Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hahaha hii pande za uswazi kwetu ni nyomi sanaMisikiti mingine huku uswazi utasikia Amka amka ndugu waislam amkeni. Kitanda hicho ni kaburi lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hii pande za uswazi kwetu ni nyomi sanaMisikiti mingine huku uswazi utasikia Amka amka ndugu waislam amkeni. Kitanda hicho ni kaburi lako
Ukiwa unaniquote hakikisha upo karibu na google translater, ili twende sawa ostaz Mokiti, maana elimu yako juu ya uislamu ni kubwa sana.Ni kwa nini mnaenda kubusu jiwe?
Embu acha utoto , humu watu lugha asilimia kubwa ni kingereza na kiswahili, naona mada zinakuzidi unaanza utotoأصلا أنت تستفيد شنو؟ سواء تقبل الحجر أو نبلعه؟
Nadhani tunaelewana vizuri.
Jibu maswali hayoNitakujibu , mapaka kwanza useme umeelewa tofauti ya nature ya Allah na Jehovah,
Allah - physical being
Jehovah - spirit
Ukisha sema umeelewa Kuna utofauti ndio nakujibu
Nakutaadharisha kijana waislamu watapita na shingo , Allah sio spirit usirudie tena na kuwa makiniJibu maswali hayo
halafu nafikiri hujui tafauti ya physical being na Spirit..
acha nikufahamishe,kwa uwelewa wangu Yesu ni Physical being ni kitu unachokiona,kukigusa,kukipiga,kukiweka msalabani,nakadhalika..
Allah ni Spiritual,haonekani,yajafanana na yoyote wala kitu chochote,hakuzaa,hakuzaliwa,nakadhalika nakadhalika
Ramadhan Karim
Mungu Yesu ni Physical being,alikuwa anakunya,unamuona,kazaliwa,kakatwa govi,etc,etc
Je umeshawahi kusoma picha ya Allah,nafikiri hujawahi kuona kwasababu Allah ni SPIRITUAL
Wakati Muhammad anaishi,Quran ilikuwa bado haijakusanywa..Anae wafundisha dini yenu anawadanganya Sana , nani ka kwambia muhammad alikuwa hajui kusoma na kuandika?
Baada ya Muhammad kulishwa sumu tunamuona hapa anaomba apewa sehemu ya kuandikia aandike , jamaa wakamkatalia maana walishamuona anakaribia kukata moto
Ibn `Abbas said, "When Muhammad (ﷺ) was on his deathbed and there were some men in the house, he said, 'Come near, I will write for you something after which you will not go astray.' Some of them ( i.e. his companions) isaid, 'Allah's Messenger (ﷺ) is seriously ill and you have the (Holy) Qur'an. Allah's Book is sufficient for us.' So the people in the house differed and started disputing. Some of them said, 'Give him writing material so that he may write for you something after which you will not go astray.' while the others said the other way round. So when their talk and differences increased, Muhammad said, "Get up." Ibn `Abbas used to say, "No doubt, it was very unfortunate that Muhammad was prevented from writing for them that writing because of their differences and noise." Sahih al-Bukhari 4432
Spirit haionekani,Allah haonekaniNakutaadharisha kijana waislamu watapita na shingo , Allah sio spirit usirudie tena na kuwa makini
Nenda YouTube ka search Allah body parts
Allah - physical being
Jehovah - spirit
Elewa kwanza hapa ndio nikujibu
Nilitaka kukutoa tongotongo ya uongo ulio lishwa Muhammad kwamba hajui kusoma na kuandika ,Wakati Muhammad anaishi Quran ilikuwa bado haijakusanywa..
