Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao


Nakazia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Mnaachana kwa hasira mithiri ya Simba na Swala.

Ikishapita siku kadhaa hasira zinaisha unaanza kukumbuka mazuri machache aliyokuwa nayo mwenzako.

Ndio maana tunasema wachumba hawaachani bali wanatengana tu.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani babu tatizo inakua nini?
 
Hiki ndicho kimesababisha mambukizi ya Ukimwi yasiishe.
 
Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Duh! Hatari....sii mchezo
 
Hizi mbususu za siku hizi zina nyege sana sijui ni hivi vyakula tunakula
 
ni kweli umenena, wanandoa wakiishaachana na kwenda kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na wengine ni nadra sana kuwa salama wote au mmoja anakuwa tayari ana maambukizi ya ukimwi. Kufanya mapenzi na ex aliyeambukizwa ukimwi ni hatari sana. Kama wanataka kukumbushiana minyanduano ni bora wakapima kwanza afya zao. Kukumbushiana kupo sana tu. Mtu hawezi kutoa matumizi ya mtoto halafu asimpitie mama yake hata kama ameolewa na mtu mwingine.
 
Ni sahihi Mkuu

Kinachowatafuna ni yale mambo ya kujidai unamuamini

Unakuja kupima unakuta kinga zimeshaanza kushuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…