Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hiyo ni sehemu ya mazingira yanayoweza kupelekea maambuzi mapya.Hiki ndicho kimesababisha mambukizi ya Ukimwi yasiishe.
Nakubali.Hiyo ni sehemu ya mazingira yanayoweza kupelekea maambuzi mapya.
Kuna watu wamepata maambukizi kupitia ma-ex zao
Nayataka maisha. Ukiona Rais Alihasani Mwinyi anagonga miaka 90+ usidhani ni Neema tu ya Mungu bali alifanya jitihada kulinda afya yake.
I wish to be like Mwinyi Snr
Nawe ikitokea mkaachana na Mkwe wangu utarudi nyumbani Babu yako akulinde hadi upate Mume mwingine, hakuna mambo ya kupasha kiporo tena na huyo mwenzio mkishaachana [emoji2957]
Tatizo itakuwa hamridhishwi kunako faragha zenu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani babu tatizo inakua nini?
Ma ex ndio wanaongoza kuvunja ndoa za ma ex wao.
Hiyo ndiyo haitakiwi mjukuu π[emoji1787][emoji1787][emoji1787] babu wanasema mkiachana hamtakiwi kuwa maadui.
Ma ex ndio wanaongoza kuvunja ndoa za ma ex wao.
joanah unajifanya mgumu sanaπ
Ulimwacha mpenzi wako eti sio mzuri kumbe ulikuwa humuhudumii.Nakubali.
VP hampashi kiporo kweli??Sijawahi futa namba ya x maana huwa siachani na mtu kwa ubaya
Kuna kesho...shida Ina tabia ya kuturudisha kwa watu tuliokorofishana nao
Ma ex zangu huwa tunawasiliana na kusaidiana kwa nyakati tofauti....japo hakuna mapenzi tena baina yetu
Hapana sijawahi kupasha na hata mmojaVP hampashi kiporo kweli??
tatizo mnapenda kuloweka kavu kavuOngezea point Mjukuu, huenda Babu yenu nawaza vibaya na Uzee huu π€ͺπ€
HongeraHapana sijawahi kupasha na hata mmoja
Tumekuwa washkaji
Hivi hilo kabisa Bado lipo?Ndiyo. MaEx wangu niliwachagua kanisani wakati ule wa upepo wa kisulisuli wa yule mama
Hiyo ni case yenu Vijanatatizo mnapenda kuloweka kavu kavu