Sababu iliyotolewa na Quran kuhusu Allah kutokuwa na mwana unailewa?

Sababu iliyotolewa na Quran kuhusu Allah kutokuwa na mwana unailewa?

Allah anauwezo wa kubebesha mimba , sema amesema hana mke , ila akitaka anachukua malaika au houris
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
 
Shida nyie mnasema Yesu ni "begotten " son of God? Unaelewa maana yake? Huo ni uzao unaohusisha mbegu za kiume na kike! (Reproduction) ! So huyo Yahweh "aligonga" mama yake Yesu? Astghfirullah!

Hao wana wa Mungu wa label ( adopted) tu wapo wengi kwenye Bible

BTW, kama Mungu kuzaa ni dili sana kwa hakuendelea akazaa watoto wengi ili wamsaidie kazi badala yake azae mmoja kisha aache?

Allah anasema akitaka mke anapiga miti houris na waislamu wameambiwa wakifika kwake atawapa houris wawili Kila mwanaume muislamu

Sasa Allah na muislamu wanatofauti Gani?
 
Hili kitabu ukikisoma unaweza kufikiri aliyekiandika alikuwa na wenge Fulani kama ndoto za ajabu au net zimekata anaongea mashairibya ajabu
Tatizo la mwandishi wa Quran aliandika kwa fikra zake halafu analazimisha iaminike kuwa ni uandishi wa Mungu.
 
Hapo inaonyesha ukamilifu maana imeshawajibu makafir kwa umakini sana, maana binaadamu wote wameumbwa na mungu, na sisi wote anaweza kutuita ni watoto wake, siyo yule mmoja ambaye makafir mnamuita mungu, mara mtoto wa mungu, hata hao mnaowaita taifa teule wanaamini mungu ni mmoja hakuzaa wala hana mtoto
Usichojua ni hiki,
Wakristo wote tunakubaliana kwamba sisi sote ni wana wa Mungu kama ambavyo umesema wewe hapa ila kitu usichojua ni kwamba Yesu ni mwana wa Mungu wa pekee ikiwa na maana ya kwamba ndiye bora na mkuu kuliko wana wengine....
Waislam wenzio hawataki kabisa kujiita watoto wa Mungu sijui wewe umepat wapi ujasiri wa kujiita mtoto wa Mungu. Hongera kwa hilo.
 
Allah ni dhaifu

Ikiwa Mungu hawezi kuwa na Mwana kwa sababu hana mke, basi anafungwa na sheria za kimwili — jambo linalodhoofisha uweza wake. Biblia inasema Mungu anaweza kufanya yasiyowezekana kwa mwanadamu
“Kwa Mungu hakuna lisilowezekana.”
(Luka 1:37)

Na tena

“Maana mambo yasiyowezekana kwa wanadamu, yawezekana kwa Mungu.”(Luka 18:27)
Hoja ya kusema ili Mungu awe na mwana hadi awe na mke ni hoja dhaifu mno!! Kwani Adam mtu wa kwanza alipatikana kwa mke yupi? mungu ambaye yuko limited na utaratibu wa asili anakosa sifa ya kuwa Mungu
 
Quran 6:101
Ndo inasema eti hana mwana kwa sababu hana mke. Quran ni dhaifu.
 
Tatizo la mwandishi wa Quran aliandika kwa fikra zake halafu analazimisha iaminike kuwa ni uandishi wa Mungu.
Ukisoma koran unajuliza alieandika kwanini aseme ni maneno ya Allah alafu Allah anashindwa kuji switch kutoka 3rd person to first person
Yani unakuta Allah anatakiwa kuwa mungu alafu anamtaja Mungu tena

Ukweli ni kwamba Muddy ni Allah na Allah ni Muddy
 
Kuna Aya unaona kabisa msemaji sio Allah wala mudi mwenyewe halafu bado wanasema ni maneno ya Allah. Angalia hii,
48:2
Ili Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyotangulia na yajayo

Hapo anaambiwa mudi, sasa nani anaongea! Bila shaka sio Allah ila bado utaambiwa hayo ni maneno ya Allah.
 
Ona wote mnampambania Mungu

Sijui nani yupo sahihi

Kuna mkristo hapa anadai Quran inazingua

Kuna muislam anadai kafir anachafua dini yake

Hakika nyote mwajilisha upepo,hakuna Mungu
 
Achana nao hawa nimewajibu kwa sura ndogo sana suratul ikhlas wamekimbia bdo wanaendelea na porojo zao ambazo hazina maana
Hoja ya kusema ili Mungu awe na mwana hadi awe na mke ni hoja dhaifu mno!! Kwani Adam mtu wa kwanza alipatikana kwa mke yupi? mungu ambaye yuko limited na utaratibu wa asili anakosa sifa ya kuwa Mungu
 
Ukiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo?
Quran inajibu,

6:101
Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?

Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke?
Quran inaChange mind inakujibu,

39:4
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angelitaka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika aliowaumba.

Sasa hapo inaonekana wazi kwamba Mungu sio kwamba hana mwana kisa hana mke kwa sababu tayari anasema angetaka kuwa naye angemchagua tu katika aliowaumba.
Akishamchagua tayari ataitwa mwana wa Allah ambapo Allah atakuwa ana mwana bila kuwa na mke.

Kwa hiyo Allah kusema hana mwana kisa hana mke ni uongo kwa sababu ameshaonyesha wazi anaweza kuwa na mwana bila kuwa na mke.

Mwisho;
Quran inatuchukuliaje kutuambia Allah hawezi kuwa na mwana kisa hana mke wakati huo huo inakubali Mungu anaweza kuwa na mwana bila mke kwa kujichagulia tu katika wale aliowaumba? Quran iache uongo.
Kwa haraka ni kwamba Allah ni mwanaume
 
Achana nao hawa nimewajibu kwa sura ndogo sana suratul ikhlas wamekimbia bdo wanaendelea na porojo zao ambazo hazina maana
Jibu lako sijaona ndugu, hebu nikumbushe ni comment namba ngapi lipo hilo jibu?
 
Makafiri mpo vyedi katika kuuchafua Uislamu ila siku zote mnaangukia pua tu kama wanasheria waleeeè

{ قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ }
[Surah Al-Ikhlāṣ: 1]
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

{ ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ }
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa
[Surah Al-Ikhlāṣ: 2]

●
{ لَمۡ یَلِدۡ وَلَمۡ یُولَدۡ }
Hakuzaa wala hakuzaliwa
[Surah Al-Ikhlāṣ: (3)

وَلَمۡ یَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ (4) }
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja
[Surah Al-Ikhlāṣ:4]

Sura hii uliisahau eee sasa nimekukumbusha
Mjinga na shuke yakonya kuunga unga. HIZO ULIZOWEKEWA HAZIKO KTK KURANI? ACHA KUTAPATAPA BILA HOJA HUKU UKIONGEZA MKANGANYIKO
 
Mjinga na shuke yakonya kuunga unga. HIZO ULIZOWEKEWA HAZIKO KTK KURANI? ACHA KUTAPATAPA BILA HOJA HUKU UKIONGEZA MKANGANYIKO
Kajifunze kuandika kwanza halafu ndo uje uongee na mimi
 
Huwezi kuliona mna limekuchoma mpk limekupofua
😂🤣😅Kuwa serious mkuu, natamani kuona jibu lako... swali lilikuwa ni, Allah hana mtoto kwa sababu hana mke kulingana na Aya 6:101 au kwa sababu hajataka kama Aya ya 39:4 inavyosema?
 
Back
Top Bottom