Day care, kwa maisha ya sasa hivi ni mara mia mtoto akashinda shule kuliko kukaa na dada wa kazi wanawatesa mno.Mtoto wa miaka 3 anaenda shulee? Seriously??
[emoji102] uwiiiiiih
Mtoto anahama vizuri likizo ya mwishoni rahisi kwako kuongea ikiwa huna mtoto ama hujakutwa na kadhia kama hiyo.
Mtoto keshasoma shule hiyo hiyo miaka saba, unakutana na usumbufu huo ikiwa keshaingia darasa la saba. Unaanzaje kumuhamisha mtoto wa darasa la saba? Process na usumbufu wake unaujua?
Si kila anaetaabika anapenda tabu hiyo, kuna kipindi mambo mengine yapo nje ya uwezo wa mtu.
Hizo shule ni bora, ungeziorodhesha ili watu waone wafikirieBaadhi ya Shule hapa Dar pia wanafanya hivyo hivyo.Daftari zote Mzazi utapewa wakati unakwenda kuchukua report ya mtoto pale ndiyo utapitia Daftari zote kwa pamoja kuona.Lakini siku zote mtoto anarudi nyumbani na Daftari moja tu na kitabu kwa ajili ya H/work.Mzazi huna hata haja ya kununua Bag kubwa la Shule sababu halina kazi.
Mi mwenyewe kama shule iko karibu mtoto atatembea tu.Asante kunijuza.
Na likizo zote zilikuwepo sio Form 2,4,6
Baadhi ni Sunray School,DIS,AcademicHizo shule ni bora, ungeziorodhesha ili watu waone wafikirie
sawaMtoto anahama vizuri likizo ya mwisho
Dah! Angalau ungeandika KONYO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi mwanangu humwamshi saa kumi kwenda shule eti kutafuta A! A ya nyoko?
Chini ya 5KM kwa mtoto siyo tatizo kutembea.Tatizo wazazi wengi hatupendi 'kuwatesa' watoto wetu.Mi mwenyewe kama shule iko karibu mtoto atatembea tu.
Labda iwe kuanzia KM 5, tofauti na hapo anatrot tu
nyumban akae akifanya nnSijui wanamuwahisha afanye nini. Mtoto anatakiwa aanze shule na miaka 5, la 1 aanze na miaka 7
we ulianza shule una miaka mingapi shule ya awali & Msingi??nyumban akae akifanya nn
Kujifunza ujinga wa mtaan ??bora aende shule
Miaka 7 std 1 ??katakuwa kazee kadarasa
Hizo international ni kawaida sanaBaadhi ni Sunray School,DIS,Academic
Sio kuwatesa bali wanafanya mazoezi. Kulipa hela ya nauli hapo twajiumiza wemyeweChini ya 5KM kwa mtoto siyo tatizo kutembea.Tatizo wazazi wengi hatupendi 'kuwatesa' watoto wetu.
Mimi sioni faida za A kukariri. Rudia huohuo mtihani baada ya miezi 2 uona watakavyofeli. Watanzania tunashindwa kutofautisha kusomea mitihani na kusoma ili kupata maarifa.Hata wale wanaowasindikiza watoto stend asubuhi wana kazi sana, unakuta wamekaa mpaka wanasinzia huku kampakata mtoto kashalala kitambo, mwisho wa siku mtoto anapata A ila anashindwa kusolve simple real world problem.
Ungemuacha ajiropokeshewe ulianza shule una miaka mingapi shule ya awali & Msingi??
Nyumbani anakuwa, ataanza shule akiwa anajitambuanyumban akae akifanya nn
Kujifunza ujinga wa mtaan ??bora aende shule
Miaka 7 std 1 ??katakuwa kazee kadarasa
Chini ya 5KM kwa mtoto siyo tatizo kutembea.Tatizo wazazi wengi hatupendi 'kuwatesa' watoto wetu.
😄😄 Kama anaongea vizuri unadhani atakaa nyumbani kufanya nini....Mtoto wa miaka 3 anaenda shulee? Seriously??
[emoji102] uwiiiiiih