MgaratiaKuna maeksi wengine si poa....tushaachana zaid ya mara tatu nikqpiga kimya ila akawa anakaa kama mwaka kabisaa na bdo anarudi naendelea kugonga..ila huu mwaka tulizinguana akaondoka ile nmejaribu kubembeleza akaruri....ila zile swagz alizokujq nazo kuongea na maboya wengine afu dharau kibao....aysee nlimchangamsha na makofi kadhaa...baada ya hapo huwa anaomba tuonane baada ya hapo anaanza niandikia msg kwamba hanipendi....mi nakula buyu tu Wala Sina sijishughulish kujibizana nae
...
Nani alikuambia ukimwi unaua kuliko bodaboda?Ni sahihi unachosema, lakini kwa kuzingatia hayo unapunguza risks Mkuu.
Najua hakuna atakayeishi milele, lakini tusikipe kifo sababu ya kukiharakia.
🤣🤣🤣Aidadavue kwakwerNani alikuambia ukimwi unaua kuliko bodaboda?
Kwanini umezifuta leo
Hahaa umeogopa eehNisije nikAmtafutaa tena… huwaga sifuti namba wenyewe ndio wanafuta
Na sasa kawa msagaji aliyebobea huyu mtoto, ana ma X kibao tu.
Hahaa umeogopa eeh
Zote zinaweza kuwa sababu za kuharakisha kifo lakiniNani alikuambia ukimwi unaua kuliko bodaboda?
Kama unataka kumposa sema, Babu yao nipo hapa kupokea Mkaja wa Babu 🤪Msakate utampata babuu🤣
Yes upo sahihiKuachana siyo uadui, na hata ukifuta namba haimaanishi umefuta kumbukumbu ya sehemu ya maisha yako kuwa uliwahi kuwa nae. Atakufaa mbeleni kwa namna moja ama nyingine. Hakuna uadui wa kudumu. Sisi ni pipo tutakutana.
Usiache kuja na Mkwe wangu Countrywide niwaoneshe mashamba mliyosema mnataka kulima, Babu yenu nimezeeka sasa bora niwagawie urithi wenu mapema 🤗Oyooooooooo!!! [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Babu usijali nitawahi siku moja kabla ya kazi ili nisikuangushe [emoji39][emoji39][emoji39]
Na huwezi kuwa navyo vyote....tatizo linaanzia hapo.Ni kweli huwezi kushindana na Mbususu kama unavyosema lakini Ukifanikiwa kumfikisha kileleni, kuna asilimia kadhaa huyo Mpenzi wako kutochepuka.
Mwanamke anachekupa kwasababu mbili ama tatu;
Jaribu kumpatia hivyo hutakaa uone anachepuka.
- Kutofikishwa
- Pesa
- Muda wako
🤣🤣🤣🤣 cha muhimu mme enjoy kupeana utamuTunajaribu kuwatahadharisha Vijana wetu Mjukuu, sisi umri umetutupa Mkono 🤪
Imagine una ma-ex watatu, na wote bado mnapeana utamu.
Ikitokea mmoja ameungua, si wote mtaunganishwa?
umenikumbusha jamaa yngu mmoja kuna siku tumekuta anakoromewa kibabe na dem mmoja wa kitaa kwe2. inaelekea jamaa alimtongoza sasa dem ikawa hataki.Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?
Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.
Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
hii nimeshuhudia dada mmoja alikuwa ameolewa na mume wa kwanza huyo mume akafariki. akaja akaolewa tena mume akafariki. nikawambia watu huyu dada atakuwa na mfadhaiko mkubwa sana kwenye jamii, jamii itamuona ana tatizo haikupita mufa nae akafariki!Kama usemacho ni sahihi basi utakuwa una roho ya mauti.
Kuna jamaa naye kila Mwanamke atakaye funga naye ndoa baada ya mwaka mmoja lazima afe huyo Mwanamke.
Ameshafiwa na Wake wanne [emoji119]
Juzi nimeona akitafuta Mwanamke mwingine sina hakika kama atapata labda kwa wasiomjua
Usiache kuja na Mkwe wangu Countrywide niwaoneshe mashamba mliyosema mnataka kulima, Babu yenu nimezeeka sasa bora niwagawie urithi wenu mapema [emoji847]
Msisahau kuniletea Kiko zangu tu, maana Babu yenu hili baridi bila kuvuta litaniua [emoji2957]
Hahahaha........................kweli mambo ni magumu kwa ground 😅🙌Na huwezi kuwa navyo vyote....tatizo linaanzia hapo.
Una hela hujui kutomber. Unajua kutomber huna hela
Usijali Mjukuu, karibuni sana[emoji23][emoji23][emoji23] Nitakuja babu huo urithi ndio mzuri, nakuletea mtungi wa shisha kabisaaa usiwaze!! Mwambie bibi…………..!!? Aniandalie vyuku vya kushatoo