Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi tupu tu za kiimani.
Mungu ni Imani ya mtu jinsi alivyoaminishwa huko alipotokea ila fact hakuna sababu hajawahi jitokeza japo watu wa imani wana sababu zao wanazoziamini kuwa hawezi tokea na wengine wanaamini kwa namna moja au nyingine kuwa yanayowatokea ni kwa uwezo wake ni imani tu. so huna sababu ya kuomba uthibitisho... as if mmeanzisha ligi ya ubishani... ila kama hakuna ligi wacha mamo yaendelee labda tu uwe umepanga au mmepanga mlete pingamizi kwa nafsi binafsi au mamlaka fulani. au kama unaona kuna weza sababisha uvunjikaji wa amani n.k ila kama hamna tatizo wacha watu wajifunze kitu and then watachambua zuri na baya kwa faida yao kama wewe ulivyopata huko utokapo.
 
Ushahidi wa kwanza nimekupa,nimekuwekea aya katika sura ya 52 aya ya 35. Sasa nataka ujibu hilo swali ambalo ni ushahidi wa kuonyesha ya kuwa Mola yupo. Tukitoka katika ithibati hii,nakuja katika hizi :

1. ...
2. Fitrah ("original disposition", "natural constitution", or "innate nature")
3. Self evident Truth
4. Akili
5. Maumbile
6. Contingent Facts
7. Ufunuo

Tuendelee,hapa itifaki lazima izingatiwe,tunamaliza nukta moja baada ya nyingine,ila usikimbie maswali ninayo kuuliza. Nafyeka kichaka kama ilivyo ada yangu.

Nipo ...
Umeandika

"
155. Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri,

156. Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea. (al-Baqarah : 155 - 156)"

Huu si ushahidi kwamba Mungu yupo, haya ni mahubiri.

1. ...
2. Fitrah ("original disposition", "natural constitution", or "innate nature") -
Hapa umeshindwa hata kuelezea inakuwajekuwaje hayo mambo yanathibitisha Mungu yupo.

3. Self evident Truth

What truth? How is that truth self evident?

4. Akili

Akili ni nini? Na unajuaje inathibitisha Mungu yupo? Na ikiwa watu wengi hawana akili wanafanya ujinga hilo linathibitisha nini? Linathibitisha Mungu hayupo?

5. Maumbile

Maumbile gani? Yanathibitisha vipi Mungu yupo? Unajuaje kwamba yanathibitisha Mungu yupo na si kingine tofauti?

6. Contingent Facts

Which contingent facts? Can you explain? Mbona unataja vitu kwa dondoo la dondoo bila maelezo? Unaogopa kuelezea? Hujui kufafanua?

7. Ufunuo

Ufunuo upi? Unajuaje kwamba huo ufunuo unathibitisha Mungu yupo kweli na si wa kutungwa na watu tu?
 
Mungu ni Imani ya mtu jinsi alivyoaminishwa huko alipotokea ila fact hakuna sababu hajawahi jitokeza japo watu wa imani wana sababu zao wanazoziamini kuwa hawezi tokea na wengine wanaamini kwa namna moja au nyingine kuwa yanayowatokea ni kwa uwezo wake ni imani tu. so huna sababu ya kuomba uthibitisho... as if mmeanzisha ligi ya ubishani... ila kama hakuna ligi wacha mamo yaendelee labda tu uwe umepanga au mmepanga mlete pingamizi kwa nafsi binafsi au mamlaka fulani. au kama unaona kuna weza sababisha uvunjikaji wa amani n.k ila kama hamna tatizo wacha watu wajifunze kitu and then watachambua zuri na baya kwa faida yao kama wewe ulivyopata huko utokapo.
Kwa nini unasema sina sababu ya kuomba uthibitisho?

Watu wana uhuru wa kuabudu wanavyotaka majumbani mwao, makanisani mwao, misikitini mwao.

Hoja ikishafika JF imefika mahali pa mjadala wa kadamnasi. Our motto is "Where We Dare To Talk Openly".

Kama watu wanaamini Mungu yupo, halafu imani yao hiyo inawaambia waue watu makafiri, halafu wanaua watu wasioamini kama wao, huoni kwamba hapo kuna umuhimu wa kuhoji imani ya huyo Mungu tuelimishane kwamba huu ni ujinga tuache kuuana bila sababu kwa kigezo cha Mungu ambaye hayupo ni imani ya watu tu ambayo tunaweza kuichambua kimantiki na kuonesha kwamba imejengwa katika uongo?
 
