Hapana awe mrefu aseeee au hata tulinganeKwahiyo hapo mpenzi wako inabidi awe mrefu na yeye au we beba beba yoyote twende
Asante sanaNimehisi huruma juu yako pole kwa kuwa mrefu π₯Ίππ
Uzuri we mdada unajikubaliAsante sana
Najua hakuna anaenikubali, kwaio najikubali mwenyeweUzuri we mdada unajikubali
Mbona tupo wengi tunaokukubaliNajua hakuna anaenikubali, kwaio najikubali mwenyewe
Hapo umedanganya nje nje,,uyo kijana anapenda matinginya
Hebu apite mbele kwa mbwembwe nimuone
Unaweza kuona miguu yake tu maana ni mrefu sanaHebu apite mbele kwa mbwembwe nimuone
Namkubali sana , ila huo urefu ndugu yangu hapo ni mtihani ππ
Nadhani tutaendana huyoUnaweza kuona miguu yake tu maana ni mrefu sana
kwanini iwe mtihani mkuu wajameniNamkubali sana , ila huo urefu ndugu yangu hapo ni mtihani ππ
Kaka huyu ana urefu wa mwanamke SI kama ngongoti amenyooka ila ana nyama flani hivi mtoto unique huyuNamkubali sana , ila huo urefu ndugu yangu hapo ni mtihani ππ
Hata nikikukumbatia naishia kwenye kiuno tu π πkwanini iwe mtihani mkuu wajameni
Utagandaje wakati ndege mwenyew kashapeperuka πππMashaallah, hayo ndo maneno sasa, na mimi nataka nigande hizo sekunde nitafakari uumbaji ππ
Nahisi ile nuksi ya ndugu yetu Kijana Masikini imeanza kunipata na mimi kaka ππUtagandaje wakati ndege mwenyew kashapeperuka πππ
πππKizamu zamu πππNahisi ile nuksi ya ndugu yetu Kijana Masikini imeanza kunipata na mimi kaka ππ