Duh u want me to prove my claim beyond any reasonable doubt.. Mambo ya mahakamani hayo mkuu. Anyways even though I know that some of the things that happen on earth can't be proved in the court of laws but kupata uthibitisho wa madai yangu wala hata huhitaji kutumia nguvu nyingi wewe nenda mahakamani tu ukakutane na maelfu the case watu wanafile for divorce.. Zungumza na Family Lawyers wakwambie wanacho kishuhudia.. Nenda wa wajumbe wa nyumba kumi, ofisi za serikali za mitaa, ustawi etc..Mkuu kwanza unapaswa uthibitishe pasi na shaka kuwa ndoa nyingi za kiislamu na kikristo hazidumu. Baada ya hapo ndio tujadili kwa nini?
Kwa miaka yote imekuwa hivyo au hizi ndoa za miaka hii?Mkuu Ina maana wewe huoni ndoa zinavyo vunjika kwa wingi Tanzania kiasi cha kuitwa janga? Mpaka wasanii wa musicians wanaimba nyimbo kuziponda ndoa..
Namuelewesha mtu ambaye hajui chochote hapa, unajua misingi ya sayansi kweli? Eti observation ndio utafiti bora kuliko data? Hivi unajua kwamba observation ya mtu mmoja haina mashiko kama huna takwimu za kuthibitisha? Ukiona ndoa tano za washikaji zako zimevunjika, unahisi nchi nzima iko hivyo kwa sababu ya mizimu? Endelea kujilisha upepo.Utafiti Bora zaidi ni ule uliofanyika kwa njia ya observation.. Data zinaweza kuwa cooked.. I know you are joking here
Mwenzetu wewe mzungu bana lazima useme hivyo. Ila kwa wasisi waafirka tunao preserve Uafrika wetu tunajua mababu wapo na uwepo wao, nguvu zao maana zao zinaishi kwenye maisha yetu..Ila huwa tunapenda sana kuwasemea hao mababu mara hivi mara vile, yote ni mitazamo yetu binafsi tu tunahusisha na hao mababu.
Kwani Google ni mtandao wa majini? Elezea ulicho kielewa hapa, ili nione kama unasoma kuelewa kweli, au upo kubishana tu hapa.Mi nikajua umefanya observation kumbe ume google.. If we go gown to that level then check this out👇👇👇
View attachment 3647088
Wanafilosofi wakubwa kama Socrates, Plato, Aristotle , Thales, Archimedes etc waliibua hoja na madai ambayo yanaishi mpaka Leo kwa njia ya observation.. Usiwasahu akina Isaac Newton, Einstein, Tesla etcNamuelewesha mtu ambaye hajui chochote hapa, unajua misingi ya sayansi kweli? Eti observation ndio utafiti bora kuliko data? Hivi unajua kwamba observation ya mtu mmoja haina mashiko kama huna takwimu za kuthibitisha? Ukiona ndoa tano za washikaji zako zimevunjika, unahisi nchi nzima iko hivyo kwa sababu ya mizimu? Endelea kujilisha upepo.
Data huwa zinapikwa lakini stori zako za kufikirika ndio za kweli? be serious!
😂😂😂😂😂😂Babu zetu hawakuwa mabwege kiasi hicho unacho fikiria. Waliwaona wazungu kama watumwa wao na sio kama watawala wao. Walicho kifanya babu zetu ni kuwapa wazungu kitu kinacho itwa " Illusion of power" but our ancestors mained the real power.
Ni kama ambavyo Vatican inaipa dunia an illusion of power to choice a religion kwa kutengeneza Ukatoliki( Ukristo na Uislamu). Wakristu wanasema Sisi sio waislamu na waislamu wanasema Sisi sio wakristu. Whatever the case, it is still beneficial to the Vatican..
This is the case kwa wazungu.
Watu wametoka kwao wamekuja kwetu wanatujengea Barabara, majumba etc kwa kutumia elimu na maarifa Yao unasema vipi wanatuwala kama Sisi ndio tunawatawala.
And if we go down to that level, Liberia and Ethiopia hazikuwahi kutawaliwa kwa sababu hawakuona faida ya kuwatumia watumwa wazungu
Mkuu nenda kaisalimishe ndoa yako kwa mabibi na mababu wa kwenu.. We can't go back and forth like that. Hiyo caption nilisha izungumza and u know what I meantKwani Google ni mtandao wa majini? Elezea ulicho kielewa hapa, ili nione kama unasoma kuelewa kweli, au upo kubishana tu hapa.
Wewe unaonaje?Kwa miaka yote imekuwa hivyo au hizi ndoa za miaka hii?
