milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
6. Tarura na Tanroads imekufa1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja moja tena.
Ingekuwa mshindi anatangazwa kwa kufuata kura halali zilizopigwa na wananchi1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja moja tena.
Watakuwa wanavunja miiko..Transition ni kipindi hiki, 2025 ni directly mkuu.
Kamuulize Kikwete, nusura aukose uenyekiti wa chama kwa kupigiwa kura za maruhsni.Nani atakaye tangaza kwamba Rais ameukosa URais 2025 😅😂 !
Ni wa kutoka Chamani au kutoka kwingineko ???!!
Fomu ni moja tu kama ilivyo desturi na mila za Chama cha Mapinduzi 😳🙌👍
wabunge ambao wamo bungeni kwa hisani ya mwenda zake nao ni wa kuhofiwa mpk watengenezewe ajali! ???Namba 5 imekuwa ya moto hasa ile ajali ya wabunge nasikia ni 🔥...
6. Kifuwa kipana yaaniiii mm sipo
1. Auwaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.Wangekuwa wanashinda kwa haki angeshindwa lakini kwa kuwa wanashinda kwa kura fake atashinda tu.
Mkuu chukuwa hii. Unazijua sababu za Samia kufanya haya??:-Kwa kilichotokea serikali za mitaa, we wadhani anahitaji kura ya wananchi kushinda. Kwa sasa hata iweje atashinda tu iwe umempigia au hukumpigia atashinda tu.
WAtanzania abdo sana, kuna raia wako huko bush bush ndani nani wanaongoza kupiga kura na hawana habari na mambo ya DP world wala masai ngorongoro kwa sababu kwanza hata hawaoni connection ya maisha yao na mambo haya.
Tanzania bado sana kabisa.
6 Kuongoza bora liende nchi inajiendea kama haina mwenyewe. Kila mtu anajifanyia anayoona ni vema machoni pake.1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Kiburi chake kinategemea ulinzi unaofanywa na watu ambao nao wamechoshwa na utawala wake. Ngoja akaze fuvu. Mtakuja kunambia.Kwanza alishasema hata msipoichagua ccm bado ndio itakayounda serikali 😃
Umesahau wizi na ufisadi wake1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Aisee 😯Watakuwa wanavunja miiko..
Mizimu haitawaacha salama...
Wazee hawatakubali kuelekea uelekeo huo..
Hakuna kitu kama icho Tanzania ukishakua Rais na Mwenye kiti wa ccm Taifa unakua Mungu mtuDakika za jiooooni kabisa baraza la ushauri la usalama wa taifa litamwita na kumuambia asigombee, maana hali ni mbaya
Chukua hiyo
Hii namba 5 unajidanganya tu. Wale jamaa wanajua kubebana utadhani wadada wa kizaramo.1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
nakazia1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Inawezekana ! Lakini sio rahisi kwa mila zao the sitting President kushindanishwa na mwingine ndani ya Chama !Kamuulize Kikwete, nusura aukose uenyekiti wa chama kwa kupigiwa kura za maruhsni.
Na 2015 alitaka kumuachia nchi mtu wake ikashindikana.
Habari ya fomu 1 bado ni fupa gumu ndani ya chama. Kuna mchezo mchafu .umeandaliwa. kuhusu hilo Yanukuu maneno haya.
Natamani viongozi wote wa kitaifa kutunza kauli zao, (public figures have to keep their Words)1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Halafu wanajua vizuri sana kwamba ugomvi wao ndio utakaoleta Anguko lao !!Hii namba 5 unajidanganya tu. Wale jamaa wanajua kubebana utadhani wadada wa mizaramo.