Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah umeongea madini sana nilisoma tuu bila kuangalia Id yako ikabidi nishushe aisee watoto wanasoma kwa tabu sana kuanzia hizo gari wanazopanda na Serikali hata haifikirii kuwatolea kodi waagize bus nzuri watoto wetu wasione Elimu ni adhabu..Kuna shida mahali kwenye mindsets za mtu mweusi!!!
Hao waliotuletea hii elimu wanasoma kwa ku relax sana na bado hadi leo hii ni wagunduzi hodari
Sisi tulio ipokea elimu , tunasoma kwa kujitesa sana na hatuvumbui chochote
Inakera sana broo, mtoto anahangaika na elimu anakuja kupata degree, baadaye anahangaika na bahasha ya khaki kutafuta kazi kwa kina bakhresa.Daah umeongea madini sana nilisoma tuu bila kuangalia Id yako ikabidi nishushe aisee watoto wanasoma kwa tabu sana kuanzia hizo gari wanazopanda na Serikali hata haifikirii kuwatolea kodi waagize bus nzuri watoto wetu wasione Elimu ni adhabu..
Upo sahihi kabisa MkuuDar ni mkoa wenye maisha ya taabu Kwa watu walio wengi, na maisha ya kifahari Kwa watu wachache
Huko tegeta hakuna shule hadi umuandikishe upanga? Ujinga wa dsm ni wa sayari nyingineMbona kawaida sanaaa
Mfano watokao Tegeta/Mbagala/Mbezi ya Kimara kwenda Shule ya Diamond - Pale Upanga DSM
Kwani huyo mtoto hiyo saa 10 ndo anaingia darasani?Kuna shida mahali kwenye mindsets za mtu mweusi!
Hao waliotuletea hii elimu wanasoma kwa ku relax sana na bado hadi leo hii ni wagunduzi hodari.
Sisi tulio ipokea elimu , tunasoma kwa kujitesa sana na hatuvumbui chochote
Kuna jamaa mmoja anadai kuwa hii itaZiua shule binafsi. Mana tayari imeanza kwa std4,f2 and f4. Yaani labda shule 200 zinapata ufaulu wa A,shule 600 zinawekwa group B and so on.Mm natamani Ile sera mpya ya elimu ianze kutumika, yaani mashindano ya mitihani yaondolewe, kuwe na pass and fail tu, hii itaondoa mkimbizano wa kutafuta shule kuongoza Ili kuvutia watu
Watoto shule mpaka j2 😆Kuna dosari kubwa mno katika mtaala mzima wa elimu ya kibongo.
Mfano watoto wa darasa la saba kuambiwa waende shule mpaka jumapili. Siku za kawaida wanawatoa saa 2 usiku. Kuna kipi cha mno wanachosomeshwa sasa hivi ambacho sisi miaka ya 90 hatukukisoma??
Hapo hapo mtoto anabebeshwa rundo la mitabu kama vile anasomea masters ya udaktari.
Wazaz ambao hawakusoma afu wakatoboa ndio wanatesa watoto....Ni ujinga na ulimbukeni wa elimu na asilimia kubwa ya wazazi wanaofanya hivyo ni wale ambao hawajaenda shule ila Mungu kawabariki kipato aisee hili kundi linatesa watoto mtoto darasa la pili apumziki kama hivyo kamamka sasa tisa anaenda shule kurudi nyumbani sasa tatu usiku maana.. akitoka shule anaenda tution yaani elimu inakuwa kama utumwa.
Apa umegusa kwenyewe .watotot wa shule hii wanatoka mbali mno. Lakin ada ni affordable na inatumia lugha ya kingereza. Wazaz wanaona kuliko kuwapeleka kayumba bora wabak hukoMbona kawaida sanaaa
Mfano watokao Tegeta/Mbagala/Mbezi ya Kimara kwenda Shule ya Diamond - Pale Upanga DSM
Haswa Kwa wanafunzi wanaosoma English medium Wana maisha ya tabu sanaDar ni mkoa wenye maisha ya taabu Kwa watu walio wengi, na maisha ya kifahari Kwa watu wachache
Kwa kweli yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna shida mahali kwenye mindsets za mtu mweusi!
Hao waliotuletea hii elimu wanasoma kwa ku relax sana na bado hadi leo hii ni wagunduzi hodari.
Sisi tulio ipokea elimu , tunasoma kwa kujitesa sana na hatuvumbui chochote
Bado swala la mikopo utasikia hawa wamepata hawa bado wanaojadili hayo walisoma bure kabisa sema mimi niliwahi kufikiri kuwa huu ni mpango maalumu wa kuzorotesha Elimu na watu wengi waishi maisha magumu ili watawaliwe kirahisi haiwezekani Mtanzania kwa rasilimali tulizonazo tunahangaika kutafuta fursa Nje ya Nchi huku wageni wakila hiyo keki na Watawala...Inakera sana broo, mtoto anahangaika na elimu anakuja kupata degree, baadaye anahangaika na bahasha ya khaki kutafuta kazi kwa kina bakhresa.
Boraaa wee aunt uko sahihi.Mimi wa kwangu ndo natoka kuwapeleka saa hivi.
Vipindi wanaanza saa mbili.
Gari ya shule inapita saa 12, mda huo wanakuwa wamelala maana wanaamka saa 12 na robo.
Safi kabisa.
Kusoma si adhabu.