ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Na huo ndio ukweli wenyewe !🙏🙌Hakuna kitu kama icho Tanzania ukishakua Rais na Mwenye kiti wa ccm Taifa unakua Mungu mtu
hakuna mtu yoyote atapinga kufanya lile aliloamua yeye
sana sana mkimzingua ndo pale huamua bora tukose sote na kuwapa nchi upinzani kirahisi kbs
Jeshi haliwezi kuingilia mambo ya Siasa !Kama jeshi lisipoamua vinginevyo ataendelea kuwa rais!
Baelezee, Baambie baelewe bandugu 😂😅 !Kuanguka kwa CCM kwenye uchaguzi ni mpaka Mungu aingilie kati.
Aijalishi CCM wamegawanyika kiasi Gani kwakua Ushindi wa CCM hautafutwi na Wana CCM pekeee.
CCM Ina Mabavu ya ki mfumo, ata vyombo vinavyotakiwa kuwa Nyutro kwenye uchaguzi vinaungana na CCM ili ishinde.
Hakuna wakati CCM iligawanyika kama kuondoka kwa Lowasa lakini angalia Nini kilitokea.
Tusiwe wepesi kusahau mambo ya Msingi.
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Nimekuelewa.1. Auwaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
2. Muosha, huoshwa.
3. Mtenda jamala, hulipwa jamala.
4. ShetanI hana rafiki.
Let it be...🙏🙏🙏1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Hivi wewe hunanmacho?? Huna masikio?? Unaishi kweli Tanzania, au upo Mbinguni??Nani amekwambia CCM sio moja?
Kuna kipindi ambacho CCM imesimama kwa pamoja kama kipindi hiki?
Level ya Uchawa uliopo CCM huioni?
Alafu kwanini unajiita Sexless?
Kenya kwa ule mkataba wa Kuendesha uwanja wa ndege mwisho wa siku ilikuwa Kenya atafaidika kwa kupata 10% na muwekezaji 90% , sasa sijui ya kwetu wa Dipi na wa Adani upoje, lakini uwezekano mkubwa ni kama huo wa Kenya1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Hapa Tanzania mtu hawi rais, bali CCM ndo inatoa rais. Wewe sema CCM itashindwa na Siyo Samia.1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.