Kijana usipoteze muda wako kujadili vitu ambavyo huna elimu navyo, wewe ni zao la elimu mbovu, nenda shule kaongeze elimu ikusaidie wewe na familia yako, au nenda kanisani ukaimbe na kuabudu picha ya muitalianoKWENY QURAN ALLAH ANA
1. MIKONO MIWILI
2. MGUU/MUUNDI
3. VIDOLE
4.SURA ,MACHO , NA ATAKUJA KIAMA KATIK MWILI WAKE NA ATAONESHA MUUNDI WAKE
ukisoma Hadith na maneno ya muhammad
Kitabu SAHIH HADITH/SUNNAH
#Jami_Al_Tirmidhi 3235
Muhammad Anasema Allah alimjia na akamuona Allah wake katk muonekano Bora na akimgusa KWENY MATITI yake.👇👇👇
IMESEMWA MUISLAMU ANYEKATAA SUNNAH ZA MUHAMMAD NI #KAFIRI
View attachment 3396243
Kumbe hyo nayo ID Yako😄😄😄Kuna jamaa kaleta uzi anaitwa hamis77 ..nashangaa uzi umefutwa bila ya sababu
ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU MUUMBAJI.Kijana usipoteze muda wako kujadili vitu ambavyo huna elimu navyo, wewe ni zao la elimu mbovu, nenda shule kaongeze elimu ikusaidie wewe na familia yako, au nenda kanisani ukaimbe na kuabudu picha ya muitaliano
Huyo sio MimiKumbe hyo nayo ID Yako😄😄😄
Mungu na Allah ni tofautiUkiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo?
Quran inajibu,
6:101
Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke?
Quran inaChange mind inakujibu,
39:4
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angelitaka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika aliowaumba.
Sasa hapo inaonekana wazi kwamba Mungu sio kwamba hana mwana kisa hana mke kwa sababu tayari anasema angetaka kuwa naye angemchagua tu katika aliowaumba.
Akishamchagua tayari ataitwa mwana wa Allah ambapo Allah atakuwa ana mwana bila kuwa na mke.
Kwa hiyo Allah kusema hana mwana kisa hana mke ni uongo kwa sababu ameshaonyesha wazi anaweza kuwa na mwana bila kuwa na mke.
Mwisho;
Quran inatuchukuliaje kutuambia Allah hawezi kuwa na mwana kisa hana mke wakati huo huo inakubali Mungu anaweza kuwa na mwana bila mke kwa kujichagulia tu katika wale aliowaumba? Quran iache uongo.
Mbona haukuwa na kosa lolote ule uzi 🙄🙄🙄🙄 ngoja tumtag Maxence Melo huu uzi wa hamis77 unakosa ganiitakuwa waislamu wameuripot maana nimeweka visa vya ukweli kutoka arabuni ,
Nishazoea mara kadhaa wanafanya hivoMbona haukuwa na kosa lolote ule uzi 🙄🙄🙄🙄 ngoja tumtag Maxence Melo huu uzi wa hamis77 unakosa gani
Very stupid modsNishazoea mara kadhaa wanafanya hivo
Jitahidi usomeshe watoto wako wasiwe kama wewe, wasije na wao wakaabudu picha ya muigizaji muitaliano wakaweka kanisani na kumuita munguALLAH SIO MWENYEZI MUNGU MUUMBAJI.
ALLAH ANASWALI KAMA WEWE MWISLAMU NA YEYE NDIO KIONGOZI KUMSWALIA MUHAMAD
ALLAH SIO SIO MWENYEZI MUNGU
ALLAH ANA WATOTO WATATU QURAN 53:19-20
WAISLAMU WAMEDANGANYA WATU KUWA ALLAH NI MWENYEZI MUNGU KUMBE SIO 😀😀😀
Kwisha habari zenu yani Allah wenu hamjui hata mke wa Adamu soma quran nzima kama utamkuta mke wa Adamu 😀😀😀
ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU MUUMBAJI USIDANGANYWE TENA
View attachment 3396256
NITAENDELEA KUSISITIZA ALLAH SIO MUNGU HATA YEYE ANA MUNGU WAKE NAJitahidi usomeshe watoto wako wasiwe kama wewe, wasije na wao wakaabudu picha ya muigizaji muitaliano wakaweka kanisani na kumuita mungu
Mtoto wa nje ya ndoa kosa lake ni nini??Ww mpumbavu uwe na adabu, inaonesha ww ni mtoto wa nje ya ndoa, mwanaharamu, kua na heshima.
