Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 2,282
- 3,351
Ukiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo?
Quran inajibu,
6:101
Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke?
Quran inaChange mind inakujibu,
39:4
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angelitaka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika aliowaumba.
Sasa hapo inaonekana wazi kwamba Mungu sio kwamba hana mwana kisa hana mke kwa sababu tayari anasema angetaka kuwa naye angemchagua tu katika aliowaumba.
Akishamchagua tayari ataitwa mwana wa Allah ambapo Allah atakuwa ana mwana bila kuwa na mke.
Kwa hiyo Allah kusema hana mwana kisa hana mke ni uongo kwa sababu ameshaonyesha wazi anaweza kuwa na mwana bila kuwa na mke.
Mwisho;
Quran inatuchukuliaje kutuambia Allah hawezi kuwa na mwana kisa hana mke wakati huo huo inakubali Mungu anaweza kuwa na mwana bila mke kwa kujichagulia tu katika wale aliowaumba? Quran iache uongo.