Things don't need to make Sense with you before they happen.Nitaelewa lini? Nitajie tarehe turudi kuhakiki hapa. Vinginevyo acha uzushi.
Hoja zangu ni invalid kwa sababu gani? Unajua kusoma kwa ufahamu? Au unahitaji mazoezi ya vitabu vya kiada?
Kuthibitisha ni sayansi ujue. Na Mungu hawezi kuthibitika kisayansi. Sayansi bado haijafikia viwango vya kuwa na uwezo wa kuthibitisha kuhusu uwepo wa Mungu. Kama ulikuwa hujui "science is nothing but a shadow of divine knowledge"Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo? Au longo longo tu bado?
Why is this about me and not logical consistency?Things don't need to make Sense with you before they happen.
Don't be selfish bro. Unataka kile unacho kiamini wewe ndio kiwe sahihi. Wanacho kiamini watu wengine sio sahihi.
Mungu yupo whether it make sense with you or it doesn't
Wewe unachekesha sana.Kuthibitisha ni sayansi ujue. Na Mungu hawezi kuthibitika kisayansi. Sayansi bado haijafikia viwango vya kuwa na uwezo wa kuthibitisha kuhusu uwepo wa Mungu. Kama ulikuwa hujui "science is nothing but a shadow of divine knowledge"
Anyways let me go down to ur level of thinking. Nikusaidie kuthibitisha juu ya uwepo wa Mungu kwa kutumia sayansi. But before I can do that I need to ask u one question. Unataka nithibitishe juu ya uwepo wa Mungu kwa kutumia standard ipi of proof? Unajua kuthibitisha Kuna standards zake.." standard of proof" .
How many standards of proof do u know? Na unataka nitumie standard ipi ku prove kuhusu uwepo wa Mungu?
That's why it is so easy for you to be surprised kwa sababu umeufunga ufahamu wako kwenye vitu unavyo kubaliana navyo tu.Why is this about me and not logical consistency?
Nikisema haiwezekani binti wa miaka mitano kuwa mama mzazi wa mzee wa miaka sabini leo, hapo nimekuwa selfish nakataa kitu ambacho haki make sense kwangu?
Mungu anaweza kuthibitishika kisayansi au hawezi kuthibitishika kisayansi?That's why it is so easy for you to be surprised kwa sababu umeufunga ufahamu wako kwenye vitu unavyo kubaliana navyo tu.
But as for me, I can never be surprised by anything because I know everything is possible under the sun
Instead of answering the question , ur just talking about the question. Nimekuuliza how many standards of proof do you know so far? na unataka nikuthibitishie kuhusu uwepo wa Mungu kwa kutumia standard ipi?Wewe unachekesha sana.
Unaanza kusema Mungu hathibitishiki kisayansi, halafu hapo hapo unataka kumthibitisha Mungu kisayansi.
Unajua hata unachotaka kufanya ni nini?
Nimeshakujibu kwamba kwa ajili ya watu Kama wewe ambao ur minds have stuck in science Mimi ninaweza kukusaidia kuthibitisha kuhusu uwepo wa Mungu kwa kutumia sayansi Ila nimekuuliza unataka nithibitishe juu ya uwepo wa Mungu kwa kutumia which standard of proof..?Mungu anaweza kuthibitishika kisayansi au hawezi kuthibitishika kisayansi?
Hujanijibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni fraud. Kwann kwenye shule zenu hamtumii hiyo Moon Calender?
Kwenye simu yako, set tarehe, mwezi na mwaka wa hiyo moon calender. Watu wakikuuliza tarehe, mwezi au mwaka wajibu wa hiyo moon calender.
Kama una watoto waambie nao watumie calender ya moon calender.
Lete matokeo hapa.
Naanza kufunga kesho asubuhi , hivi itakuwa chungu cha ngapi ?Wakatoliki tuna sala ya kusujudu ardhi, hii sala walifundishwa watoto watatu wa Fatima na Malaika. Aliwaambia hivi ndivyo Mungu anapenda kuabudiwa. Unatazama kule jua linakochomozea na kusujudu ukisema “Mungu wangu ninakuamini, ninakuabudu na ninakutukuza. Ninawaombea msamaha wale wote wasiokuamini, wasiokuabudu na wasiokutukuza. Unarudia mara tatu.
Seriously,???[emoji52][emoji52]Sikatai lkn yawezekana mitume walipewa uwezo na mungu ...wa kufunua na kunena maneno kwa niaba ya mungu........anyway ugenius ulitoka wapi wakati hatuna historia yake ya kusoma popote na kuandika......
Hili hawezi mpaka anakufa,sababu wakubwa zake mpaka wamekufa hawakuwahi kuweza.
Hawa watu suala la kuthibitisha huwa wanaona ni jukumu la sisi tunao sadikisha uwepo wa Mola,wakati wanasahau katika kanuni za kimjadala yule anaye kanusha ndiyo huwa anatangulizwa kuthibitisha sababu hudhaniwa ya kuwa ana elimu na ujuzi juu ya jambo husika,lakini kichekesho ni kuwa hata wao hawajui kama wanakanusha na kutetea hoja yao hiyo hawawezi.
