Unauliza maswali kuhusu vitabu wakati mimi nimeupangua msingi wa maswali yako, kama nimesoma au sijasoma vitabu, nimekuonesha kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kutumia vitabu wakati kuna mamilioni ya watu hawajui kusoma na hawajawahi kukiona hicho kitabu chake haiyumkiniki.Jibu maswali niliyo kuuliza.
Hivi unajisikiaje kutokujibu maswali unayo ulizwa ?
Safi kabisa,ujinga mzigo sana. Huwezi kuuvunja huu msingi sababu mpaka wale ambao hawakufikiwa na ujumbe wana kundi lao,achilia mbali wasio jua kusoma. Kwani kuna mtu aliyezaliwa anajua kusoma ? Mbona unajenga hoja kitoto sana ?Unauliza maswali kuhusu vitabu wakati mimi nimeupangua msingi wa maswali yako, kama nimesoma au sijasoma vitabu, nimekuonesha kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kutumia vitabu wakati kuna mamilioni ya watu hawajui kusoma na hawajawahi kukiona hicho kitabu chake haiyumkiniki.
Nimecheka sana,ndiyo maana huwa nataka muwe mnajibu maswali sababu nyinyi weupe sana. Suala la Quantum Physics linaingiaje ? Sababu hili msingi wake ni dhana za watu tu.Kwa kukujibu tu, nakujibu hapa chini, na wewe nataka unijibu maswali haya haya kuhusu Quantum Physics, uweke ushahidi wa picha kama nilivyoweka mimi.
Safi kabisa,hili ulilisoma wapi na ikawaje hukuona haya maelezo niliyo kupa mimi wakati yameshaelezwa zama ambazo hata kina Galileo,Kina Newton walikuwa si wenye kutajita. Hitimisho hapa ni kuwa wewe ni Muongo sababu hili liko wazi mno.Hayo mambo nimeyasoma kabla ya hilo bandiko na nimejua kwamba Quran ni kitabu kilichojaa ujinga na
Ukiwa unajibi maswali kama hivi,mjadala unaisha mapema sana.Najua kusoma, imejaa uongo na ujinga, na hata ukisema sijui kusoma, hilo pia litaonesha Quran si kitabu cha Mungu. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote atashushaje kitabu ambacho viumbe wake hawajui kukisoma?
Nimecheka sana,ile ya Yusuf Ali siyo Tafsiri ya Qur'aan ile ni Tarjama ya Qur'aan. Kwahiyo hili pia umekosea.Nimeisoma Quran, nimesoma hadithi, nimesoma "The Meaning of The Holy Quran" cha tafsiri ya Abdullah Yusuf Ali, nimesoma "Muhammad: His Life Based on The Earliest Sources" cha Martin Lings, naambatanisha picha hapa zikiwa na alama ya karatasi iliyoandikwa "Kiranga" ujue hivi ni vitabu ninavyo si picha za kuokota mtandaoni.
Vitabu ulivyo soma siyo vile ambavyo vinaingia katika vitabu vya Tafsiri.Vitabu vyote hivi ninavyozidi kusoma ndivyo ninavyozidi kuona contradictions na kuona Quran ni kitabu kilichojaa uongo ulioandikwa na watu, kimejaa contradictions.
Sijasoma kitabu chochote cha Quantum Physics,swali langu ni je inaingiaje hapa Quantum Physics ? Ukileta habari za Quantum kwangu unatakiwa ujipange hasa mzee.Na wewe umesoma kitabu gani cha Quantum Physics? Unaweza kuweka ushahidi wa picha kama ninaoweka mimi?
Sababu huna msingi wa elimu ya kujibu maswali hayo,na majibu yako yamedhihirisha hilo. Ajabu umeulizwa swali la vitabu vya Tafsiri unataja kitabu cha historia,sasa una akili wewe.Kwa nini umefikiri majibu ya maswali ya hapo juu sina?
Nimekuwekea vitabu vya Quran ulivyotaka, weka na wewe kitabu cha Quantum Physics hata kimoja ulichosoma.Safi kabisa,ujinga mzigo sana. Huwezi kuuvunja huu msingi sababu mpaka wale ambao hawakufikiwa na ujumbe wana kundi lao,achilia mbali wasio jua kusoma. Kwani kuna mtu aliyezaliwa anajua kusoma ? Mbona unajenga hoja kitoto sana ?
