Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Ma-ex wengine wanazingua kiasi ukiskia jina kama lake unahisi kizunguzunguπŸ˜”
 
Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini?

Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
Niliwahi kutunza namba zaidi ya miaka 25,
 
Mimi ma ex zangu wote 5 tunachati tunasaidiana na mbususu nikitaka nachakata ..ishini na Hawa viumbe vizuri kuachana sio mwisho wa mahusiano .
 
Grid ya Taifa upate umeme wa REA au kawaida[emoji16][emoji16]
 
Kuna ukweli hapa . [emoji3061]

siku izi watu walioachana wakikutana wanakua kama hawajawah kuachana ,

"Naamini : Kila mtu ana yule ex ambae akikutana nae inakua kama amekutana na rafiki yake Bora wa zamani .
Daah yan hapo ulipoongea hivyo nywele zimenisisimka baada ya kukutana na X Y Z wangu na kupiga show moja matata sana Qumamaaaaaaaake
 
Grid ya Taifa upate umeme wa REA au kawaida[emoji16][emoji16]
Hahaha.............tena ukiupata ukiwa masikini ndiyo huchelewi kurudi kwa Baba, maana lishe yenyewe inakuwa mtihani kuipata πŸ™Œ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu itabidi tuwachunguze anayemiliki bastola naachana naye, sitaki wasije kuni Ufoo Saro bure
Hahahaha...................umenikumbusha huyo rafiki, sijui alipotelea wapi maana baada ya lile tukio sijamsikia tena πŸ™Œ

Bastola muhimu kuwa nayo, Babu yako mwenyewe ninayo ila ndiyo ile ya kabla ya Uhuru, naitumia kuwatishia Ngedere tu wasile mahindi yangu πŸ€ͺ
 
Ujinga mtupu kuwa na namba yake. Ushirikiano wa mambo mengine yapi kama mlishindwana kwenye mahusiano mtawezana kwenye mambo mengine?
ninavyo fahamu ma ex wakikutana ni kunongooka tu basi no plan no stragies. kitu ambacho ni upuuzi tu
 

Sijui alipotelea wapi na kazi aliacha ITV

Babu hilo la enzi ya uhuru ndio utalitumia kukimbiza wajukuu watakaoleta fujo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui alipotelea wapi na kazi aliacha ITV

Babu hilo la enzi ya uhuru ndio utalitumia kukimbiza wajukuu watakaoleta fujo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulikuwa na tetesi hapa JF kuwa eti alikuwa ni mtu wa mfumo, ndiyo maana aliweza kukwepa zile risasi πŸ™Œ

Atakayeleta vurugu lazima nitumie manati ya Mzungu kuweza kumtuliza, hasa wale waonjaji tu wasiotaka Ndoa πŸ€ͺ
 
Mwanamke ukitaka kuvunja ndoa yako haraka kuwa na Tabia ya kuchati na ex wako
 
Kulikuwa na tetesi hapa JF kuwa eti alikuwa ni mtu wa mfumo, ndiyo maana aliweza kukwepa zile risasi [emoji119]

Atakayeleta vurugu lazima nitumie manati ya Mzungu kuweza kumtuliza, hasa wale waonjaji tu wasiotaka Ndoa [emoji2957]

[emoji23][emoji23][emoji23] Watu wa JF kila mtu wana data zake!![emoji119][emoji119]

Hapo kwenye waonjaji hawataki ndoa anza na unayetaka kumrithisha mashamba yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…