Sisi huwa tunawauliza tu wamejuaje kama Mola hayupo (hapa ndipo kizaa kinapoanza na hupoteana watu hawa).
Lakini kuna jambo lao lingine la kipuuzi sana,kwamba suala la Uwepo wa Mopa ni hadithi tu,ajabu wanashindwa kututhibitishia juu ya hizi hadithi ilikuwaje zikatungwa na nani wa mwanzo katika hadithi hizi.
Sasa unakuja kuhitimisha ya kuwa watu hawa wana matatizo ya akili,na hawafikirii mambo kiundani. Kwangu mimi baada ya Wanafalsafa kwa ujinga na uzwa zwa wanafata hawa wakana Mungu.
Shukrani,shida umemuuliza swali ambalo limemzidi na hana majibu ya swali hilo.
Tuko pamoja kaka, ila sina jipya zaidi ya kusoma vitabu vya wakubwa wetu walio kosoa namna ya kitoto ya ufikiriaji wa hawa watu na hapa nawasilisha baadhi ya yale yaliyomo katika vitabu hivyo,huyu Kiranga ni kifaranga tu katika hii kadhia,ndiyo maana huwa hajibu maswali ana kimbia,huwa napata ukakasi sana juu ya ufikiriaji wake yaani anafikiri kitoto sana. Matokeo yake huwa anabisha na kupotezea watu muda.Well said bro. U know Kiranga is a type of a guy who thinks that things must make sense with him before they happen.. Kiranga ukiweza kuutambua ukweli huu kwamba when things want to happen they just happen and they don't need to make sense with you before they happen basi utakuwa umepiga hatua kubwa Sana ya ufahamu kwa kuwa sababu kubwa inayo kufanya usiamini kuhusu uwepo wa Mungu ni hiyo "ignorance" kwamba " when things want to happen they must first make sense with you before they happen ".
U think too much bro
Naona umekosea njia kijana,tunajadili mambo ya kielimu,uwe una tafakari kabla ya kuandika.Ndio, suala la kuthibitisha ni la watu wanaosadikisha uwepo wa Mola. Mkiwa mnabisha na mke wako kwamba amechepuka na yeye anakana wewe ndiye utatakiwa uthibitishe madai yake sio yeye athibitishe hajachepuka. Grow up man.
Kwanza jibu swali nililo kuuliza.Kabla sijaenda mbali.
Una criticize logic kwa kuandika illogical nonsense, wewe hata hujui logic ni nini na illogical nonsense ni nini.
Umeandika hivi katika ku criticize logic:-
"Wanyama wana miguu minee,mbwa ana miguu minne,basi mbwa ni mnyama"
Hii ni fallacy na logical non sequitur (kuunganisha kimatiki mambo ambayo hayana uunganiko). Hii si logic.
Hii ndiyo logical non sequitur ile ile wanayoitumia waamini "kuthibitisha" kwamba Mungu yupo kwa kusema
1. Ulimwengu upo. Umeumbwa
2. Hatujui kiumbe aliyeumba ulimwengu, hakuna kiumbe aliyeumba ulimwengu.
3. Basi lazima Mungu yupo na kaumba ulimwengu.
Nimemuuliza mtu athibitishe kuwepo kwa Mungu jana hapa akatumia hii logical non sequitur.
Sasa unasema je hii ni mantiki wakati hii ni kukosa mantiki?
Mpaka hapo umeboogie step.
Logical non sequitur is lack of logic, not logic.
Inaonekana huwezi kufikiri katika a very basic level.
Mtu ambaye anasema Mungu hayupo kudaiwa uthibitisho kwamba Mungu hayupo ni sawa na kumwambia mtu ambaye anasema nyumbani kwake hajaingia mwizi, athibitishe kwamba nyumbani kwake hajaingia mwizi.Ndio, suala la kuthibitisha ni la watu wanaosadikisha uwepo wa Mola. Mkiwa mnabisha na mke wako kwamba amechepuka na yeye anakana wewe ndiye utatakiwa uthibitishe madai yake sio yeye athibitishe hajachepuka. Grow up man.
Hujathibitisha Mungubyupo kweli na si hadithi za kutungwa na watu tu.Tuko pamoja kaka, ila sina jipya zaidi ya kusoma vitabu vya wakubwa wetu walio kosoa namna ya kitoto ya ufikiriaji wa hawa watu na hapa nawasilisha baadhi ya yale yaliyomo katika vitabu hivyo,huyu Kiranga ni kifaranga tu katika hii kadhia,ndiyo maana huwa hajibu maswali ana kimbia,huwa napata ukakasi sana juu ya ufikiriaji wake yaani anafikiri kitoto sana. Matokeo yake huwa anabisha na kupotezea watu muda.