Hebu punguza jazba kisha njoo tujifunze Quran ya Allah. Sasa mtoto wa nje ya ndoa ana tatizo gani hadi uone kama ni tusi?Ww mpumbavu uwe na adabu, inaonesha ww ni mtoto wa nje ya ndoa, mwanaharamu, kua na heshima.
"Na sema: Sifa zote njema za ukamilifu ni za Allah ambaye hakujifanyia mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana kipenzi wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake, na mtukuze kumtukuza kulikokuwa kukubwa".Nifahamishe tu ndugu wala usijali, inawezekana maelezo yako yakanibadilisha kifikra.
Hebu chambua Aya zile nimeweka hapo kwenye mada"Na sema: Sifa zote njema za ukamilifu ni za Allah ambaye hakujifanyia mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana kipenzi wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake, na mtukuze kumtukuza kulikokuwa kukubwa".
Qu'ran 17:111
"Na walisema: Allah amejifanyia mtoto, ninamtakasa kumtakasa! {na hilo}, bali ni vyake yeye vilivyomo mbinguni na ardhini, vyote vinamnyenyekea yeye."
Qu'ran 2:116
"Na wao husema kuwa mwingi wa rahma ana mtoto, kwa hakika mmeleta jambo kubwa mno! zinakaribia mbingu kupukutika kwa hilo, na kupasuka pasuka ardhi, na milima kuanguka vipande vipande, kwa wao kudai kuwa mwingi wa rahma ana mtoto, wala halingani mwingi wa rahma kuwa na mtoto, hapana yeyote aliyemo mbinguni na ardhini isipokuwa atafika kwa mwingi wa rahma hali ya kuwa ni mja wake, hakika yeye amewadhibiti na amewahesabu kuwahesabu, na kila mmoja katika wao atamjia yeye siku ya qiyamah hali ya kuwa yu peke yake."
Qu'ran 19:88-95
Anna's archive.Nakipata wapi hiki mzeebaba
Yesu ni mwana pekee wa Mungu ,hata majini yanamuogopa ,Hata wewe ni mwana wa Mungu kwa mujibu wa bible
Allah ni dhaifu, mambo mengi yanamshinda. Shetani ana nguvu kuliko Allah.Allah ni dhaifu
Ikiwa Mungu hawezi kuwa na Mwana kwa sababu hana mke, basi anafungwa na sheria za kimwili — jambo linalodhoofisha uweza wake. Biblia inasema Mungu anaweza kufanya yasiyowezekana kwa mwanadamu
“Kwa Mungu hakuna lisilowezekana.”
(Luka 1:37)
Na tena
“Maana mambo yasiyowezekana kwa wanadamu, yawezekana kwa Mungu.”(Luka 18:27)
mungu wa Qur’an anaonekana dhaifu kwa sababu anafikiri kama mwanadamu. Anasema hawezi kuwa na mwana kwa sababu hana mke (Qur’an 6:101), jambo linaloonesha anaelewa uumbaji kwa kiwango cha mwili na si kiroho.Allah ni dhaifu, mambo mengi yanamshinda. Shetani ana nguvu kuliko Allah.
Quran imeokotaokota visa vya vitabu vya apokrifa,ndio maana visa vingi havina muendelezoUzuri Quran nayo inakiri kuwa Nabii Issa alizaliwa kwa uwezo wa roho. Siikumbuki ni Surat ipi ila nakumbuka kulisoma hili kwenye Quran
Kwanini Makafiri wamebarikiwa kuliko waislamu?Makafiri mpo vyedi katika kuuchafua Uislamu ila siku zote mnaangukia pua tu kama wanasheria waleeeè
{ قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ }
[Surah Al-Ikhlāṣ: 1]
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
{ ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ }
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa
[Surah Al-Ikhlāṣ: 2]
●
{ لَمۡ یَلِدۡ وَلَمۡ یُولَدۡ }
Hakuzaa wala hakuzaliwa
[Surah Al-Ikhlāṣ: (3)
وَلَمۡ یَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ (4) }
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja
[Surah Al-Ikhlāṣ:4]
Sura hii uliisahau eee sasa nimekukumbusha
Chagua kimoja mshika mawili moja humponyokaTunapiga kelele huku tunatafuta mkate ndugu.
Allah ni kama mwanadamu tu hana uwezo wa kimungu. Kuna Aya ya Quran eti anasema mbingu zinakaribia kupasuka pale tu Yesu akiitwa mwana wa Mungu...inaonekana huyu Allah ni muoga anamuogopa hadi Yesu, mbingu yake ni nyepesi inapasuka kirahisi sana.Allah haoneshi tabia ya “Baba.”
Katika Uislamu, kumwita Mungu "Baba" ni kufuru, lakini Yesu alifundisha kumwita Mungu “Baba yetu uliye mbinguni...” (Mathayo 6:9)