REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Sana cause unajua pakukazia wapi pakulegezaWazaz ambao hawakusoma afu wakatoboa ndio wanatesa watoto....
Ila sie ambao tulipiga kayumba darasa la kwanza had form 6 game tulijua hatuna presha..
Uyo msomi wa mchongoSasa nikuambie wazazi wasomi Ndo mabingwa wa huo upupu,na hv wako busy na kazi Ndo kabisaaY
[emoji3][emoji2960][emoji2960][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] umejuaje?Sio ya Tusiime?
Shauri yako,kwenye taifa lenye watu billion 1.5 unadhani ushindani upoje??kwenye mtihani wao wa taifa (gaokao) mwaka jana wamefanya wanafunzi million 12...just imagineUONGOooooo
Uko mkoa gan kwanza kabla sijakujib pia kama upo dar una kaa mtaa ganZipi hizo za wote mkuu, kuna watu hizo tabu za jiji haziwagusi kabisa.
Ndo shule pekee yenye ruti za mbali.[emoji3][emoji2960][emoji2960][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] umejuaje?
Hao wachache ni viongozi wa CCM na familia zao..Dar ni mkoa wenye maisha ya taabu Kwa watu walio wengi, na maisha ya kifahari Kwa watu wachache
Jibu wewe acha kutaka detail zangu!!Uko mkoa gan kwanza kabla sijakujib pia kama upo dar una kaa mtaa gan
Kugombezwa Ni sawa tu hakuna aliyekataa,je mazingira ya watoto wa kichina yamekaaje?wanaenda shule saa Tisa usiku na kurudi saa moja kasoro usiku?na kutumia usafiri usio na uhakika?Ungeona au kusikia watoto wa kichina wanateswa kiasi gani usingesema haya,tho sifurahishwi na watoto kutendewa hivi..China mtoto akipata 90 out of 100 anagombezwa..mtoto wa madarasa ya chini anasoma vitabu vingi kama mtu mzima
Hii nayo changamoto,..wazazi wanakosea kibongo bongo shule nzuri zipo mbali, za karibu ndio hivyo za serikali elimu duniKugombezwa Ni sawa tu hakuna aliyekataa,je mazingira ya watoto wa kichina yamekaaje?wanaenda shule saa Tisa usiku na kurudi saa moja kasoro usiku?na kutumia usafiri usio na uhakika?
Mkuu nimejaribu kusoma hii comment kama ulivyoandika,imebidi niwe naweka mwenyewe alama za comma na fullstop ili nipumzike.Pole sana unaonekana umekwazika sana na Wazazi wanaopeleka watoto shule za mbali [emoji3]Aisee ni kweli mm jana saa 11 nashangaa katoto kanaenda shule na mbonge wa mbegi mgongoni yaan hadi anayumba yummba sasa hilo begi lina sijui kichwani mawazo yakanijia nikawa najiuliza wanasoma nini huko mpaka saa 11 katoto kanenda shule hoja ya kusema shule ni mbali iyo hoja dhaifu peleka shule ya karibu kama mtoto wako hana akili hana tu na kafata kwa wazazi wake huenda baba au mama kuna mmoja kilaza hivyo wakati wa kutafuta mtoto kuwa makini sana kuepuka usumbufu kama huu wengine tumesoma shule za serikali mbona tumefaulu toka shule ya msingi hadi sekondari sijawahi kufika shule saa 12 kamili asubuh kwanini wako ashindwe shule hizo mpk umpeleke mashule ya mbali ushauri acha kumsumbua mtoto yaan kizazi hiki mpaka wakifika miaka thelathini watakuwa washachoka sana
naumia sana nikiona watoto wanahangaika kisa shule imagine saa 11 unamuona mtoto yupo anaenda shule unajuliza anenda kusoma nini ningekuwa amri yabgu ninepiga marufuku masomo ya saa 12 asubu tunatengeneza taifa la ajabu ni kuwachosha kwa elimu gani mpk saa 11 asubh swalaaaMkuu nimejaribu kusoma hii comment kama ulivyoandika,imebidi niwe naweka mwenyewe alama za comma na fullstop ili nipumzike.Pole sana unaonekana umekwazika sana na Wazazi wanaopeleka watoto shule za mbali [emoji3]
Hiyo ni saa kumi USIKU siyo asubuhi.Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?
Nimeumia sana moyoni!
Achilia mbali kuvumbua chochote, hata kuiga pia hatuwezi.Kuna shida mahali kwenye mindsets za mtu mweusi!
Hao waliotuletea hii elimu wanasoma kwa ku relax sana na bado hadi leo hii ni wagunduzi hodari.
Sisi tulio ipokea elimu , tunasoma kwa kujitesa sana na hatuvumbui chochote