Sababu iliyotolewa na Quran kuhusu Allah kutokuwa na mwana unailewa?

Kuna jamaa kaleta uzi anaitwa hamis77 ..nashangaa uzi umefutwa bila ya sababu
 

Attachments

  • Screenshot_20250706-123619_Gallery.jpg
    266.3 KB · Views: 13
Kijana usipoteze muda wako kujadili vitu ambavyo huna elimu navyo, wewe ni zao la elimu mbovu, nenda shule kaongeze elimu ikusaidie wewe na familia yako, au nenda kanisani ukaimbe na kuabudu picha ya muitaliano
 
Kijana usipoteze muda wako kujadili vitu ambavyo huna elimu navyo, wewe ni zao la elimu mbovu, nenda shule kaongeze elimu ikusaidie wewe na familia yako, au nenda kanisani ukaimbe na kuabudu picha ya muitaliano
ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU MUUMBAJI.

ALLAH ANASWALI KAMA WEWE MWISLAMU NA YEYE NDIO KIONGOZI KUMSWALIA MUHAMAD
ALLAH SIO SIO MWENYEZI MUNGU

ALLAH ANA WATOTO WATATU QURAN 53:19-20

WAISLAMU WAMEDANGANYA WATU KUWA ALLAH NI MWENYEZI MUNGU KUMBE SIO 😀😀😀

Kwisha habari zenu yani Allah wenu hamjui hata mke wa Adamu soma quran nzima kama utamkuta mke wa Adamu 😀😀😀

ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU MUUMBAJI USIDANGANYWE TENA
 
Mungu na Allah ni tofauti
 
itakuwa waislamu wameuripot maana nimeweka visa vya ukweli kutoka arabuni ,
Mbona haukuwa na kosa lolote ule uzi 🙄🙄🙄🙄 ngoja tumtag Maxence Melo huu uzi wa hamis77 unakosa gani
 

Attachments

  • Screenshot_20250706-123619_Gallery.jpg
    266.3 KB · Views: 17
Jitahidi usomeshe watoto wako wasiwe kama wewe, wasije na wao wakaabudu picha ya muigizaji muitaliano wakaweka kanisani na kumuita mungu
 
Jitahidi usomeshe watoto wako wasiwe kama wewe, wasije na wao wakaabudu picha ya muigizaji muitaliano wakaweka kanisani na kumuita mungu
NITAENDELEA KUSISITIZA ALLAH SIO MUNGU HATA YEYE ANA MUNGU WAKE NA

ANAWAOMBEA WAISLAMU

KAMA MUISLAMU HAJUI KUSOMA KIARABU AJUE UNAFUATA MKUMBO, ALLAH KASEMA USOME KWA KIARABU SIO KISWAHILI 🥲

#QURAN AL ZUMAR AYAT 44

Sema: ALLAH ni muombezi wa Kila kitu ni wake ufalme wa mbingu na ardhi Kisha mtarejeshwa kwake.

 
Allah hana mshirikia yoyote katika kazi zake ila akitaka kupelekea ujumbe wake anamtumia Jibril ,sasa mpaka hapo jibril si anashirikiana na Allah katika kuepeleka ujembe wa Allah
 
Hili kitabu ukikisoma unaweza kufikiri aliyekiandika alikuwa na wenge Fulani kama ndoto za ajabu au net zimekata anaongea mashairibya ajabu
 
Kwa akili zako unaweza kuamini unachoamini, kama unaweza kuweka picha ya robert powell kanisanisani kwako na nyumbani na kumuita mungu ,kitu gani huwezi kufanya kwenye ukafir wako?
 
Shida nyie mnasema Yesu ni "begotten " son of God? Unaelewa maana yake? Huo ni uzao unaohusisha mbegu za kiume na kike! (Reproduction) ! So huyo Yahweh "aligonga" mama yake Yesu? Astghfirullah!

Hao wana wa Mungu wa label ( adopted) tu wapo wengi kwenye Bible

BTW, kama Mungu kuzaa ni dili sana kwa hakuendelea akazaa watoto wengi ili wamsaidie kazi badala yake azae mmoja kisha aache?
 
Allah anauwezo wa kubebesha mimba , sema amesema hana mke , ila akitaka anachukua malaika au houris
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…