya imani.
Kuzuia utoaji wa adhana ni pigo katika imani ya dini ya kiisilamu.
www.opindia.com
Bado sisi sasaSaudi Arabia pia, walishakataza Adhana saa 10:50 usiku washaanza makelele, yaani kero kuu, yaani ni kero kubwa, watu hawalali, ni makelele utafikiri miji ya matarumbeta. Ni kero sanaa sanaa.
![]()
Saudi minister defends volume limit on mosque loudspeakers
Saudi Islamic affairs minister says the order was in response to citizens’ complaints about excessive noise.www.aljazeera.com
![]()
Saudi Arabia restricts the use of loudspeakers by mosques, directs to keep the volume at a one-third level: Details
The Ministry in Saudi Arabia also ruled that prayers conducted by Imam should be specific to the devotees within the mosques | OpIndia Newswww.opindia.com
Huko anakoenda sasa mr slim ni pabaya
Kukataza kupigia watu kelele zisizo wahusu usiku ndio kuelekea pabayaRwanda wanaelekea pabaya
Huwa nafurahi pale ambapo mtu anaamini msimamo wa imani yake ndio msimamo wa wanadamu wote.Ukataze adhana uruhusu wenye mabaa wapige mziki watakavyo,laana hiyo.Adhana ya dakika mbili ina tatizo gani? Adhabu yake ipo na siyo muda mrefu
Sipingi madhumuni ya adhana. Tatizo ni kule kuhusisha wale wasiohusika. Kama ujirani wote ungekuwa ni Waislamu pekee, hapo ingekuwa sahihi kuwachokonoa wale Waislamu kaidi au dhaifu wanaotaka kuendelea kuvuta shuka. Hizo "spiritual admonitions" zitakuwa zinamfika mlengwa na hazimsumbui asiyehusika anayetaka ku-maximize usingizi wake kabla ya kuamka kwenda kupambana na mahitaji ya maisha. Kwa vitu ambavyo haviwezi kutekelezwa msikitini, njia mbadala itafutwe ya kuwafikia walengwa ambayo siyo kero kwa wasiohusika. Kwa mfano, mchana unaofuata ujumbe unaweza kutumwa kwa hao wakaidi ukiwakanya wanayofanya na kuwataka waongoke. Mradi tu asiyehusika habugudhiwi. Kwa maneno ya Rais Mstaafu Mwinyi, "Mbebaji hatabeba mzigo usiomhusu".Adhana ni sehemu miongoni mwa sehemu katika ibada ya swala ya kiisilamu, Adhana ni Lazima itolewe kwa sauti na Adhana haina mbadala kwa njia yoyote kwani yenyewe inabeba ujumbe wa kiroho unaomuhamashisha mtu aache mambo mengine na akaswali, adhana ni wito wenye "spiritual admonitions" and can't be replaced by anything else.
Adhana mbali na kuamsha na kuwataarifu wenyeji juu ya muda wa ibada lakini pia inawajulisha wageni kwamba msikiti upo wapi na hivyo kuwaunganisha Wageni waisilamu na ndugu zao wenyeji wa kiislamu katika Swala nk, Uisilamu ni zaidi ya kuswali msikitini na kuondoka.
Shida iliyopo Rwanda ni 90+% ni Christians na wachache waliobaki ni Muslims hivyo utaona nguvu ya Udini imeshawishi kuwepo na hilo katazo hii ni tofauti na Tz ambapo kuna angalau 50/50% Muslims na Christians ambapo tumejengwa kuvumiliana katika masuala ya imani.
Kuzuia utoaji wa adhana ni pigo katika imani ya dini ya kiisilamu.
Hahahahaaaa,Tx tuadopt Hilo suala Kwa kagame!Na mikutano yake ya hadhara Kagame asitumie spika ni public nuisance kwa wagonjwa majumbani nk
Hivi mtu anaweza kujilipua kisa Yale maspika yamezuiliwa kupigia watu kelele?Kagame awe makini wasianze kujitoa mhanga kwa kujilipua mabomu huko...
Hii habari ya 2018 na sio misikiti tu mpaka makanisa yamefungwaKwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.
Hii ni Taharifa ya BBC...
Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.
-
Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.
-
Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu. View attachment 2188599
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Kama hoja ndo kama yako naunga mkono uamzi wa Kagame. Hapa duniani kila jamii au imani ina Mungu wao ambaye hafanani na huyo wa kwako au wa mwingine. Hivyo huo utukufu unautambua pekee yako na sio wote. Hata upande wa makanisa alishapiga ban watu kujifanyia watakavyo. Kongole Prezida Kagame
Mathayo 6 : 6 Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.Mliongea na Mungu yupi hivyo? .Mungu yupi alikwambia hivyo sababu kuna Miungu tofauti na kila mtu huabudu Mungu wake huyo Mungu wake atakavyo
Wewe uliongea na miungu yote watu wanayoiabudu wakakwambia hilo? Sababu Mungu wako sio wangu na nisimtambui na wewe wangu humtambui
Baltimayo kwenye Bibliia alisali kwa kupiga makelele miyowe Yesu mwana wa Daudi unirehemu .Maombi yake yakasikilizwa na Yesu akamponyaMathayo 6 : Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
7 Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
Sioni msingi wa kusumbua watu wengine Kwa makelele Kwa interest ya dini Moja!Uhuru wa mtu unapoishia ndipo wa mwingine unapoanzia!Adhana ni sehemu miongoni mwa sehemu katika ibada ya swala ya kiisilamu, Adhana ni Lazima itolewe kwa sauti na Adhana haina mbadala kwa njia yoyote kwani yenyewe inabeba ujumbe wa kiroho unaomuhamashisha mtu aache mambo mengine na akaswali, adhana ni wito wenye "spiritual admonitions" and can't be replaced by anything else.
Adhana mbali na kuamsha na kuwataarifu wenyeji juu ya muda wa ibada lakini pia inawajulisha wageni kwamba msikiti upo wapi na hivyo kuwaunganisha Wageni waisilamu na ndugu zao wenyeji wa kiislamu katika Swala nk, Uisilamu ni zaidi ya kuswali msikitini na kuondoka.
Shida iliyopo Rwanda ni 90+% ni Christians na wachache waliobaki ni Muslims hivyo utaona nguvu ya Udini imeshawishi kuwepo na hilo katazo hii ni tofauti na Tz ambapo kuna angalau 50/50% Muslims na Christians ambapo tumejengwa kuvumiliana katika masuala ya imani.
Kuzuia utoaji wa adhana ni pigo katika imani ya dini ya kiisilamu.
Hii habari ya 2018 nasio masikiti tu hata Makanisa yamefungwaKwa kweli Rwanda wanajielewa sana kwa hili nawaunga mkono hata Yale makanisa yenye kukesha nayo yafungiwe kupiga kelele Mungu haabudiwi kwa makelele
Sioni msingi wa kusumbua watu wengine Kwa makelele Kwa interest ya dini Moja!Uhuru wa mtu unapoishia ndipo wa mwingine unapoanzia!
Inaweza kuwa justified within community ya waislam pekee!
Wanakutisha eeMisikiti mingine huku uswazi utasikia Amka amka ndugu waislam amkeni. Kitanda hicho ni kaburi lako