Huu msingi huwezi kuuvunja.
Nimecheka sana,ndiyo maana huwa nataka muwe mnajibu maswali sababu nyinyi weupe sana. Suala la Quantum Physics linaingiaje ? Sababu hili msingi wake ni dhana za watu tu.
Ushahidi wa picha kwenye nini na uko wapi ?
Safi kabisa,hili ulilisoma wapi na ikawaje hukuona haya maelezo niliyo kupa mimi wakati yameshaelezwa zama ambazo hata kina Galileo,Kina Newton walikuwa si wenye kutajita. Hitimisho hapa ni kuwa wewe ni Muongo sababu hili liko wazi mno.
Ukiwa unajibi maswali kama hivi,mjadala unaisha mapema sana.
Niandikie hii aya kwa namna ya usomekaji wake.
Lingine ambao hawajui kuisoma ni wale ambao hawajataka kuijua,lakini sisi tulifundishwa tukaijua kuisoma,kwahiyo bado hoja yako ni dhaifu,yaani usie jua kuisoma ni wewe na wa mfano wako.
Nimecheka sana,ile ya Yusuf Ali siyo Tafsiri ya Qur'aan ile ni Tarjama ya Qur'aan. Kwahiyo hili pia umekosea.
Hicho kingine sishughuliki nacho sababu kinaelezea maisha ya Mtume,nacho kinapimwa katika mizani,swali langu lipo kwenye vitabu vya Tafsiri ya Qur'aan.
Ndiyo maana huwa nataka uwe unajibi maswali. Hapa nahitimisha ya kuwa hujasoma Tafsiri ya Qur'aan bali umesoma Tarjama ya Qur'aan. Hili tatizo la kuwa na misingi ya kielimu. Kwa mtindo huu lazima uwe una copy na ku paste.
Vitabu ulivyo soma siyo vile ambavyo vinaingia katika vitabu vya Tafsiri.
Kwahiyo swali langu hujajibu na hitimisho lake ni kuwa hujasoma kitabu cha Tafsiri ya Qur'aan bali umesoma Tarjama ya Qur'aan. Kisha tutakuja kumuangalia ni nani Yusuf Ali na huyo mwingine ni nani ?
Sijasoma kitabu chochote cha Quantum Physics,swali langu ni je inaingiaje hapa Quantum Physics ? Ukileta habari za Quantum kwangu unatakiwa ujipange hasa mzee.
Sababu huna msingi wa elimu ya kujibu maswali hayo,na majibu yako yamedhihirisha hilo. Ajabu umeulizwa swali la vitabu vya Tafsiri unataja kitabu cha historia,sasa una akili wewe.
Naendelea....
Nacheka sana,hujaweka kitabu cha Tafsiri hapo,hapo umetaja vitabu viwii kimoja cha Tarjama ya Qur'aan cha Yusuf Ali na hicho cha historia ya mtume,sasa historia na Tafsiri wapi na wapi. Nakikumbusha tu hapa tunaongelea elimu na katika hili mimi ni mwalimu wako,na unatakiwa utulie sababu ukileta jazba ndiyo unazidi kukosea.Nimekuwekea vitabu vya Quran ulivyotaka, weka na wewe kitabu cha Quantum Physics hata kimoja ulichosoma.
Ukishindwa nijue wewe ni mpumbavu hujasoma Qunatum Physics.
Mpaka sasa.
1. Hujathibitisha Mungu yupo.
2. Hujatatua contradictions za kwenye Quran.
3. Hujaeleza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba dunia inayoweza kuwa n amabaya wakati aliweza kuumba dunia ambayo mabaya hayawezi kuwepo.
4. Hujaeleza kwa nini Mungu kashusha habari zake kwenye kitabu, wakati alikuwa na uwezo wa kuweka habari zote kwenye DNA hata wasiojua kusoma kitabu wazijue.
5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?
Sababu ulicho kipaste kimeonyesha wazi kabisa kwamba hujui kitu na vitabu ulivyoviweka ndiyo vimezidi kudhihirisha hilo. Kwahiyo nilijua utakosea kwenye maswali niliyo kuuliza kwa kile ulicho kipaste.Tumalize nukta hii kisha twende nyingine.
