Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Kwakwel uvumiliv wa kukaa na namba ya mtu niliegombana naye sinaaaa,huwa nafuta hapo hapo na habar inaishia hapo..
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwa wanaume mabwege lakini
 
Mimi Mtu tukivunjiana heshima tu anafariki nimezika wa 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…