Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Ndugu mwandishi, tumia sekunde moja tu ku-imagine ww ndo Nusrat alafu uko unasota jela mtu ajitokeze tu akwambie.."chagua moja..ukubali kuwa mbunge wa viti maalumu au uozee jela kwa miaka mitano hii". Unachagua nn ndugu mwandishi?
 
Walifeli,kulikuwa hakuna option na walifukia point ya no return.

Tumeoneshwa wazi kabisa ni kwa jinsi gani katiba,sheria, kanuni namiongozo tuliyojiwekea aidha haina maana au
inafanya kazi kwa wanyonge
CCM ya sasa hutumia katiba na Sheria za marehemu mabutu wa zaire Yaani Rais kuwa na mamlaka ya kuchukua pesa Hazina BOT mda wowote pasipo idhini ya bunge haina tofauti na ule utawala wa Idd Amin dada
 
Ndugu mwandishi, tumia sekunde moja tu ku-imagine ww ndo Nusrat alafu uko unasota jela mtu ajitokeze tu akwambie.."chagua moja..ukubali kuwa mbunge wa viti maalumu au uozee jela kwa miaka mitano hii". Unachagua nn ndugu mwandishi?
wajameni tatizo sio nusrati kukataa au kukubali, tatizo lipo kwa aliyemtoa jela na kumpa post
 
Wakata mdee kaenda jela na akina polepole kumtoa hawakumwambia kinachoendelea palepale, walimchukua wakampeleka Dodoma akadanganywa kuwa kila kitu kina baraka ya mbowe mwenyekiti wa chadema hivyo asaini kila kitu maisha yaendelee ndiyo maana chadema hawamuongelei sana kwani wanajua Dili lote lilisukwa kwa njia za kishetani na Halima mdee
 
wajameni tatizo sio nusrati kukataa au kukubali, tatizo lipo kwa aliyemtoa jela na kumpa post
Halima mdee alipiga pesa ndefu kwenye huo mchongo ndiyo maana alichezesha hilo Dili pasipo huyo dada kuzinduka mapema
 
Aibu ya mwaka kama ni kweli kwa Mhimili wa Mahakama, Serikali. Hii ndiyo Tanzania.
 
Ndugu mwandishi, tumia sekunde moja tu ku-imagine ww ndo Nusrat alafu uko unasota jela mtu ajitokeze tu akwambie.."chagua moja..ukubali kuwa mbunge wa viti maalumu au uozee jela kwa miaka mitano hii". Unachagua nn ndugu mwandishi?
Mkuu hapa hoja sio Nusrat. Hoja ni jinsi movie ya kumtoa Nusrat ilivyochezwa kiboya.
 
Wafungue kesi Mahakama ipi!!!!?????
 
Halima mdee alipiga pesa ndefu kwenye huo mchongo ndiyo maana alichezesha hilo Dili pasipo huyo dada kuzinduka mapema
Kwa sababu wamefukuzwa uanachama kwa mambo yao ya kizandiki kujiunga na ccm, nini hatma yao hawa kovid19?
 
Aibu ya mwaka kama ni kweli kwa Mhimili wa Mahakama, Serikali. Hii ndiyo Tanzania.
Sasa hakuna katiba wala Sheria kinachofanyika ni kutumia katiba za Mabutu wa zaire na Iddy Amin dada wa Uganda kuendesha kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Shida ni tr 2 za EU ndiyo maana wanatumia uongo mkubwa kudanganya watu kupitia Bunge na Nec. Kweii chadema wapeeke jina mtu yupo mahabusu na wamshauri DPP amwachie, uongo mwingine wa ajabu. Mahera anadai Nov 19 chadema wamepeeka majina kesho yake Azam Tv anaripotiwa kuwa hajapokea majina toka CDM, uongo wa ajabu kabisa. Wameshikwa pabaya hizo pesa za EU hawapati mabeberu siyo wajinga kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…