Umejuaje tutaweza kwenda nyingine kabla sijakujibu maswali ambayo yana masharti ya kuvunja mazungumzo na wewe kuniita mimi mjinga?
Na mimi nimekupa sharti la wewe kuweka kitabu cha Quantum Physics ulichosoma tujadili, ukishindwa nikuone mjinga niseme huwezi kujadiliana nami, sasa unaweza kuweka hapa ushahidi kwamba umesoma kitabu cha Quantum Physics nisikuite mjinga tuendelee na majadiliano?
Mpaka sasa.Sababu ulicho kipaste kimeonyesha wazi kabisa kwamba hujui kitu na vitabu ulivyoviweka ndiyo vimezidi kudhihirisha hilo. Kwahiyo nilijua utakosea kwenye maswali niliyo kuuliza kwa kile ulicho kipaste.
Na unaweza kuwa na vitabu na ukawa mjinga vile vile.
Kiranga,Mimi nimeanza kudai uthibitisho wa kwamba Mungu yupo, toa uthibitisho huo, halafu niulize mimi nitoe uthibitisho wangu.
Siyo wewe hujajibu swali langu, unataka mimi nijibu lako.
Hiyo ni tabia mbaya.
Thibitisha Mungu yupo. Jibu swali langu.
Kisha rejea maswali yako nikujibu.
Self evident truth ni fallacyNaendelea...
Huu mfano hauingii hapa sababu hili liko wazi,na kama logic yenu inatoa mifano mfu namna hii,lazima uone Mola hayupo. Kuweka wazi jambo ambalo liko wazi ni matumizi mabaya ya akili.
Onyesha huo mfano unakaa wapi katika kadhia hii.
Sada hili nataka ulionyeshe kwa Mola wetu. Usilinganishe vitu visivyo fanana.
Sasa jikite katika mada,tumia mantiki yako kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo. Ukiweza naacha kujadili hii mada.
Hili liko wazi ni tofauti na hili ninalo kutaka uthibitishe.
Hii ni selft evident truth,yaani ukiona kitu fulani kinakupa jibu la uwepo wa vingine.
Naona unazunguka tu kwa kutoa mfano usiojibu swali langu.
Safi kabisa sasa thibitisha,yaani usitumie Strawman Argument kijana,jibu hoja kulingana na swali husika. Unachofanya wewe ni kama "Umekutana na bondia (mimi) hatari badala uingie kwenye ring upigane umekaa nje unaonyesha mikwara" . Nacheka sana.
Bado nakudai kijana.
Huku rahisi sana. Nataka ukiri ya kuwa umeshindwa kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo,haya yanabaki kuwa ni madai,mpaka pale utakapo tupa ushahidi.
Uthibitisho wa uwepo wa Mola unathibitishwa kwa njia nyingi sana. Hizi ni miongoni mwazo.
1. Self evident truth
2. Contingent facts
3. Akili
4. Mazingira
5. Ufunuo
Hizi ni baadhi ya dondoo. Sasa nadubiri ukiri kwamba umeshindwa kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo kisha nije kumaliza kazi yangu.
Nipo ....
Mimi nimethibitisha humu kua Mungu hayupo mbona mnarudia kuuliza swali ambalo lishajibiwa?Kiranga,
Tuthibitishie kwamba Mungu hayupo, hilo tu halafu tutaendelea kuanzia hapo.
Kwa maana sisi tunaoabudu uwepo wa Mungu tunaamini kwenye vitabu vitakatifu, Quran na Biblia ambavyo viko wazi kwa kila mmoja.
Lakini wewe huamini hivyo vitabu, hivyo hata nikikupa maandishi ya uwepo wa Mungu hapa kutoka kwenye vitabu hivyo nitakua napiga gitaa kwenye zizi la Mbuzi.
Nipe uthibitisho wako wa kwamba hakuna Mungu, wacha kuleta tafrani.
Lete uthibitisho tuendelee.
Ninachokiona hapa ni wale watu ambao wanasema hatuendi kanisani wala Msikitini lakini mbona mambo yetu yanaenda?
Kwa sisi tunaomini, hata dunia nzima ikimuasi Mungu haitampunguzia kitu, hivyo kuona mambo yako yanaenda bila kwenda Msikitini au kanisani sio kipimo cha kutokuwepo Mungu.
Mungu yupo na bado unayo nafasi ya kuamini hilo.
