Allah wa Qur’an anaonekana kama kiumbe mwenye hisia za kibinadamu na si Mungu mwenye uweza wa kiungu.,anaonekana ni Mungu wa kutungwa tu ...Allah ni kama mwanadamu tu hana uwezo wa kimungu. Kuna Aya ya Quran eti anasema mbingu zinakaribia kupasuka pale tu Yesu akiitwa mwana wa Mungu...inaonekana huyu Allah ni muoga anamuogopa hadi Yesu, mbingu yake ni nyepesi inapasuka kirahisi sana.
Hhhhhh pole sanaaa nyie ni wa hapa hapa duniani tu mnapewa kabisaaa ila Akhera hamna kituKwanini Makafiri wamebarikiwa kuliko waislamu?
Ukitaka kuona kuwa wamebarikiwa hapo ndani kwako tupo vitu au bidhaa zilizotengenezwa kwenye nchi za makafiri😁😁 Utakachobakiwa nacho ndiyo hali ya uislamu ilivyo
Hapo inaonyesha ukamilifu maana imeshawajibu makafir kwa umakini sana, maana binaadamu wote wameumbwa na mungu, na sisi wote anaweza kutuita ni watoto wake, siyo yule mmoja ambaye makafir mnamuita mungu, mara mtoto wa mungu, hata hao mnaowaita taifa teule wanaamini mungu ni mmoja hakuzaa wala hana mtotoUkiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo?
Quran inajibu,
6:101
Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke?
Quran inaChange mind inakujibu,
39:4
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angelitaka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika aliowaumba.
Sasa hapo inaonekana wazi kwamba Mungu sio kwamba hana mwana kisa hana mke kwa sababu tayari anasema angetaka kuwa naye angemchagua tu katika aliowaumba.
Akishamchagua tayari ataitwa mwana wa Allah ambapo Allah atakuwa ana mwana bila kuwa na mke.
Kwa hiyo Allah kusema hana mwana kisa hana mke ni uongo kwa sababu ameshaonyesha wazi anaweza kuwa na mwana bila kuwa na mke.
Mwisho;
Quran inatuchukuliaje kutuambia Allah hawezi kuwa na mwana kisa hana mke wakati huo huo inakubali Mungu anaweza kuwa na mwana bila mke kwa kujichagulia tu katika wale aliowaumba? Quran iache uongo.
Mungu ana wivu unapomshirikisha. Mnachofanya makafir ni ushirikina, kumuita kiumbe cha mungu ,eti ni munguAllah wa Qur’an anaonekana kama kiumbe mwenye hisia za kibinadamu na si Mungu mwenye uweza wa kiungu.,anaonekana ni Mungu wa kutungwa tu ...
Katika Qur’an 19:88–91, Allah anasema
“Na wanasema Mwenyezi Mungu amejifanyia mtoto. Hakika mmeleta jambo la kuchukiza kabisa. Mbingu karibu zichanike kwa hilo, na ardhi ipasuke, na milima iinguke vipande vipande.”
Hii inachekesha sana eti sababu Yesu ameitwa “Mwana wa Mungu” mbingu inakaribia kupasuka?
Mungu wa kweli hawezi kuwa muoga kiasi hicho, wala mbingu alizoziumba kwa neno moja hazipasuki kwa sababu ya jina la Yesu.
Hii inaonyesha kuwa Allah wa Qur’an ni dhaifu, ni mwenye wivu wa kibinadamu, na mwenye hofu kubwa kwa jina la Yesu.
Shida yako kiongozi wako alikuwa hajui kusoma na kuandika.Hhhhhh pole sanaaa nyie ni wa hapa hapa duniani tu mnapewa kabisaaa ila Akhera hamna kitu
Ww umetengeneza nini lkn?
Allah sio Mungu muumbaji, Allah ni mungu wa kiarabuMungu ana wivu unapomshirikisha. Mnachofanya makafir ni ushirikina, kumuita kiumbe cha mungu ,eti ni mungu
Hapo hapo huyo mungu wenu alipobananishwa msalabani akaomba msaada kwa mungu,hivi hamjionei huruma?