Allah hana mshirikia yoyote katika kazi zake ila akitaka kupelekea ujumbe wake anamtumia Jibril ,sasa mpaka hapo jibril si anashirikiana na Allah katika kuepeleka ujembe wa Allah"Na sema: Sifa zote njema za ukamilifu ni za Allah ambaye hakujifanyia mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana kipenzi wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake, na mtukuze kumtukuza kulikokuwa kukubwa".
Qu'ran 17:111
"Na walisema: Allah amejifanyia mtoto, ninamtakasa kumtakasa! {na hilo}, bali ni vyake yeye vilivyomo mbinguni na ardhini, vyote vinamnyenyekea yeye."
Qu'ran 2:116
"Na wao husema kuwa mwingi wa rahma ana mtoto, kwa hakika mmeleta jambo kubwa mno! zinakaribia mbingu kupukutika kwa hilo, na kupasuka pasuka ardhi, na milima kuanguka vipande vipande, kwa wao kudai kuwa mwingi wa rahma ana mtoto, wala halingani mwingi wa rahma kuwa na mtoto, hapana yeyote aliyemo mbinguni na ardhini isipokuwa atafika kwa mwingi wa rahma hali ya kuwa ni mja wake, hakika yeye amewadhibiti na amewahesabu kuwahesabu, na kila mmoja katika wao atamjia yeye siku ya qiyamah hali ya kuwa yu peke yake."
Qu'ran 19:88-95
Hili kitabu ukikisoma unaweza kufikiri aliyekiandika alikuwa na wenge Fulani kama ndoto za ajabu au net zimekata anaongea mashairibya ajabuUkiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo?
Quran inajibu,
6:101
Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke?
Quran inaChange mind inakujibu,
39:4
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angelitaka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika aliowaumba.
Sasa hapo inaonekana wazi kwamba Mungu sio kwamba hana mwana kisa hana mke kwa sababu tayari anasema angetaka kuwa naye angemchagua tu katika aliowaumba.
Akishamchagua tayari ataitwa mwana wa Allah ambapo Allah atakuwa ana mwana bila kuwa na mke.
Kwa hiyo Allah kusema hana mwana kisa hana mke ni uongo kwa sababu ameshaonyesha wazi anaweza kuwa na mwana bila kuwa na mke.
Mwisho;
Quran inatuchukuliaje kutuambia Allah hawezi kuwa na mwana kisa hana mke wakati huo huo inakubali Mungu anaweza kuwa na mwana bila mke kwa kujichagulia tu katika wale aliowaumba? Quran iache uongo.
Kwa akili zako unaweza kuamini unachoamini, kama unaweza kuweka picha ya robert powell kanisanisani kwako na nyumbani na kumuita mungu ,kitu gani huwezi kufanya kwenye ukafir wako?NITAENDELEA KUSISITIZA ALLAH SIO MUNGU HATA YEYE ANA MUNGU WAKE NA
ANAWAOMBEA WAISLAMU
KAMA MUISLAMU HAJUI KUSOMA KIARABU AJUE UNAFUATA MKUMBO, ALLAH KASEMA USOME KWA KIARABU SIO KISWAHILI 🥲
#QURAN AL ZUMAR AYAT 44
Sema: ALLAH ni muombezi wa Kila kitu ni wake ufalme wa mbingu na ardhi Kisha mtarejeshwa kwake.
View attachment 3396261
Allah anauwezo wa kubebesha mimba , sema amesema hana mke , ila akitaka anachukua malaika au hourisShida nyie mnasema Yesu ni "begotten " son of God? Unaelewa maana yake? Huo ni uzao unaohusisha mbegu za kiume na kike! (Reproduction) ! So huyo Yahweh "aligonga" mama yake Yesu? Astghfirullah!
Hao wana wa Mungu wa label ( adopted) tu wapo wengi kwenye Bible
BTW, kama Mungu kuzaa ni dili sana kwa hakuendelea akazaa watoto wengi ili wamsaidie kazi badala yake azae mmoja kisha aache?