Unakula saa 12 au saa 1. Usiku unaamka kula kwenye saa 8-9.Mnafunga au mnabadilisha ratiba ya kula.??
Ukitaka kuamini hawa jamaa wanabadilisha ratiba kula. Kule Zenji kula mbele yao uone kinachokutokea.Sure tunabadilisha tu ratiba... Kama tunavyofanyaga kwenye kwaresma
Unarudia yale yale ambayo nimeshayajibu.Mpaka sasa.
1. Hujathibitisha Mungu yupo.
2. Hujatatua contradictions za kwenye Quran.
3. Hujaeleza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba dunia inayoweza kuwa n amabaya wakati aliweza kuumba dunia ambayo mabaya hayawezi kuwepo.
4. Hujaeleza kwa nini Mungu kashusha habari zake kwenye kitabu, wakati alikuwa na uwezo wa kuweka habari zote kwenye DNA hata wasiojua kusoma kitabu wazijue.
5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?
Hili lilikushinda na nilishalimaliza. Tengeneza kwanza kiti chako kisha ukitie nakshi. Imarisha misingi ya Logic(Jambo ambalo wakubwa zako hasa muasisi wa logic Aristoto mpaka anakufa hakujua udhaifu wa logic) kisha uje kujadiliana na mimi.Self evident truth ni fallacy
kwa kuongezea tu ni kwamba sio hicho tu bali hata hiyo "contingent fact" nayo ni "Non Causa Pro Causa fallacy"Hili lilikushinda na nilishalimaliza. Tengeneza kwanza kiti chako kisha ukitie nakshi. Imarisha misingi ya Logic(Jambo ambalo wakubwa zako hasa muasisi wa logic Aristoto mpaka anakufa hakujua udhaifu wa logic) kisha uje kujadiliana na mimi.
Sasa hivi tunaikosoa logic habari anayo mwenzako Kiranga.
Poa.kwa kuongezea tu ni kwamba sio hicho tu bali hata hiyo "contingent fact" nayo ni "Non Causa Pro Causa fallacy"
Wewe acha ujinga, unaamini Quran na Biblia wakati Quran na Biblia zinapingana, Biblia inasema Yesu ni Mungu kama sehemu ya Utatu, Quran inasema Mungu ni mmoja hana mshirika.Kiranga,
Tuthibitishie kwamba Mungu hayupo, hilo tu halafu tutaendelea kuanzia hapo.
Kwa maana sisi tunaoabudu uwepo wa Mungu tunaamini kwenye vitabu vitakatifu, Quran na Biblia ambavyo viko wazi kwa kila mmoja.
Lakini wewe huamini hivyo vitabu, hivyo hata nikikupa maandishi ya uwepo wa Mungu hapa kutoka kwenye vitabu hivyo nitakua napiga gitaa kwenye zizi la Mbuzi.
Nipe uthibitisho wako wa kwamba hakuna Mungu, wacha kuleta tafrani.
Lete uthibitisho tuendelee.
Ninachokiona hapa ni wale watu ambao wanasema hatuendi kanisani wala Msikitini lakini mbona mambo yetu yanaenda?
Kwa sisi tunaomini, hata dunia nzima ikimuasi Mungu haitampunguzia kitu, hivyo kuona mambo yako yanaenda bila kwenda Msikitini au kanisani sio kipimo cha kutokuwepo Mungu.
Mungu yupo na bado unayo nafasi ya kuamini hilo.
Mpaka sasa.Unarudia yale yale ambayo nimeshayajibu.
Haya ndiyo matatizo ya kujadili jambo ambalo huna elimu nalo. Mola wetu hajifichi ndiyo maana alituma mitume kuwasilisha ujumbe,hu ni utaratibu kama ulivyo utaratibu wako uliojiwekea katika uendeshaji wa mambo,ila tofauti yangu na wewe sisi taratibu zetu huwa zinabadilika ila taratibu za Mola wetu hazibadiliki sababu ni sahihi. Mola wetu haonekani hapa tu duniani,ila wale waja wema watakao faulu watalipwa pepo na ziada,ile ziada ni watamuona Mola wao kama vile tuonavyo jua la Saa sita mchana,yaani hiyo siku hakutakuwa na yale mambo ya "Ooh embo sogea na mimi nimuone".5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?