Tatizo ni elimu duni uliyoipata unashindwa kufikiria ,umeshakaririshwa , embu angalia mzungu huyu alivyotoa shule kwa makafir wenzakoAllah sio Mungu muumbaji, Allah ni mungu wa kiarabu
Unaniletea habari za mzungu 😂😂Tatizo ni elimu duni uliyoipata unashindwa kufikiria ,umeshakaririshwa , embu angalia mzungu huyu alivyotoa shule kwa makafir wenzako
Elimu duni uliyoipata ndio madhara yake hayoUnaniletea habari za mzungu 😂😂
Kwamba wewe hujui Allah ni shetani mwenyewe?
Ngoja tukupe elimuElimu duni uliyoipata ndio madhara yake hayo
Wewe unaamini kwamba quran ni kitabu cha mwenyezi Mungu?Kuruani inajikanganyaga menyewe ka menyewe
Waislam watakwambia allah hafanani na kitu wala mtu, ila ana mikono na miguu na jicho moja sijui watasema vinafanana na nini viungo hivi.Elimu duni uliyoipata ndio madhara yake hayo
Unajuwa hapo anazungumziwa nani? Hii muuluze mtoto yoyote wa kiislamu asiyezidi hata miaka saba atakuelezea vizuri kuhusu habari za dajjal ndio anayezungumziwa hapo, atakuja duniani karibia na siku za mwisho, atakuwa na jicho moja, na atakuwa na wafuasi wengi watakeyemuabudu kama mungu na ,atakayempinga atapata shida na hata kuuwawa, pata elimu ndio ujeNgoja tukupe elimu
Hadithi ya Anas (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amesema, "Hakuna Mtume aliyetumwa, isipokuwa amewahadharisha watu wake na mwenye Jicho moja mrongo. Eleweni kuwa yeye ana jicho moja na hakika Bwana wenu hana Jicho moja kati ya Macho yake pameandikwa neno 'KAFIRI." (Bukhari, Hadithi Na. 245, Juzuu ya 9
View attachment 3396225
Yesu sio mwana wa mungu kwa maana ya mtoto wa damu.Kwenye kiarabu kuna mwana wa damu na wa ndoa
..tumekujaalieni nasaba ya damu na ndoa.... Quran
Sasa kuna watoto wa kufikia na wa kwako
Aya uliyotoa kuhusu kuwa na mke inahusu mtoto wa damu(kuzaa), ndiyo maana ukaacha kipande kinachosema ametakasika mwenyezi Mungu na hayo
Aya ya pili uliyotoa ni ya mtoto wa kuasili(adoption) na si damu
Kwa hiyo hakuna mgongano hapo kama unavyotaka
Na ikiwa unataka kutumia hizo aya kuhalalisha umwana wa Mungu wa yesu basi umebugi,maana hata yesu alisema sisi ni Wana wa Mungu kwenye msitari wa 'usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa baba lakini nenda kawaambie ndugu zangu napaa kwenda kwa baba baba yangu baba yao Mungu wangu Mungu wao'
Alu-lu wal-marjan Juz 3 UK 1094, Hadith no 1855Unajuwa hapo anazungumziwa nani? Hii muuluze mtoto yoyote wa kiislamu asiyezidi hata miaka saba atakuelezea vizuri kuhusu habari za dajjal ndio anayezungumziwa hapo, atakuja duniani karibia na siku za mwisho, atakuwa na jicho moja, na atakuwa na wafuasi wengi watakeyemuabudu kama mungu na ,atakayempinga atapata shida na hata kuuwawa, pata elimu ndio uje
Haya ni madhara ya poor education, hakikisha mtpto wako umpe elimi bora asiwe kama weweWaislam watakwambia allah hafanani na kitu wala mtu, ila ana mikono na miguu na jicho moja sijui watasema vinafanana na nini viungo hivi.
View attachment 3396231
Haya ni madhara ya poor education, hakikisha mtpto wako umpe elimi bora asiwe kama wewe
Quran ni project ya wahuni wachache ,unachosema ni kweli mfano Sura ya Al-Baqara (Sura ya 2), Sura hii ina aya 286, na ni sura ndefu zaidi katika Qur’an. Inaanza kwa kutaja waumini, makafiri, na wanafiki (aya za mwanzo), kisha ghafla inahamia kwa habari za historia ya Wana wa Israeli (Bani Israil), Musa, Ibrahim, ibada, ndoa, biashara, vita, na hata sheria za kunyonyesha mtoto.Logic ya Quran huwa zinafurahisha sana, linaweza kuwa linazungumziwa jambo moja kirefu au kwa msisitizo sana ila ukitafuta muunganiko wake hauupati kabisa.