katika hii habari kuna sehemu inasema kuwa mmoja wa watu waliomzuka alisema "usiandkie kitu tuna kitabu cha quran kinatosha kwetu"
Abubakar ndie alikusanya Quran akamalizia Omar,hiyo baada ya miaka 20 toka Mtume Kufa
Mchungaji,usiamini kila unachokisoma kwenye Internet
kama elimu yako na ushahidi wako kuhusu Uislam unaupata hivyo basi unapotoka,tafuta njia nyengine
Nakuonya tu usiseme mbele ya waislamu wenzako Allah ni spirit , hilo tu usijaribu kabisaSpirit haionekani,Allah haonekani
Physical ni kitu kinachoonekana Mungu Yesu alikuwa anaonekana,siku hivi picha zake ziko kila kona
jifundishe maneno ya Kingereza ufahamu lugha zaidi
Huwezi kinitoa tongotong mimi,mimi sio mwenzako,dini yangu naijua vizuri na Dini yako naijua vizuriNilitaka kukutoa tongotongo ya uongo ulio lishwa Muhammad kwamba hajui kusoma na kuandika ,
Kwa hiyo kitabu nachosoma Cha sahih Al bukhari nacho nitapotoka? Aisee
Embu thibitisha hii Hadith ni uongoHuwezi kinitoa tongotong mimi,mimi sio mwenzako,dini yangu naijua vizuri na Dini yako naijua vizuri
kuna fake Hadith nyingi kwenye Internet, kuna mpaka Quran fake kwenye Internet,hiyo ni stori ya uongo au umekuwa edited
stori ya kweli hiyo hapo chini
View attachment 2197490
Kama kingereza kinaoanda ingia hapa sikiliza alafu njoo toa mrejesho , ni kwamba haujui nature ya mungu wako AllahSpirit haionekani,Allah haonekani
Physical ni kitu kinachoonekana Mungu Yesu alikuwa anaonekana,siku hivi picha zake ziko kila kona
jifundishe maneno ya Kingereza ufahamu lugha zaidi
nimesha kuthibitishia katika post iliyopita kuwa Quran ilikuwa bado haijaandikwaEmbu thibitisha hii Hadith ni uongo
Ibn `Abbas said, "When Muhammad (ﷺ) was on his deathbed and there were some men in the house, he said, 'Come near, I will write for you something after which you will not go astray.' Some of them ( i.e. his companions) said, 'Allah's Messenger (ﷺ) is seriously ill and you have the (Holy) Qur'an. Allah's Book is sufficient for us.' So the people in the house differed and started disputing. Some of them said, 'Give him writing material so that he may write for you something after which you will not go astray.' while the others said the other way round. So when their talk and differences increased, Muhammad said, "Get up." Ibn `Abbas used to say, "No doubt, it was very unfortunate that Muhammad was prevented from writing for them that writing because of their differences and noise." Sahih al-Bukhari 4432
Alafu kwa nini waislamu mnadanganya Sana kuhusu mtume wenu?
Nimeshakwambia sijibu mpaka uone utofauti wa nature ya Allah na Jehovah kwanzanimesha kuthibitishia katika post iliyopita kuwa Quran ilikuwa bado haijaandikwa
vipi kuhusu yake mswali ya Mungu Yesu mbona hukuyajibu
Kama kingereza kinaoanda ingia hapa sikiliza alafu njoo toa mrejesho , ni kwamba haujui nature ya mungu wako Allah
huna la kujibu,Hivi Mungu Yesu alikuwa anakunya ?Nimeshakwambia sijibu mpaka uone utofauti wa nature ya Allah na Jehovah kwanza
Sikiliza kwa makini video nimekuwekea na Kuna waislamu wenzako wanaelezea kwa undani humo
Nimekwambia usisema mbele za waislamu Allah ni spirit, usijaribu kabisa , ni kwamba unaabudu kitu usichokijua , wewe unauelewa wako ambao ni WA uongoMungu wetu Allah haonekani he is a spiritual being,Waislam tunaabudu kitu tusichokiona
Mungu wenu Yesu anaonekana kila kona kwenye picha,kwenye misalaba,kafa kafufufuka,kapigwa mawe, He is physical there..
Kwani ni mimi ndiye niliyekusemea kuwa unajua kiarabu, si ni wewe mwenyewe umesema huwa unatafsiri kiarabu kwenda kingereza.Embu acha utoto , humu watu lugha asilimia kubwa ni kingereza na kiswahili, naona mada zinakuzidi unaanza utoto
Kiarabu ni lugha yangu ya tatu ,Kwani ni mimi ndiye niliyekusemea kuwa unajua kiarabu, si ni wewe mwenyewe umesema huwa unatafsiri kiarabu kwenda kingereza.
Sasa kuna shida ukiniuliza swali nikakujibu kwa lugha ya kiarabu ambayo unaifahamu vizuri kama lugha zingine.
Acha kufanya watu kama watoto, sema tu hujui kiarabu.
Mpaka uelewe tofauti ndio nikujibu?huna la kujibu,Hivi Mungu Yesu alikuwa anakunya ?