Sababu 3 muhimu kwanini mwanaume mwenye hela humvutia mwanamke kirahisi

Naona una matatizo ya kuchukia utajiri.Hata huyo uliyenaye sasa hivi unayemuombea awe "tajiri" utalose interest akipata huo utajiri.
Unaweza kuwa na "allergy" na utajiri au wewe ni mwanamke wa "ajabu"!
 
Naona una matatizo ya kuchukia utajiri.Hata huyo uliyenaye sasa hivi unayemuombea awe "tajiri" utalose interest akipata huo utajiri.
Unaweza kuwa na "allergy" na utajiri au wewe ni mwanamke wa "ajabu"!
Nitakuwa ni mwanamke wa ajabu I guess.
 
Hakuna security iwayo yoyote ya kuzuia kuchapiwa, mwanamke ni kiumbe usichoweza kwa namna yoyote ile, hzo habari za mikito ni tone na hila ultimate measurable indicators za satisfaction yake.
 
Kuna Vibinti Nlivitongozaga, baada ya hapo vikiniona barabarani vinanikimbia, vipo dizaini kama sitaki nataka mara vinitangaze kwa wenzao kua navitaka, hlf sina helaπŸ˜… Demi
 
MKUU
NIMETULIZA FUVU KUTAFAKARI HIZO SABABU 3

nimegundua sababu moja tu ambayo inamfanya mwanamke avutiwe na mwanaume tajir.
LIFE INSURANCE

hizo
nyingine hata wakina sisi tunaweza kumpatia tena pengine kwa ubora kuliko huyo tajiri.
tuseme HAJI MANARA na Mandonga unadhani mwanamke ata feel safe akiwa na nani?

UMEZUNGUMZIA STABILITY , wanawake kwa matajiri wanafuata life stability na siyo security/protection.
How come mwanaume ambaye yeye mwenyewe hawezi kujipambania/they can't stand on they ground . HAPO NDIPO WAJEDA WANAPOJIPATIA POINT NA KUWA TOP DOG KWENYE DATING GAME.
 
Ahsante dada.
ngoja waje hapa wanaowaambiaga wanaume wezao tafuta pesaaaaaaaaaaaaa.
 
Sisi akina Mandingo hatuwavutii japo hatuna hela?

Kuna mdada mmoja bwana ake ana nafasi fulani huwa "namlaku"

Huwa ananambia othmani huo mshipi wako tu ndio "unanifanya uninyandue "

Huyu dada ni mtamu balaa, mixer shombe shombe halafu ana kalio[emoji39]

Aarrgggg[emoji7] kmmmk mbinguni tutukuskia kwenye biblia na misahafu tu.
 
Bado ujawajua wanawake, wanawake bado wanatafuta wasicho kipata, wao KILA siku uhangaika kutafuta wasichokipata.
Ishi kuiridhisha nafsi yako na sio kumridhisha mtu.
Hakuna formula ya kummtain mtu.
Mtu aishi kwa kufuata misingi yako na sio yake.
Tumia hela kugegeda warembo alafu tupa kule
 
Nilivyokuwa binti nilikuwa nikitongozwa na mwanaume mwenye pesa natoka mbio, yaani hata kumsikiliza nilikuwa staki...
Now natamani nitongozwe na mwenye pesa ndo hawanitongozi kama sio gundu hili ni nini

Umeshakua mtu mzima sasa. Umri wa kuhongwa umeshapita.

Ni muda wa kutafuta pesa zako
 
Sijui..tell me
ngoja kwanza nita ku quote muda si mrefu nice and good woman watakuja afu utaipata true definition kwa mfano ulio hai?

wewe unadhani ni wa aina gani?
 
Kuwa hohe hahe ndio maisha mabaya.

Lakini kuhisi bila kuwa na pesa nyingi hutakuwa na furaha ni moja ya akili mbovu na ya ajabu.

Ukitegemea pesa ndio ikuoe furaha na ridhiko la moyo UTAKUWA MTU WA MALALAMIKO SAA 24/7, UTATUMIKA MNOOO, UTASULUBIKA MNOOO.

Jifunze namna ya kuishi kwa kuridhika kwa kile unachopata, hakikisha kinachokupa furaha ni zaidi ya Pesa.

Mwisho kabisa, hakikisha unaishi WEWE siyo unaishi ili watu wakuone.
 

Attachments

  • 326148121_136770715657886_1739434034606899325_n.mp4
    5.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…