Wakifika nyumbani wanacheza saa ngap?Wakwanza kubebwa 11:00 asubuhi arejeapo nyumbani anakuwa wa mwisho kushushwa kwa gari 18:00hrs
Kusema kweli huwa sioni logic ya watoto wa miaka 4-10 kuwahi shuleni saaa 11 kama vile wanahitaji kusoma vitu vingi.ni kuwachosha akili tuImekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
pigia mahesabu ya masaa foleni njiani anafika saa moja usiku apo ana homeworkHalafu kurudi nyumbani mara nyingi ni saa 10 mpaka 12 jioni! Unakuta katoto kamechoka na kusinzia tu kwenye hayo magari yao!
Haya ni zaidi ya mateso aisee kwa watoto.
sahihiTatizo kubwa hapa ni kuwa shule wanazoziamini wazazi ziko mbali na maeneo wanayoishi. Hakuna shule inaanza saa 12:00 alfajiri. Kama shule ikiwa mtaani kwako unaweza kumi amsha mtoto saa 12:00 ajiandae.
Kuna mdau kasema wanazungushwa kwenye mabasi kituo mpk kituo kukusanya wenzao, kufika shuleni Ni saa 2 asbhTatizo kubwa hapa ni kuwa shule wanazoziamini wazazi ziko mbali na maeneo wanayoishi. Hakuna shule inaanza saa 12:00 alfajiri. Kama shule ikiwa mtaani kwako unaweza kumi amsha mtoto saa 12:00 ajiandae.
Swala hapa ni kuangalia ni kwanini watoto wanasoma hiyo shule ya mbali, kama sababu ni ubora wa viwango na serikali haiwezi kuvitoa katika shule za kata basi waruhusu wawekezaji waongeze shule ili watoto wasiteseke.Kuna mdau kasema wanazungushwa kwenye mabasi kituo mpk kituo kukusanya wenzao, kufika shuleni Ni saa 2 asbh
Kuna wazazi wengine wapuuzi sana...unakuta anakaa kimara na huko kuna shule nzuri tu lakini anampeleka mtoto shule tegeta au mikocheni.Unategemea nini hapo.Imekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Ndo Hawa tunaokuta miaka 16 tayar keshahitimu kidato Cha nne,Mie naona hawa watu wa haki za binadamu hawafanyi kazi yao. Wamekalia ushoga baadala ya kuwatetea wototo. Sasa mtoto wa miaka minne saa kumi na moja anaenda shule kufanya nini? Kuwatesa tuu watoto.
[emoji23][emoji23]ndozinawabembeleza walewakirudi saa 12 wanapewa smartphone wanachezea
Serikali nayo elimu sio kipaumbele chake [emoji23]Upumbavu tu.
Imekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Elimu haina ishu sikuhizi, muhimu upate connection uingie kwenye channel za kubunyaSerikali nayo elimu sio kipaumbele chake [emoji23]
Inaumiza Sana kwakweli, wazazi wajitafakari.Sasa bora hao wa school bus kutana na wale wa kugombea dalaldala sasa katoto kadogo libegi likubwa anaanza kuhangaishana na makondakta