Aisee ni kweli mm jana saa 11 nashangaa katoto kanaenda shule na mbonge wa mbegi mgongoni yaan hadi anayumba yummba sasa hilo begi lina sijui kichwani mawazo yakanijia nikawa najiuliza wanasoma nini huko mpaka saa 11 katoto kanenda shule hoja ya kusema shule ni mbali iyo hoja dhaifu peleka shule ya karibu kama mtoto wako hana akili hana tu na kafata kwa wazazi wake huenda baba au mama kuna mmoja kilaza hivyo wakati wa kutafuta mtoto kuwa makini sana kuepuka usumbufu kama huu wengine tumesoma shule za serikali mbona tumefaulu toka shule ya msingi hadi sekondari sijawahi kufika shule saa 12 kamili asubuh kwanini wako ashindwe shule hizo mpk umpeleke mashule ya mbali ushauri acha kumsumbua mtoto yaan kizazi hiki mpaka wakifika miaka thelathini watakuwa washachoka sana