Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Ni sahihi Mkuu

Kinachowatafuna ni yale mambo ya kujidai unamuamini

Unakuja kupima unakuta kinga zimeshaanza kushuka
watu wanaachana wakiwa salama hawana magonjwa ya kuambikizwa, wanaenda kuanzisha mahusiano na wengine wenye tabia tofauti kuhusu mahusiano ya kimapenzi wanaishia kuambukizwa maradhi na wapenzi wao wapya. Unakutana na ex halafu unataka upewe penzi ukidhani mwenzio ni salama tangu muachene kumbe mmoja tayari ana maambukizi
 
Vijana wa hovyo wako mitamboni🤣
 
Sijawahi futa namba ya x maana huwa siachani na mtu kwa ubaya
Kuna kesho...shida Ina tabia ya kuturudisha kwa watu tuliokorofishana nao

Ma ex zangu huwa tunawasiliana na kusaidiana kwa nyakati tofauti....japo hakuna mapenzi tena baina yetu

Bff kwani wako wangapi hao maex shem shem [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣
 
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

Umeongea kwa uchungu sana babu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…