Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

Gari la walinda amani huko Congo(MONUSCO) lilianguka,likakutwa na magunia ya mchanga wa madini.

Hivyo ndivyo MONUSCO wanavyolinda amani huko Congo.View attachment 2403378
Hivi viroba vinajazwa mchanga na kuweka kwenye gari hizo za mapigano ili ikitokea limekanyaga Bomu la ardhini basi asikari na vifaa vikivyopo ndani hawapati madhara makubwa na zile fragmentation (vipande au chembechembe za chuma) za Bomu na sio madini kama unavyotaka kupotosha.
 
Danganya Toto jinga masikio Kama Popo.
 
Tanzania has strong ties with DR Congo, in case Rwanda wakaishambulia Congo there will be no hasitation kwa Tanzania kutuma msaada kwa Congo. Kama tuliweza kuwafurumusha M23 kipindi kile na kuharibu mahusiano ya kidiplomasia kati yetu na Rwanda, this time wacha ijirudie kwakuwajumlisha na jeshi la Rwanda lililopo mpakani.
 

Mkuu

Hopefully hii kitu iko GRANTED

Kabla ya hizi mambo zote alikuwepo hapo
 
Kuwe na madini hao walalahoi wayaangalie tu hawana shida nayo? madini gani Kwa uwingi huo wa kwenye viroba hayana hata ulinzi? Wewe ndio unadanganya watoto wasioelewa.
πŸ˜„πŸ˜„ basi Kumbe hata kusema Rwanda& Uganda inaiba madini Congo Ni uongo,maana wanaibaje wkt Walalahoi wanaangalia tu Kama vile hawana shida nayo πŸ˜„πŸ˜„
 
Rwanda ITAENDA kupigwa mgoma na kufutika in 7days yani pu pu mchezo umekwisha
 
Rwanda hadi Jumuiya ya Africa Mashariki imchape sawasawa. Wafe watu hata laki 5 hivi ndio akili itakaa sawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu ni kwamba kagame kashindikana kabisa au ni nchi hazijaamua tu kumvalia njuga?
Ziamue mara ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wangeamua mda tyuuh, ila wanaogopa kichapooooo.
 
EAC imejaa marais wanafiki sana. Wakienda Congo wanaongea hivi wakienda Rwanda wanaongea vingine.

Hawana uchungu na Wacongo wanaoteseka. Hivi Museveni au Samia wana uwezo wa kumuonya Kagame?! Never!
Wao wacongo wajikomboe wenyewee, kutwaa kujichubua na kukata viuno, mbna bado watachapika had akili iwakae vyema.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wizi mtupu.
Kuna jamaa anasema hapo juu eti huo mchanga sio wa madini ni wa kuzuia milipuko πŸ˜„πŸ˜„.Magari ya majeshi ya UN huko Sudan kusini,CAR,Haiti etc hayanaga hayo magunia lkn ya hayo majeshi ya huko Congo yenyewe yanabeba magunia ya mchanga.

Hakika milipuko ya Congo sio mchezo πŸ˜„πŸ˜„
 
Congo watrain snipers waingie kwa huyo paka shume wahakikishe wanafahamu ratiba zake wakimlenga akapotea basi na amani ya Congo itapatikana siku hiyo.

Silaha wazi disassemble leo inavuka triger, kesho magazine hadi vitimie wamlie timing wamu eliminate ashakuwa shida huyu.
 
Kosa walilofanya ni kumpa Kabarebe awe Chief of Staff Congo baada ya kumpindua Mobutu na kumuweka Kabila.
Intelijensia yote Congo Rwanda wanayo mkononi ndo mana wanajiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…