Shule nyingi zinaendeshwa kwa Mihemiko na ushindani wa ajabu ajabu. Hawana ratiba za masomo kwa siku zinazojulikana kwa watoto.Shule zinawabebesha watoto mavitabu mengi hata ambayo siku hiyo hawatayatumia.sijui kwa nini hawatoagi ratiba ya vipindi ili mtoto aende na madaftari na vitabu vitakavyotumika siku hiyo.Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?
Nimeumia sana moyoni!
Wanawakalisha sana watoto.watoto wanaishi kwa hofu ya mtihani siyo kujifunza na kuelewa.