Umeandika

"
155. Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri,

156. Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea. (al-Baqarah : 155 - 156)"

Huu si ushahidi kwamba Mungu yupo, haya ni mahubiri.
Sababu wewe ni mtupu katika huu mjadala,naamua kukufunza sasa maana hata ule uwezo wa kujadiliana na mimi bado sana.

Naomba unitenganishie kati ya mahubiri unayodai yaani jikite katika hizi aya nikizo kuwekea na ukweli. Yaani mahubiri si ushahidi kwa kuegemea wapi na kwanini ? Kwamba unaelewaje juu ya Qur'aan ?
. Fitrah ("original disposition", "natural constitution", or "innate nature") -
Hapa umeshindwa hata kuelezea inakuwajekuwaje hayo mambo yanathibitisha Mungu yupo.

3. Self evident Truth

What truth? How is that truth self evident?

4. Akili

Akili ni nini? Na unajuaje inathibitisha Mungu yupo? Na ikiwa watu wengi hawana akili wanafanya ujinga hilo linathibitisha nini? Linathibitisha Mungu hayupo?

5. Maumbile

Maumbile gani? Yanathibitisha vipi Mungu yupo? Unajuaje kwamba yanathibitisha Mungu yupo na si kingine tofauti?

6. Contingent Facts

Which contingent facts? Can you explain? Mbona unataja vitu kwa dondoo la dondoo bila maelezo? Unaogopa kuelezea? Hujui kufafanua?

7. Ufunuo

Ufunuo upi? Unajuaje kwamba huo ufunuo unathibitisha Mungu yupo kweli na si wa kutungwa na watu tu?
Hizi ni dondoo kwazo zinathibitisha juu ya uwepo wa Mola. Kama nilivyo kugusia hapo juu,hizi nakuja kuzielezea mwenyewe ila mpaka nihakikishe hiyo ithibati ya kwanza umekiri kwamba umeishindwa kuijengea hoja na kuikosoa,kisha nakuja nukta ya pili mpaka ya mwisho.

Lakini nimecheka namna ulivyo kuwa unauliza maswali katika hizo nukta.

Nipo ...
 
Sababu wewe ni mtupu katika huu mjadala,naamua kukufunza sasa maana hata ule uwezo wa kujadiliana na mimi bado sana.

Naomba unitenganishie kati ya mahubiri unayodai yaani jikite katika hizi aya nikizo kuwekea na ukweli. Yaani mahubiri si ushahidi kwa kuegemea wapi na kwanini ? Kwamba unaelewaje juu ya Qur'aan ?

Hizi ni dondoo kwazo zinathibitisha juu ya uwepo wa Mola. Kama nilivyo kugusia hapo juu,hizi nakuja kuzielezea mwenyewe ila mpaka nihakikishe hiyo ithibati ya kwanza umekiri kwamba umeishindwa kuijengea hoja na kuikosoa,kisha nakuja nukta ya pili mpaka ya mwisho.

Lakini nimecheka namna ulivyo kuwa unauliza maswali katika hizo nukta.

Nipo ...
Hujathibitisha Mungu yupo, umejaribu kuthibitisha nimekuuliza umeshindwa kuelezea huo uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Bikira Maria ninani kwenye maandiko?? Ana umuhimu gani kwetu as christians hakutufia msalabani,hatusaidii kutuondolea dhambi,mwisho Maria she is no longer a virgin maana alizaa watoto na yusuph Sasa sijui mwanamke anaekutana kimwili na mumewe then akazaa watoto mnapata wapi ujasiri wa kumuita bikira
Am a Muslim though na kwenye Qur'aan huyo Maria unae mponda Hadi amepewa sura maalumu " Suratul Mariam ".

Anyways how comes unanikubali Mimi halafu maza angu haumkubali?
 
Hujathibitisha Mungu yupo, umejaribu kuthibitisha nimekuuliza umeshindwa kuelezea huo uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo.
Nilikwambia ulitifaki lazima izingatiwe,nimekujibu kwa swali ambalo hukujibu zaidi ya kuuliza kwalo nikakuuliza swali ambalo hukulijibu.

Utaratibu wangu ni kuwa silei wa waoga na siendi nukta nyingine mpaka hii iishe.

Sasa onyesha wapi sijajibu swali lako.
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya, majanga ya asili, njaa, vita, magonjwa, vifo vya mafungu, mioto, mafuriko na mengine mengi kama hayo yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hata moja kati ya hayo hayajulikani wala kuwezekana?

Hujajibu swali hili.

Pia, hujathibitisha kwamba Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.
 
Kwani ikiwa wameumbwa kwa kitu chochote lazima muumbaji awe Mungu?

Mola mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, ni character wa kutungwa na watu tu.

