Kweli halafu ujue Kuna katoto la std 1 kanasoma tuition [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hata mtoto wa chekechea naye eti wanampeleka tuition.
Tatizo ni kutaka sifa ambazo hazina msingi...
Wakifika chuo ni msiba
Mkuu umeandika nini hapoIla mtoto ni wako,wewe ndo watakiwa mwambia afuate ratiba kama inavyoelekeza
Mi nikishaona hizo dalili mbona mtoto atarudi Serikali amalizie la 7Kuna jamaa mmoja anadai kuwa hii itaZiua shule binafsi. Mana tayari imeanza kwa std4,f2 and f4. Yaani labda shule 200 zinapata ufaulu wa A,shule 600 zinawekwa group B and so on.
Kiukweli watu ambao hawajasoma na wakapata hela huwa wanawanyanyasa watt wao mno na wanatembea kifua mbele kuwa mie mwanangu nalipa 3M naseri anadhani kuwa more money more education quality. Na ulimbukeni fulani wa ego inawasumbua. Pia wakiwa wanasumbuka ama kusumbuliwa na wasomi so wanaumia mno wanaapa kuwa lazima wasomeshe watt wao kufa na kupona ili wwsinyanyasike Tena.unakumbuka ramadhani ntuzwe alivyosumbuliwa na watu wa TRA na sijui Kama wamemfilisi na hawajamlipa nadhani Mungu wangu.
Yaani Hawa jamaa wa private schools shule zimefungwa wanataka watt wabakie shuleni eti wasisome twisheni za mitaani wanaziita.
Madarasa yenye mitihani ndio usiseme kabisa wanalipa zaidi kuwa wanafundisha jioni. Yaani tabu tupu kwa wtt Hakuna kupumua ama hata kucheza. No extra curricular
Kwanini usitafute mtu wa kumpeleka?Jana wangu wa miaka mi 3 naambiwa gari lake la sa moja lime change route kwahiyo natakiwa nimuandae sa kumi na moja na nusu awe tayari...halafu kurudi sa kumi na mbili na nusu jioni........ Dereva nimemwambia haiwezekani,mwenye shule nimemwambia kama itashindikana aende shule nyingine.
Afadhari wewe umehoji.Shule anayosoma mtoto wangu,unakwenda Shule unalipia Vitabu vya mtoto wako na unapewa vyote unavikagua na kuandika Jina la mtoto wako.Sijawahi kuona kitabu cha namna hiyo.Hata za cambridge ukikagua hutakuta vitabu vya hivyo. Vitabu vya shule huwa na mihuri, kama ni vitabu vya ziada lazima wazazi walihusika katika ununuzi maana yake tungeona tu
Acha hzo Ni saa 11 hyo Wala siyo saa kumi ingawa wanaamka saaa kumi hyoSaa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?
Nimeumia sana moyoni!
Yote ni sababu ya wazazi kutojielewa.Haswa Kwa wanafunzi wanaosoma English medium Wana maisha ya tabu sana
Na baadhi ya Shule daftari na vitabu vyote vinabaki Shuleni anawekewa kwenye locker yake,mtoto anakuja nyumbani na daftari la H/ work tu na kitabu atakachotumia kujibu H/ work.Hakuna cha kubebeshwa Begi kubwa la madaftari.Ratiba yatakiwa izingatiwe.
Hapo ni mzazi kuandika kwenye diary kuwa ratiba ifuatwe, muwekee mtoto madaftari husika tu. Akichapwa nenda kapambane nao huko shuleni, wakimfukuza wakurudishie ADA
Manispaa zatakiwa anzisha English Medium sehemu mbali mbali ili kuzuia watoto kujazana Maktaba, Olympio na DiamondMtoto anasoma Posta anakaa Chanika kisa English medium ya serikali,Kuna SIKU Niko kwenue gari saa nne usiku katoto ka std tuko nako kamesimama kanasinzia
Sijui wanamuwahisha afanye nini. Mtoto anatakiwa aanze shule na miaka 5, la 1 aanze na miaka 7Mtoto wa miaka 3 anaenda shulee? Seriously??
[emoji102] uwiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23]Huenda wanaishi chumba kimoja, amewapisha wazazi wapigane miti.
ni rahisi kwako kuongea ikiwa huna mtoto ama hujakutwa na kadhia kama hiyo.Mzazi ndo mwenye kosa.
Ukiaona dalili za ajabu mhamishe mtoto mpeleke shule ya kawaida ila mkazanie kusoma.
Kwa ujeuri wangu siwezi mpeleka.
Mtoto atasoma siku 5 pekee
Shule ziko kila kata, shule nyingi mno ila wazazi kutojitambuaWazazi wengine ni empty set ,kwanini wasipeleke watoto shule za karibu? Siku hizi shule zipo kibao maeneo tunayoishi.
Sio ya Tusiime?School bus ya Shule Fulani inapita kwetu sana Tisa kasoro Kila SIKU inafata mtoto kule sio kuhadithiwa mmeona mwenyewe.
Wazungu hawana huu ujinga, madaftari na vitabu vingi hubaki shuleni kwenye lockers,
Sisi mzazi anaona sifa mtoto kubebeshwa begi kubwa.
Umekariri sio shule zote binafsi watoto hupanda school buses.Watoto wanaopanda School Bus kwa kufuatwa mpaka getini nyumbani na kurudishwa,hayo mabegi wanatembea nayo muda gani? Au hapa unaongelea watoto wanaosoma Shule za Serikali wasiokuwa na usafiri?
Asante kunijuza.Umekariri sio shule zote binafsi watoto hupanda school buses.
Ni kuleta taharuki tu na hizo shule haziwezi jiharibia maana watafungiwa.Afadhari wewe umehoji.Shule anayosoma mtoto wangu,unakwenda Shule unalipia Vitabu vya mtoto wako na unapewa vyote unavikagua na kuandika Jina la mtoto wako.Sijawahi kuona kitabu cha namna hiyo.
Na hili lirudiHata chekechea nao huchelewa toka darasani.
Shule zote nilizosoma za O level na Primary saa 8 ilikuwa mwisho wa masomo na hapo no boarding school