Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

Sio ya Tusiime?
[emoji3][emoji2960][emoji2960][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] umejuaje?
 
Ndo shule pekee yenye ruti za mbali.

Hata Tegeta nimewahi ona gari ina wanafunzi, nikajiuliza maswali nikakosa majibu
 
tuwaige Rwanda shule inaanza saa mbili asubuhi mwisho saa tisa mchana
 
Aisee ni kweli mm jana saa 11 nashangaa katoto kanaenda shule na mbonge wa mbegi mgongoni yaan hadi anayumba yummba sasa hilo begi lina sijui kichwani mawazo yakanijia nikawa najiuliza wanasoma nini huko mpaka saa 11 katoto kanenda shule hoja ya kusema shule ni mbali iyo hoja dhaifu peleka shule ya karibu kama mtoto wako hana akili hana tu na kafata kwa wazazi wake huenda baba au mama kuna mmoja kilaza hivyo wakati wa kutafuta mtoto kuwa makini sana kuepuka usumbufu kama huu wengine tumesoma shule za serikali mbona tumefaulu toka shule ya msingi hadi sekondari sijawahi kufika shule saa 12 kamili asubuh kwanini wako ashindwe shule hizo mpk umpeleke mashule ya mbali ushauri acha kumsumbua mtoto yaan kizazi hiki mpaka wakifika miaka thelathini watakuwa washachoka sana
 
Ushamba unawatesa sana watu wa Dar es Salaam. Sifa za kijinga kutaka mtoto asome shule ambayo wenzako wanasomesha huko Tegeta wakati wewe unaishi Bonyokwa
 
Ungeona au kusikia watoto wa kichina wanateswa kiasi gani usingesema haya,tho sifurahishwi na watoto kutendewa hivi..China mtoto akipata 90 out of 100 anagombezwa..mtoto wa madarasa ya chini anasoma vitabu vingi kama mtu mzima
Kugombezwa Ni sawa tu hakuna aliyekataa,je mazingira ya watoto wa kichina yamekaaje?wanaenda shule saa Tisa usiku na kurudi saa moja kasoro usiku?na kutumia usafiri usio na uhakika?
 
Hii nayo changamoto,..wazazi wanakosea kibongo bongo shule nzuri zipo mbali, za karibu ndio hivyo za serikali elimu duni
 
Aisee ni kweli mm jana saa 11 nashangaa katoto kanaenda shule na mbonge wa mbegi mgongoni yaan hadi anayumba yummba sasa hilo begi lina sijui kichwani mawazo yakanijia nikawa najiuliza wanasoma nini huko mpaka saa 11 katoto kanenda shule hoja ya kusema shule ni mbali iyo hoja dhaifu peleka shule ya karibu kama mtoto wako hana akili hana tu na kafata kwa wazazi wake huenda baba au mama kuna mmoja kilaza hivyo wakati wa kutafuta mtoto kuwa makini sana kuepuka usumbufu kama huu wengine tumesoma shule za serikali mbona tumefaulu toka shule ya msingi hadi sekondari sijawahi kufika shule saa 12 kamili asubuh kwanini wako ashindwe shule hizo mpk umpeleke mashule ya mbali ushauri acha kumsumbua mtoto yaan kizazi hiki mpaka wakifika miaka thelathini watakuwa washachoka sana
Mkuu nimejaribu kusoma hii comment kama ulivyoandika,imebidi niwe naweka mwenyewe alama za comma na fullstop ili nipumzike.Pole sana unaonekana umekwazika sana na Wazazi wanaopeleka watoto shule za mbali [emoji3]
 
naumia sana nikiona watoto wanahangaika kisa shule imagine saa 11 unamuona mtoto yupo anaenda shule unajuliza anenda kusoma nini ningekuwa amri yabgu ninepiga marufuku masomo ya saa 12 asubu tunatengeneza taifa la ajabu ni kuwachosha kwa elimu gani mpk saa 11 asubh swalaaa
 
Kuna shida mahali kwenye mindsets za mtu mweusi!

Hao waliotuletea hii elimu wanasoma kwa ku relax sana na bado hadi leo hii ni wagunduzi hodari.

Sisi tulio ipokea elimu , tunasoma kwa kujitesa sana na hatuvumbui chochote
Achilia mbali kuvumbua chochote, hata kuiga pia hatuwezi.

Bado hatujaweza kujenga rest areas, gari inasimama tunajisaidia pembeni ya barabara.
 
Back
Top Bottom