Kama vile ambavyo pembetatu ambayo pia ni duara haipo katika Euclidean Geometry.

Kwa sababu, Mola huyo kuwapo, na kuumba ulimwengu ambao una majanga mengi, magonjwa mengi, watu wanaumwa sana, kuna matetemeko ya ardhi, ajali zisizo idadi, ni ukatili mkubwa sana ambao una contradict nature ya huyo Mola ya kuwa mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Angekuwepo, kusingekuwa na baya lolote, mabaya yapo, kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, nieleze, imekuwaje Mola mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya mengi yanaweza kutokea?
Kwa sababu amempa binadamu uwezo wa kutatua matatizo yote yanayo mkabili.
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya, majanga ya asili, njaa, vita, magonjwa, vifo vya mafungu, mioto, mafuriko na mengine mengi kama hayo yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hata moja kati ya hayo hayajulikani wala kuwezekana?

Hujajibu swali hili.

Pia, hujathibitisha kwamba Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.
Kwa sababu anatupenda wanadamu. Anataka tuwe na uwezo wa kutatua changamoto.

Wewe ulitaka uishi bila changamoto mkuu? Unaweza kutazama movie ambayo haina migogoro?
 
Wewe hata swali hujalielewa, unaelewa hilo?
Umeuliza kwanini Mungu mjuvi wa yote ameruhusu majanga ya asili KUTOKEA duniani. Ndio nimekujibu kwa sababu ametupa akili na uwezo wa kuyatatua
 
Kwa sababu anatupenda wanadamu. Anataka tuwe na uwezo wa kutatua changamoto.

Wewe ulitaka uishi bila changamoto mkuu? Unaweza kutazama movie ambayo haina migogoro?
Wewe unaongelea ulimwengu uliopo, ambao ushaumbwa, mimi naongelea pale Mungu alipokuwa anaamua kuumba ulimwengu.

Yani wewe unasema kwamba ulimwengu wenye watoto wanaokufa kwa njaa, wanaokufa kwa umasikini, wanaokufa kwa matetemeko ya ardhi ambayo hatuwezi kuya control ni bora kuliko ulimwengu ambao hauna matatizo hayo?

Huyo Mungu wako mbona kama anajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe, yani yeye akupe changamoto halafu yeye kakupa akili, ukishindwa kutatua changamoto kwa sababu yeye hajakupa akili hapo mwenye makosa wewe au yeye?

Huyo Mungu yupo kweli au mnajiliwaza tu kumtumia kujibu maswali ambayo hamna majibu yake?

Mbona mnashindwa kuthibitisha kwamba yupo?
 
Umeuliza kwanini Mungu mjuvi wa yote ameruhusu majanga ya asili KUTOKEA duniani. Ndio nimekujibu kwa sababu ametupa akili na uwezo wa kuyatatua
Kwa kukusaidia tu.

Swali linauliza kabla ya kuwapo mtu na ulimwengu,Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauwezi kuwa na mabaya.

Sasa, kwa nini aliumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana na yataumiza wengi sana, viumbe ambao anawapenda, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Jibu lako la kutupa akili lingekuwa na maana kama tungekuwa na uwezo wa kutatua mabaya yote, kitu ambacho hatuna.

Hivyo jibu lako ni la uongo, leo hii hatuwezi kuzuia tetemeko la ardhi wala kimbunga kinachokuja Dar.

Jibu lako ni la uongo.

Hujatoa jibu la kweli.
 
Wewe unaongelea ulimwengu uliopo, ambao ushaumbwa, mimi naongelea pale Mungu alipokuwa anaamua kuumba ulimwengu.

Yani wewe unasema kwamba ulimwengu wenye watoto wanaokufa kwa njaa, wanaokufa kwa umasikini, wanaokufa kwa matetemeko ya ardhi ambayo hatuwezi kuya control ni bora kuliko ulimwengu ambao hauna matatizo hayo?

Huyo Mungu wako mbona kama anajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe, yani yeye akupe changamoto halafu yeye kakupa akili, ukishindwa kutatua changamoto kwa sababu yeye hajakupa akili hapo mwenye makosa wewe au yeye?

Huyo Mungu yupo kweli au mnajiliwaza tu kumtumia kujibu maswali ambayo hamna majibu yake?

Mbona mnashindwa kuthibitisha kwamba yupo?
Joy wasn't good if it wasn't for pain
 
Joy wasn't good if it wasn't for pain
That's just some cheap gibberish.

Ingekuwa hivyo tusingeweza ku experience time, kwa sababu inaenda mbele tu hairudi nyuma.
 
Back
Top Bottom