hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Allah wa Qur’an anaonekana kama kiumbe mwenye hisia za kibinadamu na si Mungu mwenye uweza wa kiungu.,anaonekana ni Mungu wa kutungwa tu ...Allah ni kama mwanadamu tu hana uwezo wa kimungu. Kuna Aya ya Quran eti anasema mbingu zinakaribia kupasuka pale tu Yesu akiitwa mwana wa Mungu...inaonekana huyu Allah ni muoga anamuogopa hadi Yesu, mbingu yake ni nyepesi inapasuka kirahisi sana.
Katika Qur’an 19:88–91, Allah anasema
“Na wanasema Mwenyezi Mungu amejifanyia mtoto. Hakika mmeleta jambo la kuchukiza kabisa. Mbingu karibu zichanike kwa hilo, na ardhi ipasuke, na milima iinguke vipande vipande.”
Hii inachekesha sana eti sababu Yesu ameitwa “Mwana wa Mungu” mbingu inakaribia kupasuka?
Mungu wa kweli hawezi kuwa muoga kiasi hicho, wala mbingu alizoziumba kwa neno moja hazipasuki kwa sababu ya jina la Yesu.
Hii inaonyesha kuwa Allah wa Qur’an ni dhaifu, ni mwenye wivu wa kibinadamu, na mwenye hofu kubwa kwa jina la Yesu.