Aya nilizoziweka hapo juu umeona!? Tuzijadili zile kwanza ndo uje na zako, sawa ndugu muislam?Makafiri mpo vyedi katika kuuchafua Uislamu ila siku zote mnaangukia pua tu kama wanasheria waleeeè
{ قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ }
[Surah Al-Ikhlāṣ: 1]
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
{ ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ }
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa
[Surah Al-Ikhlāṣ: 2]
●
{ لَمۡ یَلِدۡ وَلَمۡ یُولَدۡ }
Hakuzaa wala hakuzaliwa
[Surah Al-Ikhlāṣ: (3)
وَلَمۡ یَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ (4) }
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja
[Surah Al-Ikhlāṣ:4]
Sura hii uliisahau eee sasa nimekukumbusha
Najua huna uwezo huo zaidi ya chuki zako tu sasa apo ndo umechambua nini bure kabisaaAya nilizoziweka hapo juu umeona!? Tuzijadili zile kwanza ndo uje na zako, sawa ndugu muislam?
Kwenye kiarabu kuna mwana wa damu na wa ndoaUkiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo?
Quran inajibu,
6:101
Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke?
Quran inaChange mind inakujibu,
39:4
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angelitaka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika aliowaumba.
Sasa hapo inaonekana wazi kwamba Mungu sio kwamba hana mwana kisa hana mke kwa sababu tayari anasema angetaka kuwa naye angemchagua tu katika aliowaumba.
Akishamchagua tayari ataitwa mwana wa Allah ambapo Allah atakuwa ana mwana bila kuwa na mke.
Kwa hiyo Allah kusema hana mwana kisa hana mke ni uongo kwa sababu ameshaonyesha wazi anaweza kuwa na mwana bila kuwa na mke.
Mwisho;
Quran inatuchukuliaje kutuambia Allah hawezi kuwa na mwana kisa hana mke wakati huo huo inakubali Mungu anaweza kuwa na mwana bila mke kwa kujichagulia tu katika wale aliowaumba? Quran iache uongo.
unasema nimebugi, unamaanisha Yesu si mwana wa Mungu?Kwenye kiarabu kuna mwana wa damu na wa ndoa
..tumekujaalieni nasaba ya damu na ndoa.... Quran
Sasa kuna watoto wa kufikia na wa kwako
Aya uliyotoa kuhusu kuwa na mke inahusu mtoto wa damu(kuzaa), ndiyo maana ukaacha kipande kinachosema ametakasika mwenyezi Mungu na hayo
Aya ya pili uliyotoa ni ya mtoto wa kuasili(adoption) na si damu
Kwa hiyo hakuna mgongano hapo kama unavyotaka
Na ikiwa unataka kutumia hizo aya kuhalalisha umwana wa Mungu wa yesu basi umebugi,maana hata yesu alisema sisi ni Wana wa Mungu kwenye msitari wa 'usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa baba lakini nenda kawaambie ndugu zangu napaa kwenda kwa baba baba yangu baba yao Mungu wangu Mungu wao'
Umeelewa lakini? Ukitaka kujua kama Nina uwezo au sina jikite kwenye mada ndo tutajua wewe au mimi nani hana uwezo.Najua huna uwezo huo zaidi ya chuki zako tu sasa apo ndo umechambua nini bure kabisaa
Hata wewe ni mwana wa Mungu kwa mujibu wa bibleunasema nimebugi, unamaanisha Yesu si mwana wa Mungu?
Watu wa hovyo ndo wanaita Maria ni mama wa Mungu.Makafiri mtahangaika sana na hoja mufilisi. Haya nenda kapige goti kuishukuru picha ya Brian Deacon. Ndiyo maana wengi mmekazana Maria mama wa mungu
Nimetoa maelezo,hujuyasoma?..utapataje mtoto bila kuwa na fuko la uzazi?Yes hapo sahihi. Turudi kwenye mada sasa, Allah hana mwana kisa hana mke kama ile Aya inavyosema?
Nifahamishe tu ndugu wala usijali, inawezekana maelezo yako yakanibadilisha kifikra.Cheap discussion, mleta mada ungekuwa na malengo ya kufahamu ningekuelewesha ila kwasababu malengo unayoyajua ndo umeyashikilia, i rest my case.
Ww mpumbavu uwe na adabu, inaonesha ww ni mtoto wa nje ya ndoa, mwanaharamu, kua na heshima.Ukiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo?