Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Aliumba dunia kwa siku 6. Halafu hapa unasema kwa nyakati 6. Hapa km mechakachua vile.
Shida ya bwana yule alikuwa hajui kusoma na kuandika. Ndiyo tatizo linaanzia hapo
Watu wanatumia Gregorian Calender. Na si nyingine
Tatizo lenu Maka.fi.ri ndo hilo mnadandia mambo. Hio kutokujua kusoma na kuandika ndio moja ya muujiza ya Mtume Muhammad S.A.W. , na hii ni kuthibitisha mambo yote aliyoyasema kuwa hakuyatunga yeye bali ni kutoka kwa Mungu. Jaribuni kuusoma Uislamu jaribuni kumsoma Mtume mtajifunza mengi na mtagundua mengi. Achana na propaganda za Kimagharibi.
 
Mwaka una miezi kumi na mbili sasa huo ucha Mungu wa mwezi mmoja tu ni wa ajabu sana.Mwezi mmoja ndio mtukufu ni miezi mwingine si mitukufu aisee!
Ur still a learner
 
Umenifundisha kitu..sio kuhusu kufunga. Bali kula matunda kipindi cha msimu wake
 
Hahah shida kweli kweli!!!

Umesemaje???
 

MKUU WAISILAMU WAKIKUJIBU NAOMBA UNI TAG.

HAWANA AKILI YA KUJIBIA HILI ZAIDI YA MTUSI.
 
Ww jiangalie huo mwili wako tu utajua kama Mungu yupo. Hivo vitu uloumbwa navo vitoe halafu katengeze vyako, toa jicho au Figo au moyo halafu nenda dukani ukanunue vyengine
Kula tano. Jamaa ana maswali waliyo jiuliza mababu zetu miaka elfu kumi kabla ya KUZALIWA kristo
 
Kwamba wote tuwe islamic eti ndo maana yako!!! Angalia usijikojoleee dogo vipi daku umekula?
 

Subhanallah
 
Sio lazima sote tuwe waislamu, uislamu ni bahati na neema ambayo wengine hawakujaaliwa.
Nisikuharibie swaumu mkuu Kama ambavyo sipendi mtu adhihaki yangu ndivyo nami naheshimu imani za wengine
 
Primitive mythology
 
kisichopo hakithibitishiki kua hakipo, kwasababu hakipo ili kuthibitishwa hakipo!.
Hahaha.

Yani wanataka nithibitishe mwizi hakuingia ndani kwangu, mwizi aliyeingia ndani kwangu hayupo, kwa mimi kutoa alama za vidole za mwizi huyo asiyekuwepo, kama uthibitisho kwamba mwizi huyo hayupo.

Sasa nikushatoa alama za vidole za mwizi huyo hapo nimethibitisha mwizi hayupo au yupo?
 
Hio wapo wanaoshindwa kufanya hivo tu na wengi hawafungi...usiku na mchana ni vitu viwili tofaut
 
MKUU WAISILAMU WAKIKUJIBU NAOMBA UNI TAG.

HAWANA AKILI YA KUJIBIA HILI ZAIDI YA MTUSI.
Nakutag mwenyew sisi Mungu katuamlisha tusile mchana tu basi hio inatosha kua ishara kwake ya imani yetu nyie mnalazimisha twende kinyume kwa kufunga masaa 24? Na angetaka angeamlisha hivyo kwetu sisi dini sio adhabu ni rehema zake
Allah.. anaujua udhaifu wa binadam ndio maana dini ameifanya kua nyepesi
Al bakarah 2:185
 
Tena tunaambiwa hii funga imefaradhishwa kwetu kama ilivyofaradhishwa kwa watu waliyotangulia inaonyesha ina faida kubwa sana kiroho, kiafya na kisaikolojia.
 
KAMA KUBADILISHA RATIBA YA KULA NDIO KUFUNGA.

BASI MIMI NAWEZA NIKAFUNGA MIAKA 10.

NAKULA USIKU KAMA WAISILAMU ALAFU NAJIDANGANYA NIMEFUNGA.

HII DINI YA HOVYO SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…