Hujui lolote unaloongea wewe, sasa hivi umeanza kutaja mpaka akina Newton na Einstein ili mradi tu ushinde ubishi? Hebu nikuulize hivi unajua kwamba Newton na Einstein hawakuishia kuangalia tu vitu kwa macho? Walichukua hiyo observation, wakaifanyia majaribio, wakakusanya data za kimahesabu, na kutoa kanuni zilizothibitishwa!Wanafilosofi wakubwa kama Socrates, Plato, Aristotle , Thales, Archimedes etc waliibua hoja na madai ambayo yanaishi mpaka Leo kwa njia ya observation.. Usiwasahu akina Isaac Newton, Einstein, Tesla etc
Unadhani nikisema observation namaanisha Mambo niliyo ta observe kwa rafiki zangu tu? Are you seriously?
Kwa dunia hii ya utandawazi ambayo taarifa za matukio kutoka sehemu mbalimbali duniani, nafasi ya Kufanya observation ni pana Sana..
Kwa hiyo usi underplay role ya observation kwenye research..
Nenda mahakamani huko kazungumze na macaroni wa mahakama wakupe case za talaka ujionee mwenyewe.. Nenda kwa waganga wa kienyeji, kwenye makanisa ya mitume na manabii, kwa ma Ostaz, nenda Bakwata etc
Uhalisia ni takwimu, na wewe hauna takwimu yoyote ile, unategemea assumptions zako.Mkuu mimi sibishabi na mtu. Hoja yangu inatetewa na uhalisia uliopo kwenye jamii
Kumbe unacho pinga ni kipi? Maana kama ni ndoa zinavunjika Sana na zinavunjika kwa uadui mkubwa wa kufikia hata kuoana.. Hadi Bahati Bukuku mwimbaji wa Injili karma wimbo unaitwa " Majeruhi wa Ndoa" akizungumzia ndoa yake na alicho kiimba ndio asilimia kubwa ya ndoa zipo hivyoFateema hii siyo hoja ninayo pingana nayo mimi, soma replies zangu vizuri utaelewa ni nini ninakipinga kwenye hii mada.
Na wewe naona kama haujaelewa bado, unasoma juu juu tu, mimi sipingi kwamba ndoa hazivunjiki, nimeshakubali mara mia moja kwamba ndoa kuvunjika ni janga kubwa sasa hivi. Nachopinga mimi ni hiyo nadharia ya mtoa mada ya kusadikika kwamba ndoa hazidumu kwa sababu hazikufungwa kimila.Kumbe unacho pinga ni kipi? Maana kama ni ndoa zinavunjika Sana na zinavunjika kwa uadui mkubwa wa kufikia hata kuoana.. Hadi Bahati Bukuku mwimbaji wa Injili karma wimbo unaitwa " Majeruhi wa Ndoa" akizungumzia ndoa yake na alicho kiimba ndio asilimia kubwa ya ndoa zipo hivyo
Wewe pumzi ya hoja imekukatikia katikati ya uwanja, umeishiwa spana umeamua kukimbilia kwenye kunisalimisha kwa mababu. Ndoa yangu ipo salama sana kwa sababu inaongozwa na akili, heshima, na tabia njema, sio porojo za kusadikika za porini.Mkuu nenda kaisalimishe ndoa yako kwa mabibi na mababu wa kwenu.. We can't go back and forth like that. Hiyo caption nilisha izungumza and u know what I meant
Ukweli anaujua sana, anakaza fuvu tu kubishana kutafuta njaa.Kinacho vunja sana ndoa siku hizi ni
Utandawazi
Haki za binadamu
Siku hizi watu wanajua na kuwa huru kutumia uhuru wao wa kuishi na mtu kutokana na utandawazi
Zamani ndoa zilikua za KIMILA msamiati wa KUACHANA unakua haupo,
Unakua hapo sio kwa HIYARI bali ni LAZIMA……… yaani ilikua ni MARUFUKU kuachana kwasababu ilikua ni kitendo cha LAANA na AIBU kubwa sana
Hujui lolote unaloongea wewe, sasa hivi umeanza kutaja mpaka akina Newton na Einstein ili mradi tu ushinde ubishi? Hebu nikuulize hivi unajua kwamba Newton na Einstein hawakuishia kuangalia tu vitu kwa macho? Walichukua hiyo observation, wakaifanyia majaribio, wakakusanya data za kimahesabu, na kutoa kanuni zilizothibitishwa!
Wewe umeishia kuangalia tu ndoa zinavunjika, ukasubiri usiku ukaota kwamba mizimu imekasirika halafu unataka tuite huo ni utafiti wa kisayansi? Unaelewa unachokiongea kweli?
Halafu kuhusu hizo sehemu ulizo zitaja hivi kweli unategemea mtu akienda atakuta faili la mahakama limeandikwa ndoa imevunjika kwa sababu mume hakutoa mkaja wa bibi au ugoro wa babu? Unadhani unafanya mjadala nammtoto mdogo hapa? Kwamba wewe unataka kusema haujui sababu zilizojaa huko mahakamani ni zipi? Endelea kujizima data.