Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hakika mkuu nakubaliana naweNjaa ndio kipengele
Kama ulimtosa mtu kwa mbwembwe Retaliation is a Must 🤣au akishafunzwa na wana wa israel ndio akili inamkaa sawa anarudi, ila mwingine anarudi kukuconect kwenye gridi ya taifa. Ona kwenye hii video n mfano wa wengi huwa wanadhamiria kuumiza
View: https://www.youtube.com/watch?v=Wikr41dvvYg
Naunga mkonoYaani umeachana na mpenzi wako miezi 12, miaka 2 au 5 then ukikutana naye unataka muendelee mlipoishia serious?
Kwa Dunia hii yenye watu wanakula samaki kwa geuza?
Labda kama mna hamu ya kuingizwa kwenye grid ya Taifa.
Kama ulisha move-on kwanini usitulie na huyo uliyenaye?
🙏🙏Naunga mkono
Hapo kwenye kurudi kwa upole atakuletea drama kwa kujiliza, maneno matamu ya kimahaba au kukupea sexAkishafeli lazma arudi kwa upole 😀
mpaka sasa kwa wale wanawake niliowahi kuwa siriazi nao wakaniacha na kuniumiza sijawai kuwa na mawasiliano nao kabisa na ninatamani nisionane nao jumla.Alie kuumiza muache aende na jifunze kumfuta kwenye maisha yako
Mimi Ex zangu nao wanasemaga ivo ivo 😁😁😁
Ni hatari na nusu 😂 😂Kama ulimtosa mtu kwa mbwembwe Retaliation is a Must 🤣
Nimefurahishwa na jina lako,Cr wa familiaKwanza Tupate matangazo kutoka kwa wadhamin 😀
Hiv nyie wenye mko na maex mnawapataje au mnawatengeneza mbona me sina au niko dunia tofauti na yakwenu
kuna siku uo ushikaji utakuwa ushikaji kweli, atashikilia miguu 😅Hapana sijawahi kupasha na hata mmoja
Tumekuwa washkaji
Haiwezekani, yameshaisha kumebaki heshimakuna siku uo ushikaji utakuwa ushikaji kweli, atashikilia miguu 😅
Hatari sana, nao wakikaa siku mbili tatu Mjini wanakuwa wajuaji balaa.Sahii tuko na wanyabumbu 🤣 washapigwa mwiko vya kutosha.
Ladha hakuna yani mpaka ukibahatisha zile Organic ambazo ndio kwanza zimeingia mjini ndio unainjoy.
hakunaga hiyo unataka kusema ukimkuta mumeo anaendeleza mawasiliano na ex's wake utaona ni sawa akikupa sababu hiyo ya urafiki tu?Haiwezekani, yameshaisha kumebaki heshima
Pesa ndiyo baba lao ktk hizi factors zako hapo. Wapo makuli wa bandarini na wapo wanaoshinda Gym lkn wanachepukwa na wapenzi wao kwasbb tu hawana pesaMwanamke anachekupa kwasababu mbili ama tatu;
Jaribu kumpatia hivyo hutakaa uone anachepuka.
- Kutofikishwa
- Pesa
- Muda wako
Uko sahihi Mkuu, pesa imekuwa kishawishi kikuu nyakati hiziPesa ndiyo baba lao ktk hizi factors zako hapo. Wapo makuli wa bandarini na wapo wanaoshinda Gym lkn wanachepukwa na wapenzi wao kwasbb tu hawana pesa