trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Day care, kwa maisha ya sasa hivi ni mara mia mtoto akashinda shule kuliko kukaa na dada wa kazi wanawatesa mno.Mtoto wa miaka 3 anaenda shulee? Seriously??
[emoji102] uwiiiiiih
Unless mzazi uwe mama wa nyumbani lakini bado shule anajifunza vingi kushape ubongo kuliko kukaa nyumbani hadi 5 yrs.