Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa hayo ndio maisha ya Dar mtoto anaishi mtoto anaishi Goba anasoma Mwenge unafikiri ataamka saaa ngapi? Kuwahi basi ukizingatia anapo ishi mpaka afike kituo cha basi kuna saa 1 bado muda wa kusubilia basi bado konda akita anampakia au anamuacha maisha ya Dar yataka moyoNimeumia sana moyoni!
Kwanini msitaje jina la shule?Hizo shule ndio sasa zinafundisha ushogaView attachment 2486909View attachment 2486910
Hao ndo wazazi wajinga, umtoaje mtoto Tegeta akasome Upanga?Mbona kawaida sanaaa
Mfano watokao tegeta/mbagala/mbezi ya kimara kwenda Shule ya Diamond - Pale Upanga DSM
UongoooooLeo nimshuka kutoka basi la mkoani mida ya around saa9 usiku hapa stand ya magu.
Kupanda daladala ya gomz mida hiyo nashangaa kunakatoto kashule moyoni nikajiuliza shule mida hii nani atamfungulia.
Hilo nimoja ya gap watu wenye nia mbaya wanaweza kutumia.
#EeBabaMunguTulindieWatotoWetu
Hujaona wazazi wakilalamika kuwa serikali imekosea ondoa Ranking? Yaani wazazi ndo sababu ya shule kuibia mitihaniMm natamani Ile sera mpya ya elimu ianze kutumika, yaani mashindano ya mitihani yaondolewe, kuwe na pass and fail tu, hii itaondoa mkimbizano wa kutafuta shule kuongoza Ili kuvutia watu
Hata chekechea nao huchelewa toka darasani.Mtoto wa darasa la kwanza anaenda shule saa 12 anatoka saa 10 jioni, anasomea nn??? STD 1-2 muda wao wa kusoma uishie saa 6 tu
wengine mazingira yao magumu mfano mtu mwanzo akiishi magomeni kahamia goba kajenga huko lakini mtoto wake bado asoma jangwani mtoto kuamka kwake saa 10 kufika kwenye kituo saa 11 pengine konda anakataa kumpakia mtoto anasota kituoa kila basi likija linamkataa mpaka saa 12 anapada mpaka afike shuleni saa 2 kuludi hivio hivio mvua yake jua lake njaa yake kiu chake maisha ya dar kwa watu wenye kipato kidogo ni shidda sanaNi ujinga na ulimbukeni wa elimu na asilimia kubwa ya wazazi wanaofanya hivyo ni wale ambao hawajaenda shule ila mungu kawabariki kipato aisee hili kundi linatesa watoto mtoto darasa la pili apumziki kama hivyo kamamka sasa tisa anaenda shule kurudi nyumbani sasa tatu usiku maana..akitoka.shule anaenda tution Yani elimu inakuwa Kama utumwa
Hata za cambridge ukikagua hutakuta vitabu vya hivyo. Vitabu vya shule huwa na mihuri, kama ni vitabu vya ziada lazima wazazi walihusika katika ununuzi maana yake tungeona tuJamani!ndio maana serikali inasisitiza vitumike vitabu vinavyochapishwa na Taasisi ya elimu....hizi zitakuwa zile za mtaala wa Cambridge
Ratiba yatakiwa izingatiwe.Ukitaka kuelewa ni jinsi gani hii SYNDROME ya kufaulisha kwa MAUMIVU YOYOTE YAWAYO kwa mtoto ilivyobebwa na wazazi vs walimu.
1: Jaribu kulieleza hilo siku ya kikao cha wazazi na walimu.
2: Eleza kwenye grupu la usafiri la watoto wa shule
Utaonekana wewe ni mpinga elimu na ufaulu wa watoto.
Ni ulemavu tumeshatwishwa wazazi na wizara iko kimwa.
Pia, watoto wanatembea na mabegi utafikiri wanajifunza kuwa makuli. Mwishowe ni kesi za kutibu migongo ya vijana wadogo kuongezeka.
Vijana wanafikia kuona shule kama adhabu na hatujui ni kwa kiadi gani tunawaumiza ubongo na kutengeneza magonjwa ya afya ya akili vs mengine physical.
Wazungu hawana huu ujinga, madaftari na vitabu vingi hubaki shuleni kwenye lockers,Kuna shida mahali kwenye mindsets za mtu mweusi!!!
Hao waliotuletea hii elimu wanasoma kwa ku relax sana na bado hadi leo hii ni wagunduzi hodari
Sisi tulio ipokea elimu , tunasoma kwa kujitesa sana na hatuvumbui chochote
Wtf??Hizo shule ndio sasa zinafundisha ushogaView attachment 2486909View attachment 2486910
Huyo ni mpumbavu sana,Unakuta mzazi anakuambia hataki mwanae asome boarding halafu kakwake anakaamsha saa 9 usiku kajiandae kwenda shule.
Mm mwanangu humwamshi saa kumi kwenda shule eti kutafuta A! A ya nyoko?
Ila huwa ni makubaliano ya wazazi na walimu maana wanataka wakajisifu wamepata AKuna dosari kubwa mno katika mtaala mzima wa elimu ya kibongo.
Mfano watoto wa darasa la saba kuambiwa waende shule mpaka jumapili. Siku za kawaida wanawatoa saa 2 usiku. Kuna kipi cha mno wanachosomeshwa sasa hivi ambacho sisi miaka ya 90 hatukukisoma??
Hapo hapo mtoto anabebeshwa rundo la mitabu kama vile anasomea masters ya udaktari.
Sio makubaliano. Naongelea kwa experience. Walipojulisha wazazi haikuwa na mjadala, ilikuwa ni taarifa.Ila huwa ni makubaliano ya wazazi na walimu maana wanataka wakajisifu wamepata A
Shule za serikali zinafuata mfumo huo darasa la kwanza na la pili muda wao wa kutoka ndio huo, kimbembe ni kwa hizi ingilishi midiamuMtoto wa darasa la kwanza anaenda shule saa 12 anatoka saa 10 jioni, anasomea nn??? STD 1-2 muda wao wa kusoma uishie saa 6 tu